ššYanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.
Mungu huyo kapendelea Tanzania isipate hayo majanga makubwa mbona husemi kwamba kapendelea.
Mungu muweza wa yote na kama ana upendo kweli, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na hayo majanga?
Mungu sio kwamb hawezi kuzuia ila yeye ndio kapanga
Basi Mungu huyo ni mkatili sana.
hta katika hayo mafuriko sio wote wamekufa ni baadhi,
Hao walio kufa je walikuwa hawana haki ya kuishi?.
Halafu wengi wao ni watoto wadogo na vichanga visivyokuwa na hatia yeyote.
Mungu huyo anayedai ni mwema Hana hata huruma kwa watoto wachanga wanao kufa na mafuriko ambayo angeweza kuyazuia?
majanha kama hayo yapo nje ya uwezo wetu hakuna anayependa yatokeee
Mungu huyo, Hakujua kwamba hakuna binadamu anaye penda majanga hayo yatokee, Aumbe dunia isiyo na hayo majanga?
ila ni Mungu muweza na hakuna jinsi unaweza kuzuia.
Mungu huyo kakupendelea wewe usiwe mlemavu na kakupa akili ni neema jaribu kushuruku ,huwezi kuonq neema mpaka yakufike..
Kwani kuna anaye penda kuwa kilema au mlemavu?
Watoto wachanga wanao zaliwa na matatizo kama unjiti, vichwa vikubwa,uchizi na utahira na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili, je wanapenda kuzaliwa hivyo?
Mungu huyo haoni, kwamba watoto hawa wachanga wanapaswa kuzaliwa wakiwa wazima wa afya kimwili na kiakili?
Hapa ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo ni mkatili sana na Hana upendo wowote ule.
Huoni hapo umeona umuhimu wa uhai basi unapumua bure mpaka uumwe ukapewe mtungi wa oxygen uanze kulipia ndio utajua kwambq kupumua tu ni upendeleo.
Je waliokwisha kufa, Mungu huyo Hakujua kwamba watu hao wanahitaji uhai?
Neema za Mungu ni countless na huwezi kuzijua mpaka ziondoke na ni nyingi kuliko mjanga.
Uovu wa Mungu ni countless.