Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kwamba ukishindwa kuthibitisha basi hao Mungu wote wapo?

Mbona mnatumia logic za kitoto sana ku prove uwepo Mungu?
Unajua maana ya logic kijana ? Mbona unaingiza utoto katika mambo ya kielimu ?

Kwani hao Miungu hawapo ? Sasa kama unashindwa kuthibitisha kwanini unakanusha ? Lazima ukanushe kitu ambacho huna elimu nacho ?

Logic gani imetumika hapo kuthibitisha uwepo wa Mungu ? Sisi tunaandika uhalisia wewe unatuletea utoto wa logic ? Logic ni ujinga kama ujinga mwingine.
 

Prove kama ni uongo
 
Malaika ni kiumbe? Naomba kujua sifa za kiumbe mana sifa ya kwanza kabisa ya kiumbe ni kuwa na mwili. Malaika wana mwili Kwa mujibu wa dini Yako? Wana jinsia gani?
Mind you, wakiwa na mwili basi lazima watakuwa na sifa kiumbe hai na kama hawana mwili basi sio kiumbe bali ni wazo/hisia tu kama ulivyo upepo au mwanga.
Karibu
 
🤣🤣🤣🤣We gari limetengenezwa liendeshwe ardhini unataka Hilo gari lipae na liwe meli pia na submarine heeee... that proves nothing.... usilete u Chaka wako wa kiroho cjui coz hili Chaka mtu yoyote anaweza kutumia for anything hata kusema amekutana na spiderman kiroho na hauwezi mbishia so it's pointless argument
 
Huko hatuwezi kwenda sababu si swali la msingi.

Tuko makini sana kuliko unavyo fikiria, jibu swali nililo uliza, kama huna jibu tulia usome tunaya yaandika.
The answer is we both don't know. Ukiulizwa capital city ya Tanzania ukajibu Manchester na mi nikasema cjui it means we r both wrong. None of us know the answer so usijikoshe na maswali ambayo kila dini inasema Mungu wake ndo jibu coz it's unfalsifiable we can't prove or disprove it
 
🤣🤣🤣🤣bac sawa mkuu hayupo kwa sababu hujanipa evidence ya uwepo wake...na nanasi kuwa tamu au Tako kuwa zuri sio evidence
 
🤣Kitabu gani hiko...wakati mkikanwa ndo wakwanza kuandamana kupiga watu mawe kulipua maghorofa kuuwa etc.... hata mtoto wa la Saba ambae hajazaliwa katika dini yoyote akipewa vile vitabu anasoma anacheka kabisa
 
1. Embu eleza no 8 hapo,
What nake sense according to you?

2. Then unaweza nambia unajuaje kwa kuthibitisha kuwa hizo ni dalili za Mola mlezi na si kitu kingine tu.
 
Huamini vitabu na usiamini tulia tuende taratibu tunaongelea uwepo wa Mungu ,usikurupuke ...Hata vile vitabu vya binadamu ni nyani ni upatu na utapeli wa kifikra.
Umesema tuongelee habari za uwepo wa Mungu.
Sielewi nani kazungumzia binadamu ni nyani hapa.

Umeleta mada tanzu ambayo haipo.

Uliposema
Tunazungumzia uwepo wa Mungu kiakili sio vitabu vilivyoandikwa na wanadamu
kumbe unakubali na unajua hivi vitabu vya dini zenu viliandikwa na wanadamu tu kwa kutungwa mauongo uongo!?
 
Kiumbe ni lkilicho umbwa na Mola.

Naam Malaika Wana umbo ila hawana jinsia. Katika sifa zao ni watiifu daima.
 
Katika hili sisi tunajua na nyinyi hamjui, ndio maana huwa nawaona hamna akili pale mnapo kana jambo msilo lijua.

Jibu maswali ninayo kuuliza yatakusaidia kufikiria kiundani kama unataka hilo.

Tukija kujadili Mungu wa kila dini utaona msingi wa Uungu ni nini ? Ukisoma maana ya Mungu katika kamusi utakuta lazima ni mwenye kuumba, mwenye nguvu, mwenye uwezo, mkamilifu.

Hao miungu wa dini nyingine ni miungu wa uongo, ndio maana tunasema hilo, huwezi kusema Ng'ombe ni Mungu wakati Hana sifa ya Uungu.

Mjifunze maana za maneno kabla ya kuyatumia, mnapotezea watu muda wakati hamna hoja yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…