SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣Tusisahau aliua watu wote kwa mafuriko isipokuwa familia ya mtu mmoja mwenye miaka 600Anyongwe kabisa
Mahakama zetu zinatenda haki hata kama ni watoto wako
Utasababishaje vifo vya wanao wote hao kwa makusudi
Mungu muweza wa yote na kama ana upendo kweli, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na hayo majanga?😂😂Yanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.
Mungu huyo kapendelea Tanzania isipate hayo majanga makubwa mbona husemi kwamba kapendelea.
Basi Mungu huyo ni mkatili sana.Mungu sio kwamb hawezi kuzuia ila yeye ndio kapanga
Hao walio kufa je walikuwa hawana haki ya kuishi?.hta katika hayo mafuriko sio wote wamekufa ni baadhi,
Mungu huyo, Hakujua kwamba hakuna binadamu anaye penda majanga hayo yatokee, Aumbe dunia isiyo na hayo majanga?majanha kama hayo yapo nje ya uwezo wetu hakuna anayependa yatokeee
Kwani kuna anaye penda kuwa kilema au mlemavu?ila ni Mungu muweza na hakuna jinsi unaweza kuzuia.
Mungu huyo kakupendelea wewe usiwe mlemavu na kakupa akili ni neema jaribu kushuruku ,huwezi kuonq neema mpaka yakufike..
Je waliokwisha kufa, Mungu huyo Hakujua kwamba watu hao wanahitaji uhai?Huoni hapo umeona umuhimu wa uhai basi unapumua bure mpaka uumwe ukapewe mtungi wa oxygen uanze kulipia ndio utajua kwambq kupumua tu ni upendeleo.
Uovu wa Mungu ni countless.Neema za Mungu ni countless na huwezi kuzijua mpaka ziondoke na ni nyingi kuliko mjanga.
Problem of evil 😈 imeelezwa vizuri zaidi na Epicurus.Hii Ni ukweli ambao ni mchungu kwa Watu kuupokea Wakasome problem of evil
Dhana ya Mungu imejengwa ili kuvunja sheria za fizikia.Moja ya ushahidi wenu wa uwepo wa Mungu ni kwamba hii dunia na vyote vilivyopo LAZIMA kuna aliye viumba
Na ni MUNGU
Mkiulizwa na Mungu ameumbwa na nani kama kanuni inasema kila kitu lazima kimeumbwa na muumbaji?
Mnaanza ngonjera za kumuwekea Mungu u special kwamba alikuwepo tu
kanuni yenu inatoa hitimisho moja tu
Mungu ameumba dunia baada ya yeye kuwa aliumbwa, na aliye muumba na yeye aliumbwa....... infinity
Kwa nini Allah atolewe na yeye ni kitu?Hii kanuni huwezi kuikosoa ndio maana hata hapa umeshindwa pia. Kanuni imemtoa Allah Japo na yeye ni kitu.
Hii kanuni yako ni kujaribu kukwepa logic reasoning.Kanuni inasema kila kitu isipokuwa Allah, hapo tayari imeshamtoa Allah,
Kama Allah huyo anaweza kuwepo bila chanzo, Hata Dunia inaweza vilevile kuwepo bila chanzo.Sasa uongo uko wapi na kanuni Iko wazi ? Uwe unasomwa kwa kuelewa usisome ilimradi.
Nilikupa kazi hapa uje uthibitishe ukweli wa "Infinity" naona unaruka ruka tu.
Kuna nchi nyingine ni usiku kwa sasa, huku kwetu ni mchana tunalitizama jua.Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?
Sasa Qur'aan itaje Milk Way ili iweje ? Yaani ifate mawazo ya Wajinga ?
Qur'an siyo kitabu Cha Sayansi kijana, kile ni kitabu Cha muongozo kinasema ya kweli na haki.
Sasa thibitisha ya kuwa Jua halitembei, Jua halisujudu Jua halifanyi hayo yote ?
Siamini kama una uwezo wa kufikiri kidhahaniaWapo ambao wamezaliwa na wazazi ambao si Waislamu na Sasa ni Waislamu. Unaandika nini kijana ?
Hata hiyo means, Allah angetaka wote tuwe Waislamu tungekuwa ila hajafanya hivyo kwa hekima zake na taratibu zake kwa makusudi ili tufikie lengo la sisi kutuumba.
Kingine ametoka hiyo means na akaweka hali wezekano ya kuimudu hiyo means ndio maana hata sisi tusio Waarabu tumesoma na Tunaendelea kusoma na tunakijua.
Sasa kwa utaratibu wa Allah ni kuwa lazima uweke juhudi katika kuliendea jambo fulani na hapendi watu wazembe.
