Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Mimi sijui Bible, ongelea Qur'an na Hadithi za Mtume huko ndiko haya nimeyatoa, Sasa njoo uonyeshe uongo wa hicho kilicho andikwa humo.

Kuwepo wapi na wapi si hoja, hoja ni je ni sahihi na chimbuko lake ni wapi ?
 
Kila mwanadamu ameumba katika hali ya kumjua Mola muumba, ndio mtu anaposhikwa na shida na kuhisi Hana msaada wowote, huona kwamba yupo wa kutoa msaada ambaye ni Mola muumba.

Kugawanyika kwa watu kumetokana na ujinga na kufata akili zao, kama mnavyo chukua fikra zenu toka kwa wapumbavu Wanafalsafa na Wanasayansi wajinga kama vile kina Hawking.

Ukisoma Historia ya watu wa kale, unakuta walikuwa na miungu wao wengi, ila wanapo pata shida kubwa wanarudi kwa Mungu mkuu, hapa utaona kabisa Hawa wamekataa kweli na haki na wakafata akili zao.

Dini gani inawataka watu wasihoji ? Ongelea Uislamu ambao Mimi ni dini yangu, hakuna dini inayo himiza watu kuhoji vya maana na kutumia akili kuzidi Uislamu. Sasa hapa sijajua unaongelea dini gani ?
 
🤣Basi tusiende mbali mfano ukamkuta Yesu ndo Mungu ambae ndo mnamkana kinoma waislamu ..utafanyaje
 
Mtume hakuwa maamuma, unajua maana ya Maamuma ? Mtume alikuwa hajui kusoma Wala kuandika na hakuwa Maamuma. Halafu unataka kujadili kuhusu jambo hili na hujui maana ya maneno unayo yatumia ?

Haya hakuwa anajua kuandika, hoja yako Iko wapi ?

Nakupa kazi hapa uje uonyeshe ya kuwa Mtume hakuwa anashushiwa maagizo.

Sasa uongo hapo uko wapi ? Kwamba kupewa Wanawake 72 ni jambo baya ? Kuzagamua ni jambo baya ?
 
Mimi sijui Bible, ongelea Qur'an na Hadithi za Mtume huko ndiko haya nimeyatoa, Sasa njoo uonyeshe uongo wa hicho kilicho andikwa humo.

Kuwepo wapi na wapi si hoja, hoja ni je ni sahihi na chimbuko lake ni wapi ?
🤣🤣🤣Quran si imecopy kwa bible vitu vingi bana acheni kujichetua...kwani Muhammad si alikutana na wakristo na wayahudi mbali mbali kwani hizi story aliziota au...
 
🤣Basi tusiende mbali mfano ukamkuta Yesu ndo Mungu ambae ndo mnamkana kinoma waislamu ..utafanyaje
Yesu hawezi kuwa Mungu hajawahi kuwa Mungu na hatokuwa Mungu.

Kijana nasisitiza hatuishi kwa kubahatisha, leta mfano hai.
 
Maswali hujibiwa kwa majibu
 
🤣Bro...the one making the claim ndo anatakiwa kuproof...Mimi Nikisema Nina uwezo wa kupaa unategemea unione nikipaa siwezi kusema prove kwamba siwezi kupaa nitaonekana kichaa... hizo revelation mbona asa Zina uwongo mwingi...kuhusu past kuhusu geography kuhusu future pia...🤣
 
🤣🤣🤣Quran si imecopy kwa bible vitu vingi bana acheni kujichetua...kwani Muhammad si alikutana na wakristo na wayahudi mbali mbali kwani hizi story aliziota au...
Mimi nakupa kazi onyesha wapi Qur'aan ime copy kwenye Biblia.

Kingine njoo uthibitishe ya kuwa kipindi Qur'aan inashuka Biblia ilikuwepo ?

Qur'aan ipo Biblia haikuwepo. Sasa wapi Qur'aan ime copy ? Kingine mtu asie jua kuandika Wala kusoma ana copy vipi maandiko ? Kijana wewe ni mtupu sana katika hili, unakosea sana mpaka unanipa uvivu wa kujadiliana na wewe, maana nahitajika kukukosoa mambo mengi jambo ambalo halina haja.

Sasa ndio utuambie wewe ali copy wapi ?
 
