Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Mkuu wewe ni mpinga kristo na Allah. Kwa uzi wako huu tu, mbinguni utapasikia redioni tu....hufiki ng'o!
Kumbe unamkuball Kristo na Allah!?

Unaweza kunithibitishia kuwa mbingu ipo!?

Unaweza kuthibitisha Allah huyo yupo nje ya hadithi!?
 
Siku zao za kufa zimefika hakun mpango wa kuishi milele na haiwezekani.
Siku zao za wapi!?

Mungu hakuilowesha dunia kwa ghadhabu na kuua mamilioni ya watu!?

Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ni upendo wote!?
 
Siku zao za wapi!?

Mungu hakuilowesha dunia kwa ghadhabu na kuua mamilioni ya watu!?

Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ni upendo wote!?
Tatizo hamsomi vitabu vya dini alafu mnakuja kuleta bra bra, mngesoma mkaelewa,
 
🤣Ushaambiwa binadamu hahitaji Mungu ila Mungu anahitaji binadamu kuexist...ndio maana vitabu vyote ni binadamu wameandika, makanisa misikiti hekalu zote ni binadamu wapo sio Mungu sio malaika ni binadamu ndo ujiulize 🤣 man created god in his own image
Yes absolutely
_20230916_111503.JPG
 
Una uhakika unachokizungumza bwana mdogo ? Au ilimradi upinge tu....Kwa nlivyokusoma ni kwamba umeshadhamiria "KUKATAA" yani ni mtu ambae haupo tayari kujua undani wa jambo ambalo akili yako ilishasema halipo..
Hata hivyo rohoni sio uhalisia kwa maana sio jambo ambalo lipo in physical form so kwa hapo upo sahihi, lakini sio ILLUSION kama madai yako unavyosema...Practice then ulete mrejesho na sio hizi bra bra.
Wewe uliye practice hiyo Meditation
Na kusema ipo, Nieleze ipoje?

Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion.

Mbona una zunguka zunguka tu, bila kuelezea muonekano wa hiyo Meditation?
 
Wewe uliye practice hiyo Meditation
Na kusema ipo, Nieleze ipoje?

Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion.

Mbona una zunguka zunguka tu, bila kuelezea muonekano wa hiyo Meditation?
Nna wasi wasi na afya yako ya akili, Nmeshakueleza wazi pamoja na yule mwenzako, Jifunze meditation then mje mlete mrejesho hapa kuwa ile hali anayopitia mtu wakati wa meditation ni nini,

Unajibu bra bra

Sasa hivi unataka mimi ndio nikupe maelekezo tena na wakati maelekezo nmeshakupa kuwa ukafanye kwa vitendo, nmesema ukafanye kwa vitendo kwakua mna vichwa vigumu vya kuelewa maelezo ya bila vitendo...
 
Wewe uliye practice hiyo Meditation
Na kusema ipo, Nieleze ipoje?

Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion.

Mbona una zunguka zunguka tu, bila kuelezea muonekano wa hiyo Meditation?
Hata meditation haujui ni nini, ukaja na jibu jepesi eti ni Illusion, yani nyinyi watu mnashangaza kusema kweli
 
Kwann mwanadamua anatumia fikra zake zisizoonekana kujadili kisichoonekana na kujihesabia Hali yeye na kujiamini ilhali hazioni fikra zake.

Ni ajabu Kuona m2 anatumia Law of Causality ila m2 huyo huyo kuipinga Sheria hiyo hiyo ikisapoti upande mwingine.
 
Hata meditation haujui ni nini, ukaja na jibu jepesi eti ni Illusion, yani nyinyi watu mnashangaza kusema kweli
Wewe unaye ijua hiyo Meditation, Nakwambia hivi eleza ipo kwa namna gani?

Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?

Si unasema si ijui, ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?

Acha kuzunguka zunguka. Jibu swali.
 
Kwann mwanadamua anatumia fikra zake zisizoonekana kujadili kisichoonekana na kujihesabia Hali yeye na kujiamini ilhali hazioni fikra zake.

Ni ajabu Kuona m2 anatumia Law of Causality ila m2 huyo huyo kuipinga Sheria hiyo hiyo ikisapoti upande mwingine.
Neno "fikra" ni la kufikirika halipo kwenye uhalisia.

Kuto kuonekana kwa kitu, si kwamba hakipo. Kuna namna karibu nne za uwepo wa kitu.

Kuonekana, kushikika, kusikika, na kuhisika.

Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo kati ya hizo hapo nne.

