Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Hivyo vitu vinavyokutia mashaka, ndivyo vikuongoze kujiamini kabisa kuwa Mungu hayupo.

Jibu la Mungu ni jibu jepesi zaidi ambalo linafit akili za watu haswa watoto.

Nawewe huwezi kuhoji mashaka hayo kwasababu umetiwa hofu ya kukufuru.

Hata ukitaka kuhoji utaenda kupewa mahubiri tu, na ukihibiriwa hakuna kuhoji zaidi.

Wanazima upelelezi.

Ila ukweli ni kwamba, Hakuna Mungu.

Mungu ni mhusika wa hadithi za kubuni tu.

Binadamu tuliumba Miungu kwa mfano wetu sisi.

Iko miungu mingi sana

Ila yote ina hadithi tofauti kulingana na jamii husika!
 
Logical non sequitur fallacy

Tatzo sio kujibu,

Je jibu hilo lina akili?

Angalia mfano huu.

Smotor : Kisai Kwanini unalia?
Kisai :Naelekea sokoni kununua mboga

Ila mtu huyo nae atadai kajibu

Je jibu hilo ni sahihi hapo?

Hicho ndicho unachokifanya hapo.

Kujibu si tatzo je jibu lako linamantiki ya kuendana na ulichoulizwa!?

Huwezi kunijibu kama inavyotakiwa kwasababu hyo ni contradiction tu na huwezi kuitatua.

Naomba nrudie tena

Mungu mjuzi wa yote

Maana yake alijua kabisa kuwa kuna Smotor huyu nkimuumba hataniabudu.

Kwanini amuumbe Smotor ili aje kumchoma moto!?

Je Mungu huyu ni wa upendo wote kama anataka kuona kiumbe chake kikiteketea wakati alijua kitaenda tofauti nayeye!?

Kama lengo la kuumba ni ili watu wamuabudu, Kwanini asingeumba wale tu watiifu akina kisai na akaachana na akina Smotor!?

Unadhani hata hizi akili za kutokumuabudu zimetoka wapi kama sio kwake?

Kama Mungu ni wa upendo wote kwanini asi_edit akili zetu sisi tusiomuabudu ili tumuabudu yeye asituchome moto?

Unafahamu kwamba ukileta kigezo cha kutupa free will halafu aje kutuchoma moto tyari anakiwa sio wa upendo wote, anakuwa Mungu katili sana asiye na huruma?
 
Thibitisha ya kuwa Mungu hayupo. Usiandike andike tu.
Haya kuwa katika uhalisia, ili tuelewane

Hivi kwamfano nkakuuliza-

Unajua hapo juu ya kichwa chako kuna filimbi ya dhahabu ambayo inaongoza mawimbi yote ya sauti duniani.

ukweli kwamba filimbi hiyo haipo na haiwezekani kuwepo.

Nawe ukanijibu kabisa kuwa filimbi hiyo haipo

Sasa nkwambie thibitisha kuwa haipo!!

Utasemaje hapo!?
 
Mimi watu kama wewe huwa nawafurahia.

Umetanguliza kuwa unaamini.

Lakini ukweli kwamba Mungu hayupo haumzuii mtu yeyote kuamini kuwa kuna Mungu!!!

God is just an illusion.
Sijamkataza mtu kuamini ama kuto-kuamini,
Imani ni jambo binafsi, hata usipoamini sio kosa kabisa ile hali hatukwazani...

Hata wanangu ni haki yao kuchagua kinachowafaa wala sitamuhukumu hata mmoja..
Zaidi nataka kuona wanajua zuri na baya.

Nashangaa sana familia zinazowakomalia watoto kurithi dini zao na wengine wanawatenga kabisa.

Dini ni usanii mkubwa sana.
 
Hapa hatuko katika mjadala wa science.

Hata kama science haina jibu kuhusu how Universe ilianza, hilo halikuthibitishii wewe kwamba kuna Mungu.

Title ya thread hii ni kama ilivyoandikwa.

Inadeal na huu utapeli wa kuhadaa watu kwamba kuna Mungu.

Unaweza kuthibitishia wewe kwamba kuna Mungu?
 
Angalii hii video jamaa alitaka kumpiga bastola huyo jamaa aliyevaa nguo nyekundu ila ilikuwa haikupangwa jamaa kupigwa bastola.
Kitendo cha kuwezekana kuwepo kwa silaha ni uthibitisho tosha kabisa kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo asingekuwa mkatili kiasi hicho cha kutupatia akili hizi zenye kuweza kufikiria kutengeneza silaha za kuuana.

"Wote wanaosema kuwa kila kitu kimepangwa, angali jinsi walivyo makini kabla ya kuvuka barabara"
 
Je kukiri kwa hao kunathibitisha kuwa Mungu yupo!?
 
Huyo utahangaika tu mkuu,

Siku zote Huwa Haelewi hata anachokijibu.

Hajui hata mantiki ni kitu gani
 
Matokeo nayatokana na uwezo wa mtu kushindwa kupambana na mitihani ,yaani maisha magumu mwingine anashindwa kupambana mpaka akajinyonga.
Logical non sequitur

Kwa majibu hayo ni ushahidi kwamba umeshindwa kutegua contradiction hiyo.

Acheni kuhadaa watu.

Huyo Mungu hayupo katika uhalisia
 
Nani alikwambia Jua ni nyota ? Ndio huwa mnasema Jua ni "Nyota kubwa" sio ?
Nlijua tu kuwa haujui kuwa jua ni nyota.

Hata kitabu cha dini yako hakitambui hilo.

Jua ni moja wapo ya nyota,

Usiseme Jua ni nyota kubwa kuliko zote.
Unaiona kubwa kwasababu iko karibu tu.

Hilo jua lina Radius ya 696,000 kilometers.

Wakati nyota kama Hadar(Beta centauri) ina Radius ya 5.983 million kilometers.

Ni kwamba unadhani ni ndogo kwasababu iko mbali tu (Hadar iko umbali wa miaka ya mwanga 392.02. Kutoka duniani)

Umepata pata kitu sasa Kisai ?
 
Unaangalia upande wa ukatili tu sio ,tatizo lako umebase kweny kulaumu ila neema nyingi huzioni ...

Angalau siku moja upate ulemavu ndio utajua umuhimu wa kuwa kimwili na afya kuwa njema.
 
Masai mmoja anayehisiwa kuwa na Ugonjwa wa Kusahau Alikwenda hospitali kumweleza doctor kwamba anasumbuliwa na tatizo la jino kumuuma, alipoulizwa tatizo limemuanza lini masai akajibu 'tatizo gani? "🤣
Shukrani kwa kionjo

Turudi kwenye mada kuu.

Unaweza thibitisha Mungu yupo?
 
Logical non sequitur

Kwa majibu hayo ni ushahidi kwamba umeshindwa kutegua contradiction hiyo.

Acheni kuhadaa watu.

Huyo Mungu hayupo katika uhalisia
Unalazimisha na hauna hoja zaidi ya kulalamika sijaona hoja zako zaidi unalalamika..

Au nionyesha hauna hoja kifupi unalalamika kwa nn yule yupo hivi ? Huyu yupo hivi ? Sio hoja hizo ni vile wewe unataka ..


We umekuwa unalalamika tu hutoa hoja🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…