Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile, Hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana kusikika kushikika au kuhisika.

Haki elezeki, kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuelezeka.

Sasa wewe unayesema Mungu huyo yupo,

Elezea yukoje, kwa namna gani?
Hii sio kweli, sababu inabidi utuambie umejuaje hakipo ?

Je kilitanguliwa na kuwepo au hakukiwahi kuwepo ? Kama hakukiwahi kuwepo hata kukizungumzia ni makosa na hupaswi kufanya hivyo.

Kuhusu hilo la yupoje nimeshakuelezea, labda kama una swali lingine.
 
Mimi ninalo.

Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuruhusu mabaya?
Maalim.

M.Mungu kamuumba mwanadamu na kampa manual. Kazi ya manual ni nini (Quran).

Tofauti na vitabu vilivyochezewa unavyosema Mungu kaleta vitabu ili vikuongoze kwenda Mbinguni....... laa, na muislam hapaswi kuwa na fikra hizo.

Lengo la kuletelewa hii manual ni hii MMungu takuletea manual kutoka mbinguni hapa duniani ili tuishi maisha ya peponi hapa duniani.

Na maisha ya peponi hayana hizo mbambamba,

Sasa kwanini wanadamu wanaishi kwa mateso, visasi, kuumizana.

Jibu ni kwasababu tumeacha kutumia manual sahihi.
Na badala yake tunatumia manual za kibinadamu.

Na hivyo tunajiadhibu wenyewe hapa duniani.
 
Acha kuamini mavitabu yanayokinzana yenyewe Kwa yenyewe, Aya Kwa aya,mavitabu yenyewe yameletwa kwenye majahazi na walewale waliowatesa babu na Bibi Zetu, waliwalawiti, waliwauza kama maboga, eti hao hao ndio wageuke Leo watuletee kitu Cheney faida kweli?
Tumeanza kupangiana lini tena kuhusu kitu au jambo la kuamini?Kikao cha mwisho hakikuwa na azimio hilo.
 
Ila kama kuna ukweli fulani hivi,inakuwaje yeye na shetani walishindwa na halafu eti akatupa huku kwetu ambao ni dhaifu na kwa vyovyote hatuwezi kuhimili vishindo vya hilo jamaa yaani shetani ,kiukweli inafikirisha
 
Hivi kabla ya hizi dini za wazungu kuja huku kwetu hao mababu zetu wote waliokuwa wanakufa njia yao ilikuwa ni jehanam tu
 
Hakuna ujasiri wowote mkuu

Dhana nzima ya Mungu does not make sense at all
Ni kwa sababu umetumia ufahamu wa kimwili ndo maana huwezi ona ya Rohoni! Ili uweze kuutambua ukuu wa Mungu inahitajika uwe mtu wa Rohoni kweli kweli!
 
Sikiliza ewe mpuuzi,unaye amini visivyo kuwepo.

Mungu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
mpuuzi ni wewe usiyeamini uwepo wa Mungu. Heri uamini yupo ili hata ukimkosa isiwe na sababu za kuhukumiwa kwenda kuunguzwa moto wa milele jehanamu
 
mayu nani kakulogaa??? mbona ulikuwa na akili timamu

[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu turudi tu kwenye nyuzi yetu pendwa ya uwekezaji kwa kanji
 
mpuuzi ni wewe usiyeamini uwepo wa Mungu. Heri uamini yupo ili hata ukimkosa isiwe na sababu za kuhukumiwa kwenda kuunguzwa moto wa milele jehanamu

Kwahiyo wewe unamuamini kwasababu unaogopa moto wa milele? [emoji23][emoji23]
 
Ni kwa sababu umetumia ufahamu wa kimwili ndo maana huwezi ona ya Rohoni! Ili uweze kuutambua ukuu wa Mungu inahitajika uwe mtu wa Rohoni kweli kweli!

“Rohoni” ni chaka lingine la kufikirika linalo tumika kumfichia Mungu

Hakuna Mungu wala hakuna Roho

Nikikuuliza Rohoni ni wapi utaanza blah blah
 
Hivi kabla ya hizi dini za wazungu kuja huku kwetu hao mababu zetu wote waliokuwa wanakufa njia yao ilikuwa ni jehanam tu

Ndio ushangae sasa kuhusu Mungu muweza wa yote

Kwamba eti kabla wazungu hawajafika huku kwetu alishindwa kabisa kuwafikia mababu zetu miaka mamilioni na wakafa bila kumjua

Akaja kutumia wakoloni waliokuja kututawala kutufanya watumwa na kuiba maliasili zetu ndio watuletee habari zake

Kuelewa uongo kama huu inabidi ujitie upofu
 
Kama uliona sehemu niliquote hata mstari wa kitabu ,nataka utumie akili sio elimu ambayo hata kinjiti ya kibiriti huwezi kuunda.

Nimekumbia hata jamii zote zinatambua uwepo wa Mungu ndio maana kuna wanaabudu mzimu hata hapa Tanzania ni maprofessor ila wanafanya kafara kweny mizimu yao ,wanaheshimu mila na tamaduni zao katika kuamini na kutukuza mizimu yao na maisha yanaenda..

Huo ni mfano kuna kitu nje ya uwezo wa binadamu kinaratibu mambo ya dunia ndio maana nikakupa ishu ya mizimu pia wapo wanaoabdu miti ...Hapa nimekuwa hisia za binadamu juu ya uwepo wa Mungu sio dini wala sijaandikq maandiko nimetumia akili ya kuzaliwa...

Binadamu kama binadamu kiumbe chenye akili kinajipenda na kuweka ubinafsi ,jaalia leo binadamu anapanga yeye maisha yake (kuwa tajiri au laah) au anapanga muda wq kuishi ,anapanga kuzaliwa jamii fulani au hata jinsiq gani aww akiwa hapa duniani..

Katika mambo yote duniani yanayotokea licha ya tofauti zetu kiuchumi, akili ,elimu ,asili hata utaifa na vingine ....Kuna mambo yanatufanya tuwe sawa kwa tabia za binadamu sasa sana ni kuhsu hatma ya maisha yetu ndio maana sote tuna furaha na huzuni pia hakuna anayejua kesho yake katika viumbe wote hakuna mweny uwezo huo isipokuwa Mungu pekee.
Why Kama kitu hukijui una assume Kuna mtu anajua ...huu ni utoto ni sawa na mtoto kumuuliza maswali mengi mzazi wake coz anaamini anajua kila kitu . matokeo yake ndo aya
 
Back
Top Bottom