Kama uliona sehemu niliquote hata mstari wa kitabu ,nataka utumie akili sio elimu ambayo hata kinjiti ya kibiriti huwezi kuunda.
Nimekumbia hata jamii zote zinatambua uwepo wa Mungu ndio maana kuna wanaabudu mzimu hata hapa Tanzania ni maprofessor ila wanafanya kafara kweny mizimu yao ,wanaheshimu mila na tamaduni zao katika kuamini na kutukuza mizimu yao na maisha yanaenda..
Huo ni mfano kuna kitu nje ya uwezo wa binadamu kinaratibu mambo ya dunia ndio maana nikakupa ishu ya mizimu pia wapo wanaoabdu miti ...Hapa nimekuwa hisia za binadamu juu ya uwepo wa Mungu sio dini wala sijaandikq maandiko nimetumia akili ya kuzaliwa...
Binadamu kama binadamu kiumbe chenye akili kinajipenda na kuweka ubinafsi ,jaalia leo binadamu anapanga yeye maisha yake (kuwa tajiri au laah) au anapanga muda wq kuishi ,anapanga kuzaliwa jamii fulani au hata jinsiq gani aww akiwa hapa duniani..
Katika mambo yote duniani yanayotokea licha ya tofauti zetu kiuchumi, akili ,elimu ,asili hata utaifa na vingine ....Kuna mambo yanatufanya tuwe sawa kwa tabia za binadamu sasa sana ni kuhsu hatma ya maisha yetu ndio maana sote tuna furaha na huzuni pia hakuna anayejua kesho yake katika viumbe wote hakuna mweny uwezo huo isipokuwa Mungu pekee.