Sasa uache utoto.Goodbye
Si umesema ni uongo, maana yake unajua zaidi. Inakuwaje unakimbia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uache utoto.Goodbye
🤣We ni mtoto siwezi bishana na wewe kila mtu kakuambia hatupo kwenye "my book says so"Uwoga wa nguchiro ni sawa na uoga wako ? Hasira za Mbwa ni sawa na hasira zako ? Wivu wa nyegere ni sawa na wivu wako ?
Sasa vipi Allah awe na sifa hizo halafu zifanane na za mwanadamu ? Allah hafanani na kiumbe chochote katika sifa zake, sifa zake ni kamili.
Sasa usimlinganishe Allah na mwanadamu, Allah ana Mikono miwili yote ipo upande wa kulia, lakini Mikono yake haifanani na chochote. Hata birika Lina mkono kijana, je mkono wa birika ni sawa na mkono wako ?
Sasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.
Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.
We ni mtotoSasa uache utoto.
Si umesema ni uongo, maana yake unajua zaidi. Inakuwaje unakimbia ?
Sasa wewe unatakiwa ukosoe hicho nilicho kiandika ili uwe mkweli, Sasa unasema ni uongo na unashindwa kujibu hoja, Sasa mtoto nani ?🤣We ni mtoto siwezi bishana na wewe kila mtu kakuambia hatupo kwenye "my book says so"
Poa.We ni mtoto
Mpaka radi inasujudu embu mueleze huyoSasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.
Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.
Mi nasema biblia ya ukweli .. mwingine aseme uhindu wa ukweli hatuwezi fikaSasa wewe unatakiwa ukosoe hicho nilicho kiandika ili uwe mkweli, Sasa unasema ni uongo na unashindwa kujibu hoja, Sasa mtoto nani ?
Yaani unakusha jambo ambalo huna elimu nalo, huu ni uchizi.
Waislamu kufeli mashuleni , mngeanzia apa, elimu ya Allah inaenda kinyume kabisa na elimu ya darasaniSasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.
Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.
Akishahusika na uwepo wangu aihitaji mapanga, marungu au makombora kumfikia, automatic nguvu zinasafiri kwa zaidi ya speed ya mwanga kumfikia yeye ambae ni zaidi ya majina.Yupi asa Kuna miungu mingi na kila dini inampa Mungu wake sifa ya uumbaji
Ukieleweka nishtueAkishahusika na uwepo wangu aihitaji mapanga, marungu au makombora kumfikia, automatic nguvu zinasafiri kwa zaidi ya speed ya mwanga kumfikia yeye ambae ni zaidi ya majina.
Kwamba jua linaomba ruksa tena???Thibitisha ya kuwa huo ni uongo.
Jamaa ni Tomaso anataka uthibitisho wa uwepo wa MUNGU.Acheni kumkufuru Mungu jamani
Na jamaa anauliza kwanini iwe hivi Sasa kama ilivyo(Dunia)Uthibitisho wa kwanza Mungu yupo ni wa kiasilia wala hakuna haja ya kupiga kelele.
Ipo hivi ,jamii zetu kihistoria hata uende kwa wahadzabe wanaoishi porini kuna kitu wanaabudu ambacho ni imagery yaani kinabaki kama imani ya moyoni ,wanaweza kuabudu hata mti kwa sababu mambo yanayotokea dunia hakuna kiumbe hai (anayeonekana anaratibu hayo mambo) kama magonjw ,vifo ,ulemavu ,watu kuzaliwa na jinsia tofuati & watu kuzaliwa na kasoro....Mfumo mzima wa maisha ya binadamu hakua ajuaje kesho ina maana akili ya binadamu hata yule primitive kabisa kama mnavyosoma alikuwa anaabudu kitu ambacho kipo kweny ulimwengu wa kiroho.
Binadamu wa zamani walikuwa na upeo mkubwa sana wa mambo ndio maana waliweza kuabudu hata miti na mizimu kwa sababu walijua binadamu halisi hana achojua kuhusu kesho yake ,kama laiti angejue angekuwa mtu wa kuhairisha mambo (procrastinating ) ...Nina maana gani kama mtu leo anajua anaenda kupata ajali basi asingeenda hiyo safari wala kupanda hiko kipando (gari, pikipiki,baiskeli)
Maisha ya binadamu ni fumbo hata yule Hawking na kejele zote ila kaishia kuwa zombie(paralyzed) hajielewi yaani yeye pia na akili zote hajui kesho yake ,je kapenda kuwa vile wakati alihangaika kujibu ikashindikana mpaka kama kama zombie mpaka umauti unamfika..