Yesu hawezi kuwa Mungu hajawahi kuwa Mungu na hatokuwa Mungu.

Kijana nasisitiza hatuishi kwa kubahatisha, leta mfano hai.
🤣🤣🤣🤣Sawa...we unasema hivyo coz muarabu kakuambia...Ila ndo umkute utafanyaje..coz me naweza sema Allah sio Mungu hajawahi kuwa Mungu ni story tu za waarabu...
 
Yesu hawezi kuwa Mungu hajawahi kuwa Mungu na hatokuwa Mungu.

Kijana nasisitiza hatuishi kwa kubahatisha, leta mfano hai.

Wewe Mungu wako umemthibitisha?

Mbona kiherehere sana kuomba uthibitisho wa mungu wa wenzako?
 
Utaanza kutukanwa asa...,🤣🤣🤣🤣so story za Adam na eve, za nuhu, za Musa za Yesu, injili na torati hazikuwepo before 600 CE, kubishana utoto huu ndo staki hebu twende kwa facts bana ..Kama unataka uongee kujikosha kosha hapa bac yaishe
 
Naona huna hoja ila umeshika imani potofu.

Hii inaonesha kuwa umeshindwa kuthibitisha kama Mungu yupo.

Ila unaforce tu awepo.

Yaani unamawazo yako umeyang'ang'ania hayohayo ambayo huwezi kuyaelezea.

Imani za dini ni shambulio la akili.
Nimekuambia ana ratibu mzunguko wa jua na mwezi ,kinachotokea kwa binadamu ambacho hata wewe hujui kesho yako.

Sijaona hoja yako mpaka sasa zaidi ya 😂😂kubisha...Toa hoja zako maana najua hauna.
 
🤣🤣🤣🤣Sawa...we unasema hivyo coz muarabu kakuambia...Ila ndo umkute utafanyaje..coz me naweza sema Allah sio Mungu hajawahi kuwa Mungu ni story tu za waarabu...
Namkutaje wakati kila kitu kipo wazi ? Umewahi kujifunza Falsafa au Logic kama fani ? Kama umewahi kusoma masomo hayo, achana nayo, yanakufanya uwe zwa zwa na ushindwe kuhoji mambo kwa usahihi.

Hatubahatishi sisi.

Hapo si umesema, shida sio kusema hujaona wenzako wanasema wao ndio mumiungu wenyewe, shida ni kuthibitisha hilo. Kwahiyo wewe endelea kusema tu. Sisi tunataka ithibati.
 
Ulichokiongea wewe ni vice versa

Atleast mimi sijui kwa mtizamo wako.

Lakini ushauri wangu naamini ulikuwa mzuri sana.

Wewe unayejua unaweza kunipa facts kuhusu chanzo cha binadamu!?
 
Umesema tuongelee habari za uwepo wa Mungu.
Sielewi nani kazungumzia binadamu ni nyani hapa.

Umeleta mada tanzu ambayo haipo.

Uliposema

kumbe unakubali na unajua hivi vitabu vya dini zenu viliandikwa na wanadamu tu kwa kutungwa mauongo uongo!?
Binadamu wanasema ni nyani kwa sayansi uliyodanganywa ,sasa nakupa kazi ukiniambia nakulipa mil 10 ....Niambie chanzo cha binadamu kuwepo hapa duniani?
 
Kijana sababu sio wasomaji na mmezoea kusikia, fanya kazi niliyo kupa.

Onyesha wapi Qur'an ime copy toka kwenye Biblia.

Mimi nimekwambia Qur'an ipo kabla ya Biblia kuwepo. Sasa nionyeshe wapi Qur'an ime copy kwenye Biblia, naandika Kiswahili chepesi sana.

Nataka tuone kati yangu na wewe nani analeta utoto.
 
Ulichokiongea wewe ni vice versa

Atleast mimi sijui kwa mtizamo wako.

Lakini ushauri wangu naamini ulikuwa mzuri sana.

Wewe unayejua unaweza kunipa facts kuhusu chanzo cha binadamu!?
Sasa hujui huoni kama ni kazi kumuelewesha mpumbavu (yaani hujui halafu hutaki kujua).

Hamna unachojua zaidi ya kufuata mkumbo ..Huu sio mtihani tunatumia akili na uhalisia wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…