Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
 
Hakuna ujasiri wowote mkuu

Dhana nzima ya Mungu does not make sense at all
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Hata wewe unaye jidai kumtetea na kumjua Mungu Utakufa na kupita.

Mfano wako huu wa kwamba "tunapita" Hauna mantiki yeyote ya kuonesha uwepo wa Mungu.

Thibitisha Mungu yupo na si mawazo yako ya kufikirika.
 
Nimekuelewa sana tu
Haswa hapo kwenye kumruhusu msaidizi wake walioshindwana naye kuja kutusumbua huku duniani
 
Mkuu hakawii kukwambia eti wewe ndio uthibitishe hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,

Kisicho kuwepo Haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kusikika au kushikika.

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo either ya kuonekana, kusikika au kushikika.

Sasa Mungu hayupo kwa namna yeyote ile, Haonekani, Hashikiki wala Hasikii.

Ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
 
We mwenyewe huzielewi ila ni kipofu ndio unaishi na upofu wako na kukataa kuona eti utakufuru dini ni utapeli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…