Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

šŸ˜‚šŸ˜‚Yanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.


Mungu huyo kapendelea Tanzania isipate hayo majanga makubwa mbona husemi kwamba kapendelea.
Mungu muweza wa yote na kama ana upendo kweli, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na hayo majanga?

Mungu sio kwamb hawezi kuzuia ila yeye ndio kapanga
Basi Mungu huyo ni mkatili sana.
hta katika hayo mafuriko sio wote wamekufa ni baadhi,
Hao walio kufa je walikuwa hawana haki ya kuishi?.

Halafu wengi wao ni watoto wadogo na vichanga visivyokuwa na hatia yeyote.

Mungu huyo anayedai ni mwema Hana hata huruma kwa watoto wachanga wanao kufa na mafuriko ambayo angeweza kuyazuia?
majanha kama hayo yapo nje ya uwezo wetu hakuna anayependa yatokeee
Mungu huyo, Hakujua kwamba hakuna binadamu anaye penda majanga hayo yatokee, Aumbe dunia isiyo na hayo majanga?
ila ni Mungu muweza na hakuna jinsi unaweza kuzuia.

Mungu huyo kakupendelea wewe usiwe mlemavu na kakupa akili ni neema jaribu kushuruku ,huwezi kuonq neema mpaka yakufike..
Kwani kuna anaye penda kuwa kilema au mlemavu?
Watoto wachanga wanao zaliwa na matatizo kama unjiti, vichwa vikubwa,uchizi na utahira na kasoro nyingine nyingi za kimwili na kiakili, je wanapenda kuzaliwa hivyo?

Mungu huyo haoni, kwamba watoto hawa wachanga wanapaswa kuzaliwa wakiwa wazima wa afya kimwili na kiakili?

Hapa ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo ni mkatili sana na Hana upendo wowote ule.
Huoni hapo umeona umuhimu wa uhai basi unapumua bure mpaka uumwe ukapewe mtungi wa oxygen uanze kulipia ndio utajua kwambq kupumua tu ni upendeleo.
Je waliokwisha kufa, Mungu huyo Hakujua kwamba watu hao wanahitaji uhai?
Neema za Mungu ni countless na huwezi kuzijua mpaka ziondoke na ni nyingi kuliko mjanga.
Uovu wa Mungu ni countless.
 
Hii Ni ukweli ambao ni mchungu kwa Watu kuupokea Wakasome problem of evil
Problem of evil 😈 imeelezwa vizuri zaidi na Epicurus.

Kaionesha vizuri kwenye hii paradox

images (10).jpeg
 
Moja ya ushahidi wenu wa uwepo wa Mungu ni kwamba hii dunia na vyote vilivyopo LAZIMA kuna aliye viumba
Na ni MUNGU

Mkiulizwa na Mungu ameumbwa na nani kama kanuni inasema kila kitu lazima kimeumbwa na muumbaji?

Mnaanza ngonjera za kumuwekea Mungu u special kwamba alikuwepo tu

kanuni yenu inatoa hitimisho moja tu

Mungu ameumba dunia baada ya yeye kuwa aliumbwa, na aliye muumba na yeye aliumbwa....... infinity
Dhana ya Mungu imejengwa ili kuvunja sheria za fizikia.

Watu wa zamani walishindwa kuelezea huu ulimwengu kwa kufuata sheria zote, na ndicho kikapelekea wakamuumba Mungu kwa mfano wa mwanadamu halafu wakampa uwezo wote.

Uwezo ambao unamfanya asiweze kushikwa na sheria za mantiki.

Kwahyo hata hyo sheria ya kwamba kila kitu kina muumbaji wake, ukiwafikisha kwa huyo Mungu wao sheria inakuwa haifanyi kazi!!!

Lakini swali zuri kwa wavunja sheria za fizikia (waamini/theist) watujibu hili:

Mungu muweza wa yote anaweza kuumba jiwe zito ambalo litamshinda kubeba!?
 
Hii kanuni huwezi kuikosoa ndio maana hata hapa umeshindwa pia. Kanuni imemtoa Allah Japo na yeye ni kitu.
Kwa nini Allah atolewe na yeye ni kitu?

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, Hata huyo Allah Lazima awe na chanzo chake.

Hawezi kuwepo kwa kutokea tu,
from no where.

Kanuni inasema kila kitu isipokuwa Allah, hapo tayari imeshamtoa Allah,
Hii kanuni yako ni kujaribu kukwepa logic reasoning.

Nakwambia hivi, Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo Hata huyo Allah wenu lazima awe na chanzo.

Wewe una unda kanuni zako za kutetea Ubishi tu.
Sasa uongo uko wapi na kanuni Iko wazi ? Uwe unasomwa kwa kuelewa usisome ilimradi.
Kama Allah huyo anaweza kuwepo bila chanzo, Hata Dunia inaweza vilevile kuwepo bila chanzo.
Nilikupa kazi hapa uje uthibitishe ukweli wa "Infinity" naona unaruka ruka tu.
 
Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?

Sasa Qur'aan itaje Milk Way ili iweje ? Yaani ifate mawazo ya Wajinga ?

Qur'an siyo kitabu Cha Sayansi kijana, kile ni kitabu Cha muongozo kinasema ya kweli na haki.

Sasa thibitisha ya kuwa Jua halitembei, Jua halisujudu Jua halifanyi hayo yote ?
Kuna nchi nyingine ni usiku kwa sasa, huku kwetu ni mchana tunalitizama jua.

Kwetu ikiwa usiku kwao ni mchana wanalitizama jua.

Umewahi kuskia upande wa pili kuwa jua linasujudu!?

Ujinga wako ni zawadi ya uteuzi asilia (Natural selection)
 
Wapo ambao wamezaliwa na wazazi ambao si Waislamu na Sasa ni Waislamu. Unaandika nini kijana ?

Hata hiyo means, Allah angetaka wote tuwe Waislamu tungekuwa ila hajafanya hivyo kwa hekima zake na taratibu zake kwa makusudi ili tufikie lengo la sisi kutuumba.

Kingine ametoka hiyo means na akaweka hali wezekano ya kuimudu hiyo means ndio maana hata sisi tusio Waarabu tumesoma na Tunaendelea kusoma na tunakijua.

Sasa kwa utaratibu wa Allah ni kuwa lazima uweke juhudi katika kuliendea jambo fulani na hapendi watu wazembe.
Siamini kama una uwezo wa kufikiri kidhahania

Lakini ngoja njaribu nione kama imani yangu ni ya kweli.

Je, unadhani kuwa ungezaliwa sehemu ambayo hakuna uislamu, leo hii ungekuwa muislamu?

Fikiria ungezaliwa Korea kaskazini kwa mfano
 
Haya ndio matatizo ya kutokusoma ninacho kiandika. Soma tena hili swali unarudia hii mara ya pili au Tatu. Hii inaonyesha wazi huna hoja.
Wewe hunaga hoja zaidi ya Ubishi ubishi tu.

Maswali magumu yanayo kushinda unaya undia kanuni za uongo uongo tu zisizo na Logic yeyote.

Nakwambia kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo hata huyo Allah wenu lazima awe na chanzo.

Wewe una unda kanuni ya uongo, eti ooh! Allah huyo kanuni hiyo amekuwa Excluded.

Kama amekuwa Excluded basi Allah huyo SI KITU na HAYUPO.

Kama Allah huyo ni kitu kilichopo, Na kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo basi hata huyo Allah wenu lazima awe na chanzo.

Acha ubishi wa kuunda kanuni zisizo na mantiki wala logic.
 
Nimekuambia wewe,mimi nitakuambia kaumwa Mungu na wewe si hauamini...
Ndo uthibitishe sasa kama Mungu huyo yupo!

Yaani ili jibu lako liwe valid, lazima uthibitishe Mungu huyo yupo.

Je waweza kuthibitisha hilo nje ya mawazo yako tu na hadithi za uongo za dini!?
 
Akili ya kawaida inakubali ya kuwa kama Mungu ni mmoja basi dini ya Mungu lazima itakuwa Moja, mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.

Sababu nyinyi sio wasomaji mnasikia sikia tu, ukisoma Historia ya hizo dini nyingine utaona uongo wake wa wazi.

Mbinguni huendi kwa kubahatisha, bali kwa elimu na kuitendea kazi elimu husika.
Hayo ni mahubiri tu.

Huwezi thibitisha mbingu kama ipo

Huwezi thibitisha kama Mungu yupo.

Unapiga porojo tu humu na mahubiri yako.
 
Hii kanuni huwezi kuikosoa ndio maana hata hapa umeshindwa pia. Kanuni imemtoa


Allah Japo na yeye ni kitu.
Hapa ā˜ļøumekubali vizuri kwamba "Allah na yeye ni kitu"

Sasa ni hivi, šŸ‘‡

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo basi hata huyo Allah wenu lazima awe na chanzo.

Vinginevyo Allah huyo SI KITU na HAYUPO.

Hapa sasa usibishe tena na kuanza kuunda uongo uongo na kanuni za uongo uongo.
Kanuni inasema kila kitu isipokuwa Allah, hapo tayari imeshamtoa Allah, Sasa uongo uko wapi na kanuni Iko wazi ? Uwe unasomwa kwa kuelewa usisome ilimradi.

Nilikupa kazi hapa uje uthibitishe ukweli wa "Infinity" naona unaruka ruka tu.
 
Nimekupa hoja kibao ila haujawahi kutoa hoja hata moja..kwa vile hauna uhakika na upande wako.
Je hoja hizo ulizoleta zinamaana!?

