Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya logic kijana ? Mbona unaingiza utoto katika mambo ya kielimu ?Kwamba ukishindwa kuthibitisha basi hao Mungu wote wapo?
Mbona mnatumia logic za kitoto sana ku prove uwepo Mungu?
Unaulizia swali la uongo, ungekuwa Malaika no nani, bila shaka usongeuliza swali hili, eti "Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki-Hindu", mkiambiwa nyinyi vichwa mchunga mnasema tunawatukana. Malaika ni kiumbe maalumu kwacho hakipatikani kwa wengine ila Mola muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Jibu swali nililo kuuliza kijana.Wanaamini ujinga kama wako kuwa kuna Mungu
Prove kama ni uongo
Post # 550 umejibu wapi ?Hakuna swali sijalijibu
Malaika ni kiumbe? Naomba kujua sifa za kiumbe mana sifa ya kwanza kabisa ya kiumbe ni kuwa na mwili. Malaika wana mwili Kwa mujibu wa dini Yako? Wana jinsia gani?Unaulizia swali la uongo, ungekuwa Malaika no nani, bila shaka usongeuliza swali hili, eti "Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki-Hindu", mkiambiwa nyinyi vichwa mchunga mnasema tunawatukana. Malaika ni kiumbe maalumu kwacho hakipatikani kwa wengine ila Mola muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
Kama una hoja sema mkuuDahh! Kweli wazazi wanazaa.... 😄😄🙌🏾
Sass huyu si CHIZI huyu jaman?! 😳😥😰
Cheo cha uselamavi naombeni mnivue HOHEHAE, mumpe huyu mleta mada 😅
dronedrake
🤣🤣🤣🤣We gari limetengenezwa liendeshwe ardhini unataka Hilo gari lipae na liwe meli pia na submarine heeee... that proves nothing.... usilete u Chaka wako wa kiroho cjui coz hili Chaka mtu yoyote anaweza kutumia for anything hata kusema amekutana na spiderman kiroho na hauwezi mbishia so it's pointless argumentTatizo lenu ni kutaka kuthibitisha mambo ya Mungu kwa kutumia hivi vijitools vyenu mnavyoviita majina tofauti tofauti na kuviweka sehemu moja na kupaita mabara....kwa sasa bado kuna matatizo mengi tunayo...kabla ya kuanza kutafuta wa kumlaumu na kusema hayupo au yupo pambana na hayo kwanza...adui kwa kwanza kabisa ni kifo....tukimshinda huyo then njoo hapa tamka vyovyote utakavyo hata useme Mungu ni boya au sijui nini nitakuamini!
Wa pili ni muda....huyu nae anaumiza kichwa...lakini niamini ukimshinda huyo wa kwanza huyu wa pili hana maajabu.
The answer is we both don't know. Ukiulizwa capital city ya Tanzania ukajibu Manchester na mi nikasema cjui it means we r both wrong. None of us know the answer so usijikoshe na maswali ambayo kila dini inasema Mungu wake ndo jibu coz it's unfalsifiable we can't prove or disprove itHuko hatuwezi kwenda sababu si swali la msingi.
Tuko makini sana kuliko unavyo fikiria, jibu swali nililo uliza, kama huna jibu tulia usome tunaya yaandika.
🤣🤣🤣🤣bac sawa mkuu hayupo kwa sababu hujanipa evidence ya uwepo wake...na nanasi kuwa tamu au Tako kuwa zuri sio evidenceSasa umeona unavyo jichanganya ? Mnatakiwa mjifunze kanuni za mijadala. Hapo umeonyesha ya kuwa anaye kanusha ndio anatakiwa athibitishe juu ya kile anacho kikanusha.
Naposema Mungu yupo, na wewe unae dai hayupo, nani anatakiwa amthibitishie mwenzie ?
🤣bac na ulimwengu haujawahi kutokuwepo so hauhitaji muumba wako...thank uKujiumba ni sifa ya udhaifu Mola wetu ni mkamilifu yupo hajawahi kutokuwepo.
