Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Toka nimejiunga JF,wewe ndo wa kwanza ulieandika mada yenye tija 100%.
Huu ujinga wa Mungu, upo Africa na kwa wale wenye imani potofu.

Yaani we ni mwamba. Cha ajabu,kila kona Mungu, Mungu. Ukiuliza Mungu ni nini, jibu sahihi hupati. Miaka haupo,lakini unajua huyo Mungu alichowanfanyia watu miaka 1000 na zaidi. Huku wewe hata 50 huna. Kikubwa tu, kwa sasa Mungu ni kauli au kigezo cha utapeli. Maana hayo mafungu ya kumi anayopelekewa, watu wanakula na familia zao,wanajengea nyumba, wananunulia magari,.......
 

Makao makuu ya kanisa kubwa kabisa duniani ambalo ni kitovu cha ukristo yapo western
Tena hao western ndio wamekumbatia dini kweli kweli ni vile tu hujui

Huwezi kutenganisha kanisa na serikali ya Uingereza
Usa shughuli za kanisa zimezalisha ajira nyingi
Angalia sherehe za Xmass zinavyoshobokewa huko western
 

Kwahiyo wewe unaamini nadharia hizi ni kweli kabisa?
 

Usichokijua wewe ni kwamba Mungu sio mtumwa wa Time - space - matter

Mungu yupo nje ya time space matter so huwezi kumthibitisha kisayansi unavyotaka wewe
 
Mjadala ni dini...na najua dini ni za uwongo na hata siendi mbali nasoma bible na Quran tu najua ni uwongo. Hata bila kuhangaika Sana... it's so easy to disprove religion

Dini ni njia za kujaribu kumfikia Mungu ndio maana zinautofauti kulingana na experience ya kila jamii

Mtafute Mungu wa kweli
 
Unatafutaje kisichokuwepo!?

Uzuri ni kwamba Mungu amekuumba na kukupa akili timamu yenye utashi

Maamuzi ya akili yako hajakupangi utaamua mwenyewe

Wewe umeamua kuwa Mungu hayupo
Kwamba elimu yako ya kidunia inakufanya sasa utake kumpima Mungu kama unavyopima formula ya maji

Mungu ni kwa imani

Najua utapinga imani lakini 99% ya maisha yetu ni kwa imani ....... hata Mama zetu kutuambia hawa ni baba zetu ni imani pia
 
Mna mawazo madogo sana kwa vile mna amini kisicho kuwepo.

Mungu huyo kama yupo anacho jifichia ni nini?

Kwani ange jitokeza tumjue, inge badilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kama yeye ni muweza wa yote, Anaogopa nini kuonekana hadharani?

Kwahiyo wewe ulikua unataka Mungu mshinde naye vijiweni na mitaani?
 
Baba utathibitisha kwa DNA
 

Woow, ahsante [emoji4] ...
 

So what is a theory in scientific perspective?
 

Je, maana ya THEORY inayotumika kwenye sayansi ndiyo hiyohiyo inayotumika kwenye tasnia nyingine?
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion.
Who do you get your medical diagnoses from? Kwa fundi mchundo?

Aiiiiiiiiight hahahaha

Samahani kwa haya nitakayoandika [emoji3596]

1. Umeanzisha mada usiyokuwa na maarifa nayo ya kina

2. Una upeo duni wa kung'amua na kuchambua hoja

3. Una uelewa wa kukariri

[emoji4]
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion

Je, ni lazima mtu kuwa mfuasi/muumini wa dini X au Y au Z ndo aamini uwepo wa MUNGU?

If si lazima, kwa nini umejenga mshangao wa kijinga namna hiyo wakati mada yenyewe umeanzisha wewe? mzizi wa uzi jadiliwa ni "MUNGU yupo au hayupo?" na siyo una dini au huna
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion.
Who do you get your medical diagnoses from? Kwa fundi mchundo?

What are the best explanation for the origin of our finite universe than the transcendent creator beyond space and time?


I will be an atheist, if you could present strongest and most sensible argument than that
 
Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti

Sayansi ni fani pweke na huru ambayo haina majibu ya mambo chungu nzima katika huu ulimwengu.

Sayansi siyo msingi mkuu wa kujenga hoja kwa atheist licha ya kupenda kujikomba nayo.

Science doesn't deal with any non-observable realm, kwa msingi huu hamna mtu yeyote yule anayeweza kujinadi kutumia sayansi kuthibitisha kutokuwepo kwa MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…