Sasa kama mtu unafikia kusema kuwa "hata usemaje Mungu yupo tu"
Hii inaonesha kuwa umeishiwa hoja.

Yani unaniambia imani yako unayoilazimisha kuwa uhalisia?

Umeweza kuthibitisha Mungu yupo!?
 
Naam !! Yeye ndio muweza na anapnga kila kitu kwa vile hauna cha kumuhonga ilo upate kitu fulani.

Kampa Diamond utajiri wewe umenyimwa na hauna cha kufanya[emoji23][emoji23].

Hata mzazi hawez kukuomba msamaha ,ni matatizo ni tabia ya binadamu karibia wote tuna matatizo na mihangaiko ya maisha ni lqzima ...Haujakuja duniani kulala yaani usifanye kazi upate kila kitu .


Jaalia, duniani hakuna kazi watu wote wana maisha sawa ,hakuna majanga yaani tulale tu ....Huo sio mfumo wa dunia ya Mungu labda ukatafute nyingine baada ya kufa.[emoji23]
Mi sio maskini hali yangu ya kiuchumi ni nzuri tu na sio eti kwasababu mungu alitaka ni kwasababu nilisoma, nikapata kazi na nafanya kazi yangu kwa weledi na pengine nina pesa kuliko diamond sema diamond ndiyo tajiri uliyemkariri.

Vipi waliotajirika Kwa kudhulumu na kuibia watu, kuuza madawa nao mungu aliwapangia watajirike hivyo?

Mzazi haombi msamaha Kwa maana hakosei? Kuna wengine wamelelewa kizungu bwana. Pole Kwa kulelewa na gaidi unaloita mzazi [emoji23][emoji23]

Sema hivi mfumo wa dunia ndo ulivyo kuna majanga, lazima ufanye kazi upate kipato. Hiyo ya kusema dunia "ya mungu" unaichomeka ya nini?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja

Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Umepunguza hasira yangu dhidi ya uyu jamaa!

Yuko Blank kabisa!

Nitamjibu kwa kumsaidia baadaye!

Ila umempa kitu cha maana sana!

Kwamba Uchawi ndiyo lakini Mungu hayuko...Bogus a hundred times!!!
 
Hili nimeshalielezea Jana rejea nilicho kiandika. Nilimaliza kila kitu kuhusu hili.

Huna maelezo yoyote zaidi ya blah blah na kukwepa msingi wa swali

Jua lina mulika dunia muda wote, ukiona hapa Tz ni usiku wa saa 8 basi ujue huko somewhere bara amerika jua linawaka mchana wa saa 8

Muda unao ona jua linazama hapa Tz ujue kuna sehemu huko ndio linachomoza

Umaamuma wa Mudi kuhusu sayansi ndio ulimfanya aropoke hayo , aliona maajabu sana jua linachomoza mashariki halafu ā€œlinatembeaā€ hadi magharibi na kuzama
Akaona awapige kamba eti linaomba ruhusa kwa Allah [emoji23]
 
Umepunguza hasira yangu dhidi ya uyu jamaa!

Yuko Blank kabisa!

Nitamjibu kwa kumsaidia baadaye!

Ila umempa kitu cha maana sana!

Kwamba Uchawi ndiyo lakini Mungu hayuko...Bogus a hundred times!!!

Wapi nimeandika naamini UCHAWI?

Naamini katika SAYANSI
 
Swali langu nimekuuliza nani alikwambia maana ya upendo ni kutokuadhibu ?

Naam wewe hauna upendo wote na haiwezi kuwa nao. Sababu katika upendo wa Allah ni kumruzuku hata yule ambaye ana mkana kama wewe, kumpa uhai na mengine, hii bado ni sehemu ya upendo wake.
Kuumba tetemeko lenye kuleta maafa ni upendo!?
 
Lengo la tuumba sisi ni tumuabudu yeye peke yake.

Anajua sababu yeye ni Mjuzi wa kila kitu, na kujua kwake hakukuzuii wewe kufanya unacho taka.

Leo hii hakuna anae jua yeye ni wa motoni au peponi, maswahaba wa Mtume walimuuliza swali mfano wa hili. Akawaambia fanyeni matendo ya watu wa peponi muipate pepo, sababu hakuna anae jua kama yeye ni wa motoni au peponi.
Kama lengo la kuumba watu ni wamuabudu,

Kwanini kaumba na wasiomuabudu?

Kwanini Mungu mwenye upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuwezekana mabaya!?
 
Sasa kosoa hayo ili tukuone wewe ni mkweli ?

Usiruke ruke, nipo hapa nataka ianze kukosoa nukta baada ya nukta.
Niyakosoe mara ngapi!?

Hayo yamekosolewa na geography na fizikia tangu zamani tu.

Kwahyo milima iliwekwa ili dunia iliyo flat isiyumbe yumbe!?
 
Back
Top Bottom