Wanakuja wazungu na wanasayansi nguli[emoji3578][emoji3578]
Mapema kabisa wanadamu anapoanza kufanya ugunduzi anakujw kugundua kila kinatokea katika "muunganiko wa hatua na force zinawezesha hilo jambo kufanyika" finally wanakuja kukubali kila kitu kinaendeshwa na "mechanism" ina maana kutokea kwa kila kitu kuna sababu...
Mbegu lazima ipande kweny ardhi kama sio lazima labda maabara basi lazima ipate mwanga na oxygen ,mtoto lazima patokee muingiliano wazazi kama ni surrogance lazimq mbegu za wazazi zikutane ...
Ina maana hata utengenezaji wa vitu dunia mpaka ndege na magari ,wataalum walitumbia formular ya mechanism na kufanya kitu fulani kifanye hivi kama ni gari itembee ,kama mashine izalishe .
Je ulimwengu huu hauna mechanism?[emoji3578] Na kama zipo je ni nn kipo chum ya mechanism hzi zinazoleta usiku na mchana ,kuzama kwa jua,kupata majria mbalimbali ya mwaka...kama mvua hutokana na miti mbona jangwani inayesha japo kwa uchache ..
Kuna binadamu anapenda kuzaa mtoto chizi ? Kuna binadamu anapenda kufeli mitihani yake ya kimasomo ? Kwa nn wengine wapo vizuri darsani na wengine la basi tuseme ni genetic zq ukoo na familia ila ipo familia ina vipanga na bado kuna mwamba anakuja kulamba zero kutoka familia hiyo hiyo.
What if kama binadamu wasingekuwa tofauti yaani wote wapo sawa ni wazima(hamna mgonjwa) ,wote wana pesa, wote weupe ,wote jinsia moja .
..
Ni kwamba tusingekuwa na mfumo wa kiutawala kwanza baina yetu na pia isingekuwa dunia hii tunaoishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo raha ya kushiba.unajamba jamba tu ovyo
Kuna swali pia Mimi napenda kujua.Kwahiyo Mungu baba muumba wa vyote unamlinganisha na baba yangu labda alikua mtu wa tungi anatembeza bakora tu hataka kama huna kosa?
Makosa kafanya Adam na hawa iweje tuadhibiwe dunia nzima?
Tena yeye mwenyewe ndio kamtupia huyo nyoka aliyeshindwana naye na nyoka huyo akaapa kwa Mungu kuwa atapotosha binaadamu
Huyu Mungu alitarajia nini sasa wakati kamuumba Adam na Hawa akawapa udhaifu wa kupotoka na akampa shetani uwezo wa kupotosha halafu walipo potoshwa eti akakasirika na akawalaani wao na vizazi vyao vyote
Huyu ndio Mungu anatupenda kweli?
Nenda kasome vizuri kwanza kabla sijakukosoa.Waislamu kufeli mashuleni , mngeanzia apa, elimu ya Allah inaenda kinyume kabisa na elimu ya darasani
Mtoto lazima achanganyikiwe asijue Cha kujibu
Fikiri mtoto anaulizwa aelezee solar system!?!
Kuna swali pia Mimi napenda kujua.
Adamu na HAWA Waliwazaa KAINI na ABEL
KAINI akamuua ABEL kwa wivu.
Baadae Adamu na Hawa wakamzaa Seth KAINI Na Seth walioa na kuzaliana.
Swali "Hao waliolewa na KAINI na ABEL walitokea Wapi!?
Bibilia haitoi majibu ya hili swali
Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa wakwe zao yaani wake za watoto wao KAINI na Seth walitokea Wapi!?
Basi tufanye tunajijibu hivi walizaa na dada zao yaani mabinti wa KAINI na ABEL. (Incest)
Hapo hapo biblia Inakuambia incest ni LAANA na dhambi how comes!?
Kuna mambo hayana logic kabisa tunamezeshwa tu hivyo hivyo ukihoji unaambiwa unakufuru.
KICHWA KINAUMA.