stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Hata nikikwambia huwezi kunielewa mkuu. Ndo maana nikaona nimshukuru huyo ambaye wewe unamwita carpenter.Fundi kapenta kafa miaka mingi huko unajidanganya kakuokoa?
Kakuokoa na nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nikikwambia huwezi kunielewa mkuu. Ndo maana nikaona nimshukuru huyo ambaye wewe unamwita carpenter.Fundi kapenta kafa miaka mingi huko unajidanganya kakuokoa?
Kakuokoa na nini mkuu?
YeahNdo aliyesema kwamba hauwezi mfanya nyani akupe ndizi yake after u promise it unlimited bananas in monkey heaven
Gautama alikuja na meditation baada ya kugundua Kuwa binadamu ni discontent....kwa kifupi ni kwamba sapien ni kiumbe kisichotosheka na mojawapo ya sababu ni kuwa na sifa ya fiction kwenye akili yake......Moja kwa moja inaonekana wewe meditation haijakusaidia, bado unasumbuliwa na illusion, meditation is all about facing realityNna wasi wasi na afya yako ya akili, Nmeshakueleza wazi pamoja na yule mwenzako, Jifunze meditation then mje mlete mrejesho hapa kuwa ile hali anayopitia mtu wakati wa meditation ni nini,
Unajibu bra bra
Sasa hivi unataka mimi ndio nikupe maelekezo tena na wakati maelekezo nmeshakupa kuwa ukafanye kwa vitendo, nmesema ukafanye kwa vitendo kwakua mna vichwa vigumu vya kuelewa maelezo ya bila vitendo...
Ha ha ha ha! Doh!Gautama alikuja na meditation baada ya kugundua Kuwa binadamu ni discontent....kwa kifupi ni kwamba sapien ni kiumbe kisichotosheka na mojawapo ya sababu ni kuwa na sifa ya fiction kwenye akili yake......Moja kwa moja inaonekana wewe meditation haijakusaidia, bado unasumbuliwa na illusion, meditation is all about facing reality
Wewe ni mjinga....jitahidi tuu usiwe mpumbavu...Ha ha ha ha! Doh!
Unayo mengi ya kujifunza, Bado upo kwenye kiza kinene.
Labda nkuulize swali, Nliposema "Hali anayopitia mtu wakati wa meditation" ulielewa nini ? Au neno " Hali" kwenye meditation ulielewa nini ?
Hata nikikwambia huwezi kunielewa mkuu. Ndo maana nikaona nimshukuru huyo ambaye wewe unamwita carpenter.
Yes, huenda kumuelewa Mungu jinsi anavofanya maamuzi yake ni vigumu, lakini kuelewa uwepo wake ni simple with no single doubt.Kwanini kumuelewa Mungu iwe ngumu kiasi hicho mkuu ukizingatia kuna moto wa milele kuchoma wote wasio elewa?
Huyu Mungu amefanya hivi makusudi ili apate kututia kibiriti?
Kwanini kumjua Mungu isiwe rahisi kama njaa, kwamba ukisikia njaa hata mtoto mdogo anajua chakula ndio dawa yake
Yes, huenda kumuelewa Mungu jinsi anavofanya maamuzi yake ni vigumu, lakini kuelewa uwepo wake ni simple with no single doubt.
YEYE ndiye aliyeweka mfuko wa uzazi kwenye tumbo la Mwanamke, lakini hajaweka mfuko huo kwenye tumbo la Mwanaume.
YEYE ndiyo aliye unda codes kwenye viumbe(RNA&DNA), codes ambazo mathematicaly zinaunda idadi ya vidole na idadi ya mbawa kwenye viumbe hai., Idadi ya mapafu, Idadi ya macho, Idadi ya figo,... Na kadhalika.
Nadhani mtu anahitaji kuwa humble na atumie akili yake Ili kujua uwepo wa Designer of all beauties of this Universe,good&bad, sweet & bitter, Ups&Downs,..