Ndio maana upepo hauonekani ila upo kwa kusikika ukivuma, Joto na baridi vipo kwa kuhisika n.k

Sasa Mungu hayupo kwa namna yoyote ile kati ya hizo nne hapo Haonekani, Hasikiki, Hashikiki na wala Haisiki.

"Mungu na fikra" ni dhana ya kufikirika tu, Imagination just an illusion.
 
Nani akuamini kwa jibu jepesi kama hilo, Hata wewe mwenyewe hujiamini ndio maana umeanza na "Je"
Kuanza na "je" maana yake swali linaulizwa

Yani wewe kigezo chako cha kupima kujiamini au kutokujiamini kwa mtu ni matumizi ya "je" kwenye sentensi?

Swali kubwa lilikuwa kwamba dunia na vitu vyake lazima viwe na muumbaji haviwezi kujileta.

Kusema dunia itakuwepo, ilikuwepo na itaendelea kuwepo na vitu vyake ndani, haina mwanzo wala mwisho na haina mtengenezaji kwako ni jibu jepesi ambalo unadhani hakuna atakaeniamini

lakini ukiulizwa mungu alitokea wapi unakubali kwamba mungu hana mtengenezaji, alikuwepo, ataendelea kuwepo, hana mwanzo wala mwisho na kwako hili unaona sio jibu jepesi.

Kama unakubali mungu anaweza kuwepo bila mtengenezaji kwanini nikikwambia hivyo hivyo kwa dunia unaona ni jibu jepesi ambalo haliwezi kuaminika?


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Akili Haipo kwenye uhalisia.

Akili ni neno la kufikirika tu linalo onyesha hali ya kibinadamu ya kuwa na uwezo fulani.

Kama una Akili, ilete hapa ni ione.
So unajiamin kipi kuwa upo na Absolute truth juu ya Jambo la wenzio unaowapopoa Kama akili unaamini haiwezi kuwa halisia.

Na Kama ni hivyo Taarifa ulizonazo zoote ziweke kwenye mabano Mana yaweza kuja Siku ukawa na hoja tofauti kuzielekea taarifa hizo.

✅Nakuacha na walokole Brother.
 
So unajiamin kipi kuwa upo na Absolute truth juu ya Jambo la wenzio
Absolute truth ni nini?

Labda ni kwambie hivi, Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Ukweli (absolute truth) Hauendani na imani, Ukweli(absolute truth) una endana na proofs, evidences, Logic,facts na uthibitisho wa kutambulika.

Ili kitu kiwe kweli lazima uthibitisho uwepo na si mawazo ya kufikirika tu.

Imani inaendana na kutokuwa na uhakika, Imaginations just an illusion.
unaowapopoa Kama akili unaamini haiwezi kuwa halisia.
Akili ni nini? Ulisha wahi kuiona?
Ukisema una akili lazima ui eleze ipoje.

Nakwambia hivi Akili ni neno na dhana ya kufikirika tu inayo onyesha hali ya kibinadamu ya kuwa na uwezo fulani.

Akili si kitu kilichopo kwenye uhalisia.
Na Kama ni hivyo Taarifa ulizonazo zoote ziweke kwenye mabano Mana yaweza kuja Siku ukawa na hoja tofauti kuzielekea taarifa hizo.

✅Nakuacha na walokole Brother.
 
Hujajibu swali,

Hujibu unacho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.

Naku uliza hivi 👇

Mungu huyo hajui Akili za wanadamu zilivyo hadi azipime?
Anajua akili zake ndio maana anampa mitihani kwa vile kampa akili🤣.Hilo ndio jibu .!!

Sasa nijibu mara ngapi na hakuna hata swali langu moja umejibu...

Swali nalijibu unarudia
 
Unaweza kupima kitu unachokijua?
🤣🤣🤣Vitu vipo vingi, tofauti na kiumbe ndio maana hata shule unapewa mtihani kulingana syllabus yaani kitu mlichosoma na kipo ndani ya uwezo wenu, ila bado wengine wanafeli.
 
Siku zao za wapi!?

Mungu hakuilowesha dunia kwa ghadhabu na kuua mamilioni ya watu!?

Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ni upendo wote!?
Kufa ni adhabu? Kifo sio adhabu wala majanga sio adhabu ndio maana kifo unaweza kupata kwa style yeyote ile sio lazima uumwe au upate ajali...Kifo ni mfumo tu kama kuzaliwa yaani kunq kuzaliwa na kufa na wala hamna guarantee ya kuishi miaka fulani kila mtu span of time ya kuishi dunia.
 
Back
Top Bottom