Ukiimaanisha kwamba uumbaji wa mungu ulishakamilika tangu mwanzo hivyo hakuna viumbe vipya vilivyokuja/vitakuja si ndio?Nitaamini kama ukinionyesha viumbe wapya waliozuka kama ulivyozuka wewe
Wewe hunaga hoja zaidi ya Ubishi ubishi tu.Haya ndio matatizo ya kutokusoma ninacho kiandika. Soma tena hili swali unarudia hii mara ya pili au Tatu. Hii inaonyesha wazi huna hoja.
Ndo uthibitishe sasa kama Mungu huyo yupo!Nimekuambia wewe,mimi nitakuambia kaumwa Mungu na wewe si hauamini...
Hayo ni mahubiri tu.Akili ya kawaida inakubali ya kuwa kama Mungu ni mmoja basi dini ya Mungu lazima itakuwa Moja, mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
Sababu nyinyi sio wasomaji mnasikia sikia tu, ukisoma Historia ya hizo dini nyingine utaona uongo wake wa wazi.
Mbinguni huendi kwa kubahatisha, bali kwa elimu na kuitendea kazi elimu husika.
Hii kanuni huwezi kuikosoa ndio maana hata hapa umeshindwa pia. Kanuni imemtoa
Hapa ☝️umekubali vizuri kwamba "Allah na yeye ni kitu"Allah Japo na yeye ni kitu.
Kanuni inasema kila kitu isipokuwa Allah, hapo tayari imeshamtoa Allah, Sasa uongo uko wapi na kanuni Iko wazi ? Uwe unasomwa kwa kuelewa usisome ilimradi.
Nilikupa kazi hapa uje uthibitishe ukweli wa "Infinity" naona unaruka ruka tu.
Je hoja hizo ulizoleta zinamaana!?Nimekupa hoja kibao ila haujawahi kutoa hoja hata moja..kwa vile hauna uhakika na upande wako.
Mi sio maskini hali yangu ya kiuchumi ni nzuri tu na sio eti kwasababu mungu alitaka ni kwasababu nilisoma, nikapata kazi na nafanya kazi yangu kwa weledi na pengine nina pesa kuliko diamond sema diamond ndiyo tajiri uliyemkariri.Naam !! Yeye ndio muweza na anapnga kila kitu kwa vile hauna cha kumuhonga ilo upate kitu fulani.
Kampa Diamond utajiri wewe umenyimwa na hauna cha kufanya[emoji23][emoji23].
Hata mzazi hawez kukuomba msamaha ,ni matatizo ni tabia ya binadamu karibia wote tuna matatizo na mihangaiko ya maisha ni lqzima ...Haujakuja duniani kulala yaani usifanye kazi upate kila kitu .
Jaalia, duniani hakuna kazi watu wote wana maisha sawa ,hakuna majanga yaani tulale tu ....Huo sio mfumo wa dunia ya Mungu labda ukatafute nyingine baada ya kufa.[emoji23]
Umepunguza hasira yangu dhidi ya uyu jamaa!Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja
Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Hili nimeshalielezea Jana rejea nilicho kiandika. Nilimaliza kila kitu kuhusu hili.
Umepunguza hasira yangu dhidi ya uyu jamaa!
Yuko Blank kabisa!
Nitamjibu kwa kumsaidia baadaye!
Ila umempa kitu cha maana sana!
Kwamba Uchawi ndiyo lakini Mungu hayuko...Bogus a hundred times!!!
Kuumba tetemeko lenye kuleta maafa ni upendo!?Swali langu nimekuuliza nani alikwambia maana ya upendo ni kutokuadhibu ?
Naam wewe hauna upendo wote na haiwezi kuwa nao. Sababu katika upendo wa Allah ni kumruzuku hata yule ambaye ana mkana kama wewe, kumpa uhai na mengine, hii bado ni sehemu ya upendo wake.
Kama lengo la kuumba watu ni wamuabudu,Lengo la tuumba sisi ni tumuabudu yeye peke yake.
Anajua sababu yeye ni Mjuzi wa kila kitu, na kujua kwake hakukuzuii wewe kufanya unacho taka.
Leo hii hakuna anae jua yeye ni wa motoni au peponi, maswahaba wa Mtume walimuuliza swali mfano wa hili. Akawaambia fanyeni matendo ya watu wa peponi muipate pepo, sababu hakuna anae jua kama yeye ni wa motoni au peponi.
Niyakosoe mara ngapi!?Sasa kosoa hayo ili tukuone wewe ni mkweli ?
Usiruke ruke, nipo hapa nataka ianze kukosoa nukta baada ya nukta.