Ahsante.
Ha ha ha! Tayari nmeshafahamu wewe ni mtu wa namna gani...Kwahiyo neno "ujinga" hapo ndio umeandika hoja au jibu la swali langu ?Wewe ni mjinga....jitahidi tuu usiwe mpumbavu...
Hakuna KITI CHA ALLAH!Nina swali jibu
Kiti Cha Allah
1. Ni kikubwa kuliko Allah
2. Kipo sawa na Allah
3. Kidogo kuliko Allah
Wabusu jiwe wanajua kipo na maandiko Yao yanasema kinabebwa na Malaika 8Hakuna KITI CHA ALLAH!
Kama babu wa babu yako yupo hadi leo mnakula naye ugali, basi endelea kufanya hizo kufuru zako. Labda unaona tu mama yako alivyopigwa yale mabao ilitosha wewe uzaliwe pasipo mapenzi ya Mungu unayemuongelea vibaya hapa. Tubu haraka we bwege kabla hujafa ukutane naye
Mkuu, unasema kuna miungu zaidi ya mamilioni, lakini Je hao miungu milioni unaosema ni miungu kweli?!Mkuu huko umekwenda mbali sana kusema Mungu kafanya hivi bila uthibitisho
Kuna miungu zaidi ya mamilioni na kila mtu anaamini mungu wa imani yake ndio kaumba na kufanya hayo unayosema
Dini imefika mahali imekua ni matokea ya historia jiografia wazazi na malezi...... hivi ndio vitu vinaamua kwa kiasi kikubwa mtu awe anaamini dini gani
Yaani ungezaliwa Iran na wazazi wa shia kwa 95% ungekuwa muislam wa kishia
Nahakika dini unayo iamini hujaichagua ukubwani bali akili yako imelishwa imani hiyo toka huna akili mtoto hadi leo hii unaiamini
Inawezekana wewe ni Muislam na unaona dini yako ndio sahihi lakini jiulize wale wachina B1.5 waislam ni asilimia 1.7 tu wengine wote wanaabudu miungu kutokana na wazazi mahali wanatoka na tamaduni
Sasa kwanini huyu mungu anakua mgumu namna hii kujulikana na kusababisha mabilioni hayo ya watu kwenda kuchomwa moto milele ?
Yaani kule china ndani ndani vijijini watu wanasikia tu kunadini inaitwa uislam au ukristo au uyahudi kwasababu maisha yao hayana nafasi hiyo
Yaani ni kama wewe ambavyo hujui kabisa kama ubudha upoje upoje
Ulimuona wapi?Mungu yupo mkuu
Sema kabla hujakisoa maandiko ya dini Yako , nimeweka kama mlivyoandika waislamuNenda kasome vizuri kwanza kabla sijakukosoa.
Nashukuru umenijibu swali langu kupitia swali hili ulilomjibu mdau hapa.[emoji3]Sasa ulikuwa unajizungusha nini mda wote.Sijui.
Kwa sababu kwenye Quran Kila kitu ni Allah amesema this Allah amesema that, na wote tunatambua kiumbe pekee anayesema ni mtu. Come again ustaadhNani amekwambia Mungu ni Mtu ?
Uwoga wa nguchiro ni sawa na uoga wako ? Hasira za Mbwa ni sawa na hasira zako ? Wivu wa nyegere ni sawa na wivu wako ?
Sasa vipi Allah awe na sifa hizo halafu zifanane na za mwanadamu ? Allah hafanani na kiumbe chochote katika sifa zake, sifa zake ni kamili.
Sasa usimlinganishe Allah na mwanadamu, Allah ana Mikono miwili yote ipo upande wa kulia, lakini Mikono yake haifanani na chochote. Hata birika Lina mkono kijana, je mkono wa birika ni sawa na mkono wako ?
Sasa ukijadili mambo ya elimu jadili kielimu.
Nasubiri unipe ushahidi wa kuwa Jua haliombo ruhusa, jua halisujudu.