Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimshinde zishimshinde yeye sio mwarabu wala mzungu .ujinga wa warabu na wazungu muafrika haumuhusuSawa.Wasalimie Sekenke mkuu.Ila dini hizo mbili zimekushinda.
Kwanini unauliza nani!?Kama Mungu hayupo, dunia na viumbe hai vyake viliumbwa na nani?
Hivyo vitu vinavyokutia mashaka, ndivyo vikuongoze kujiamini kabisa kuwa Mungu hayupo....kama mtu hataki kuamini kuna mungu... We muache... Mungu si mnasema anauwezo ko atamfanya amtambue kwa uwezo wake... Mbona tunalazimishana bana... Mimi nikimwambia mtu kuhusu mungu na akawa haelewek unamuacha... Na wewe kama mcha mungu kamwombee japo amjue mungu kupitia maombi yako... Me naamini mungu yupo lakn kuna vitu vinanitiaga mashaka... Huwa naulizia kwa waumini wananielewesha maisha yanasonga...
Logical non sequitur fallacyKwanini mnarudia swali ambalo nimeshawajibu ?
Allah hajaumba watu ili awachome ? Hakuna popote kimeandikwa kitu hiki, bali ameumba watu ili wamuabudu kwa maana ya lengo maalumu. Katika mchakato huo Kuna mambo mengi ili mja afikie lengo la kuumbwa kwake. Baada ya kumuabudu Kuna Kuna kufa kisha kufufuliwa, kwa maana ya kulipwa kila mja stahiki yake.
Kwahiyo hao watakao chomwa ni baada ya wao kukaidi maagizo ya Allah katika kulifikia lengo la wao kuumbwa, tena kwa hiari yao na matakwa yao.
Allah alipo tuumba akatupa uhuru wa kuchagua, kwa akili ya mwanadamu tungeumbwa pasi na uhuru nako tunge lalama.
Haya kuwa katika uhalisia, ili tuelewaneThibitisha ya kuwa Mungu hayupo. Usiandike andike tu.
Kama upo nje angalia juu mbinguni.
Mimi watu kama wewe huwa nawafurahia.Naamin Mungu yupo na yanipasa nimshukuru kwa kila jema..ila sifati kila kilochoandikwa kwenye vitabu..vingine fekero.
Lete maelezo,hakuna watu wajinga kama watu walokua hawaamini Mungu.
Sijamkataza mtu kuamini ama kuto-kuamini,Mimi watu kama wewe huwa nawafurahia.
Umetanguliza kuwa unaamini.
Lakini ukweli kwamba Mungu hayupo haumzuii mtu yeyote kuamini kuwa kuna Mungu!!!
God is just an illusion.
Hapa hatuko katika mjadala wa science.H
Me naamini Kama Hauko YES basi Uko NO kwahiyo naamini kama hauamini the Presence of God & Religions basi Utakuwa Believer wa Science bila Shaka. Na we all Know kwamba Science ina base ktk the question of how, religion ina base katika the question of why. sasakwakuwa science ina jikita kwenye 'How' ndio Utufafanulie sasa how did the Universe came Up as it opposed to Religious claim kwamba 'The Universe came Up from God'.
Tuwekane hapo sawa ili mabishano yetu yawe na #Mantiki sasa
Kitendo cha kuwezekana kuwepo kwa silaha ni uthibitisho tosha kabisa kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.Angalii hii video jamaa alitaka kumpiga bastola huyo jamaa aliyevaa nguo nyekundu ila ilikuwa haikupangwa jamaa kupigwa bastola.
Je kukiri kwa hao kunathibitisha kuwa Mungu yupo!?Safi sa
Safi hapa sasa ndio tunajifunza vitu vya msingi kuliko zile porojo tu sasa una habari kwamba Einstein mwenyewe alikuja Akakiri kwamba Anaamini katika uwepo way Mungu kutokana na hiyo uliyoeleza hapo juu yaani "lack of frame of reference" about exactly source ya Universe?
Sio huyo tu hadi kina Gallileo Galilei wote walisarenda kwamba there is God running the things in this Universe!
Huyo utahangaika tu mkuu,Nimeuliza kama utaweza kumtafsiri mtu anae mchoma mtoto wake kwa kosa lolote kama ana upendo au la, wewe unanijibu mwenye kuchoma ni Allah!
Wala Sijauliza kama ni haramu kuchoma mtu. Nimeuliza tafsiri ya watu wenzako tu ju ya upendo.
Wala sijauliza kuhusu Allah.
Jibu swali langu tafadhali.
Mzazi mwenye kumchoma mtoto wake aliyekosea wewe binafsi utamuona mzazi huyo kama mwenye upendo sana na mtoto wake??
Logical non sequiturMatokeo nayatokana na uwezo wa mtu kushindwa kupambana na mitihani ,yaani maisha magumu mwingine anashindwa kupambana mpaka akajinyonga.
Nlijua tu kuwa haujui kuwa jua ni nyota.Nani alikwambia Jua ni nyota ? Ndio huwa mnasema Jua ni "Nyota kubwa" sio ?
Unaangalia upande wa ukatili tu sio ,tatizo lako umebase kweny kulaumu ila neema nyingi huzioni ...Kitendo cha kuwezekana kuwepo kwa silaha ni uthibitisho tosha kabisa kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Angekuwepo asingekuwa mkatili kiasi hicho cha kutupatia akili hizi zenye kuweza kufikiria kutengeneza silaha za kuuana.
"Wote wanaosema kuwa kila kitu kimepangwa, angali jinsi walivyo makini kabla ya kuvuka barabara"
Shukrani kwa kionjoMasai mmoja anayehisiwa kuwa na Ugonjwa wa Kusahau Alikwenda hospitali kumweleza doctor kwamba anasumbuliwa na tatizo la jino kumuuma, alipoulizwa tatizo limemuanza lini masai akajibu 'tatizo gani? "🤣
Unalazimisha na hauna hoja zaidi ya kulalamika sijaona hoja zako zaidi unalalamika..Logical non sequitur
Kwa majibu hayo ni ushahidi kwamba umeshindwa kutegua contradiction hiyo.
Acheni kuhadaa watu.
Huyo Mungu hayupo katika uhalisia