View attachment 2750610
Tafuta kitabu kinaitwa A brief history of humankind halafu kisome mpaka utakapokutana na hiyo picha ndio utaelewa hii kelele ya Mungu inaanzia wapi...kimeandikwa na Yuval Noah Harrari....Pia bwana hawking na yeye si wa kumpuuzia pata nakala ya brief history of time...brief answers to big question...ukimaliza hivi vitabu mtafute Lex Fridman kwenye upande wa podcast kuna wataalamu wanaielewa hii dunia kupita kiasi huwa wanapiga story na jamaa...
Kwa watakaouliza Lex Fridman ni nani? Huyu ni proffesor kutoka chuo cha MIT....ukimaliza hutakuwa na haja ya kubishana na mtu yoyote juu ya uwepo wa kisichokuwepo...cha msingi tuu ni kwamba ni vizuri akawepo kwenye akili yako ili ikusaidie katika kuboresha afya ya subconcious mind yako kwa sababu huwa inafanya kazi katika kanuni ya morality...
Tofauti na hivyo utaishia kuwa ni mtu wa grief ukiniuliza ni kwanini jibu ni jepesi ukimkataa wanayemuita Mungu hasa kwa Tanzania ambapo elimu bado ipo chini utakuwa umeyakataa maisha..ambayo mimi binafsi nnamini watu walitumia miaka mingi sana kuimagine reality ambayo ndio imekuwa coded mpaka kwenye DNA yetu na ndio maana ni rahisi hata mtu kuamini kuwa Mungu yupo kwasababu hayo ndio maisha yenyewe..ilisafiri vipi?? Usisahau kuhusu inheritance
Nimalizie kwa kusema life would have been tragic if it weren't funny...