🤣Kitabu gani hiko...wakati mkikanwa ndo wakwanza kuandamana kupiga watu mawe kulipua maghorofa kuuwa etc.... hata mtoto wa la Saba ambae hajazaliwa katika dini yoyote akipewa vile vitabu anasoma anacheka kabisaSababu vina chain na hakuna mwanadamu anaye weza kuandika mfano wa vitabu hivyo, na challenge walipewa wale walio kana hayo.
Ukanaji hamjaanza nyie, wapo walio watangulia na wale walio watangulia nyinyi walikuwa na hoja na wenye maarifa lakini walishindwa kufanya hivyo.
Vipi TenaAisee kuna mambo mengi sana yanatatiza huku duniani
1. Embu eleza no 8 hapo,Ni kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.
Iko hivi ndugu, Mwenyezi Mungu tunaamini yupo kwa kuangalia DALILI Unaona kabisa hizi Ni Ishara (Kwa Wenye Akili lakini) za Kwamba Kuna Superpower Inaendesha Mambo haya duniani. Hapa kwanza ni nje kabisa ya hizi dini bali ni kwanza kwa kutumia Akili tu Unajua Maana hizi dini ni Just ways za kumfikia Mwenyezi Mungu. Sasa hebu angalia Ishara zifuatAzo ndugu
1️⃣. Uwepo wa Ulimwengu na vilivyomo
2️⃣. Uwepo wa Uhai na Kifo
3️⃣. Uwepo wa Nishati hii ya Jua(Nishati ya Ajabu kuwahi Ishuhudia)
4️⃣. Uwepo wa Majanga Mbali Mbali yanayokuikumba hii dunia (kwa mwenye Akili atajua tu ni Result ya Uwepo wake na sio tu result ya Natural Mechanisms pekee kama wanasayansi wanavyodai)
5️⃣. Uwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
6️⃣. Disparities Mbali mbali zilizoko miongoni mwa Binadamu hao eg. Races, morphological structures na Ethnicity Backgrounds.
7️⃣. Uwepo wa Viumbe wengine nje na Binadamu (Hii ntakuelezea baadae kwa Mujibu wa Islamic Religion Highlights)
8️⃣. Usiku na Mchana (Hapa utaniambia ni result ya sijui rotation of Earth 😀) In real Sense nop isn't true according to the Holly books
9️⃣. Uwepo wa Misimu ya Mwaka/Majira (Hapa pia utasema revolution na bla blah kibao but si kweli). It was purposefully brought so as to make the critical thinkers understand the power of the Almighty Allah. S. W
🔟. Hivi through your Logic can you tell me how comes you Plant a single corn seed and as a result it bears a hundred + corns? How do you see that possible???
Acha nipose kidogo hapa ila ni Vingi sana. Hizi zote ni Dalili za Uwepo wa Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Umesema tuongelee habari za uwepo wa Mungu.Huamini vitabu na usiamini tulia tuende taratibu tunaongelea uwepo wa Mungu ,usikurupuke ...Hata vile vitabu vya binadamu ni nyani ni upatu na utapeli wa kifikra.
kumbe unakubali na unajua hivi vitabu vya dini zenu viliandikwa na wanadamu tu kwa kutungwa mauongo uongo!?Tunazungumzia uwepo wa Mungu kiakili sio vitabu vilivyoandikwa na wanadamu
Kiumbe ni lkilicho umbwa na Mola.Malaika ni kiumbe? Naomba kujua sifa za kiumbe mana sifa ya kwanza kabisa ya kiumbe ni kuwa na mwili. Malaika wana mwili Kwa mujibu wa dini Yako? Wana jinsia gani?
Mind you, wakiwa na mwili basi lazima watakuwa na sifa kiumbe hai na kama hawana mwili basi sio kiumbe bali ni wazo/hisia tu kama ulivyo upepo au mwanga.
Karibu
Katika hili sisi tunajua na nyinyi hamjui, ndio maana huwa nawaona hamna akili pale mnapo kana jambo msilo lijua.The answer is we both don't know. Ukiulizwa capital city ya Tanzania ukajibu Manchester na mi nikasema cjui it means we r both wrong. None of us know the answer so usijikoshe na maswali ambayo kila dini inasema Mungu wake ndo jibu coz it's unfalsifiable we can't prove or disprove it