Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Toka nimejiunga JF,wewe ndo wa kwanza ulieandika mada yenye tija 100%.
Huu ujinga wa Mungu, upo Africa na kwa wale wenye imani potofu.

Yaani we ni mwamba. Cha ajabu,kila kona Mungu, Mungu. Ukiuliza Mungu ni nini, jibu sahihi hupati. Miaka haupo,lakini unajua huyo Mungu alichowanfanyia watu miaka 1000 na zaidi. Huku wewe hata 50 huna. Kikubwa tu, kwa sasa Mungu ni kauli au kigezo cha utapeli. Maana hayo mafungu ya kumi anayopelekewa, watu wanakula na familia zao,wanajengea nyumba, wananunulia magari,.......
 
Tatizo tunaingiza Imani za kibubusa kwenye maswala yenye ushahidi.

Elimu ya Bongo pia inaharibu wanafunzi,
Una Kuta teacher ni mfia dini anashindwa kueelezea mambo ya kisayansi akiohifia atakufuru Imani ya Yake .

Ndio maana western na far east waliamua kupiga chini hizi Dini za mashariki ya kati

Makao makuu ya kanisa kubwa kabisa duniani ambalo ni kitovu cha ukristo yapo western
Tena hao western ndio wamekumbatia dini kweli kweli ni vile tu hujui

Huwezi kutenganisha kanisa na serikali ya Uingereza
Usa shughuli za kanisa zimezalisha ajira nyingi
Angalia sherehe za Xmass zinavyoshobokewa huko western
 
View attachment 2764129

[emoji115][emoji115] Picha hii inaonyesha ulimwengu unavyopanuka kutoka kwa nukta moja ya moto sana na yenye msongamano mkubwa. Kadiri ulimwengu unavyopanuka, joto lake linapungua na msongamano wake hupungua. Hii inaruhusu chembe za msingi kuunda, na hatimaye atomi za hidrojeni na heliamu.

Picha hii ni mfano tu, wa ulimwengu halisi.

Kwahiyo wewe unaamini nadharia hizi ni kweli kabisa?
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever

Usichokijua wewe ni kwamba Mungu sio mtumwa wa Time - space - matter

Mungu yupo nje ya time space matter so huwezi kumthibitisha kisayansi unavyotaka wewe
 
Mjadala ni dini...na najua dini ni za uwongo na hata siendi mbali nasoma bible na Quran tu najua ni uwongo. Hata bila kuhangaika Sana... it's so easy to disprove religion

Dini ni njia za kujaribu kumfikia Mungu ndio maana zinautofauti kulingana na experience ya kila jamii

Mtafute Mungu wa kweli
 
Unatafutaje kisichokuwepo!?

Uzuri ni kwamba Mungu amekuumba na kukupa akili timamu yenye utashi

Maamuzi ya akili yako hajakupangi utaamua mwenyewe

Wewe umeamua kuwa Mungu hayupo
Kwamba elimu yako ya kidunia inakufanya sasa utake kumpima Mungu kama unavyopima formula ya maji

Mungu ni kwa imani

Najua utapinga imani lakini 99% ya maisha yetu ni kwa imani ....... hata Mama zetu kutuambia hawa ni baba zetu ni imani pia
 
Mna mawazo madogo sana kwa vile mna amini kisicho kuwepo.

Mungu huyo kama yupo anacho jifichia ni nini?

Kwani ange jitokeza tumjue, inge badilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kama yeye ni muweza wa yote, Anaogopa nini kuonekana hadharani?

Kwahiyo wewe ulikua unataka Mungu mshinde naye vijiweni na mitaani?
 
Uzuri ni kwamba Mungu amekuumba na kukupa akili timamu yenye utashi

Maamuzi ya akili yako hajakupangi utaamua mwenyewe

Wewe umeamua kuwa Mungu hayupo
Kwamba elimu yako ya kidunia inakufanya sasa utake kumpima Mungu kama unavyopima formula ya maji

Mungu ni kwa imani

Najua utapinga imani lakini 99% ya maisha yetu ni kwa imani ....... hata Mama zetu kutuambia hawa ni baba zetu ni imani pia
Baba utathibitisha kwa DNA
 
Hizo ni THEORY tu know one know for sure
Lakini theories hizi zimeleta mapinduzi makubwa sana ya maendeleo ya binadamu na kutoa majibu yaliokuwa hayajibiki

It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion.
Who do you get your medical diagnoses from? Kwa fundi mchundo?

Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti

So unaposikia Binadamu alikua nyani ni kwamba hawajui for sure laki kulingana na mabaki ya mifupa ya binadamu wa kale ndio wakatengeneza hiyo theory........ Unless uwe hujui maana ya theory

Mmekazana kuuliza maswali ya kisayansi ili yakikosa majibu iwe ndio ushahidi wa uwepo wa Mungu?
Binadamu hajui kila kitu na hii haimaanishi ndio kuna Mungu

Woow, ahsante [emoji4] ...
 
Hizo ni THEORY tu know one know for sure

Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti

So unaposikia Binadamu alikua nyani ni kwamba hawajui for sure laki kulingana na mabaki ya mifupa ya binadamu wa kale ndio wakatengeneza hiyo theory........ Unless uwe hujui maana ya theory

So what is a theory in scientific perspective?
 
Hizo ni THEORY tu know one know for sure

Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti

So unaposikia Binadamu alikua nyani ni kwamba hawajui for sure laki kulingana na mabaki ya mifupa ya binadamu wa kale ndio wakatengeneza hiyo theory........ Unless uwe hujui maana ya theory

Je, maana ya THEORY inayotumika kwenye sayansi ndiyo hiyohiyo inayotumika kwenye tasnia nyingine?
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion.
Who do you get your medical diagnoses from? Kwa fundi mchundo?

Aiiiiiiiiight hahahaha

Samahani kwa haya nitakayoandika [emoji3596]

1. Umeanzisha mada usiyokuwa na maarifa nayo ya kina

2. Una upeo duni wa kung'amua na kuchambua hoja

3. Una uelewa wa kukariri

[emoji4]
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion

Je, ni lazima mtu kuwa mfuasi/muumini wa dini X au Y au Z ndo aamini uwepo wa MUNGU?

If si lazima, kwa nini umejenga mshangao wa kijinga namna hiyo wakati mada yenyewe umeanzisha wewe? mzizi wa uzi jadiliwa ni "MUNGU yupo au hayupo?" na siyo una dini au huna
 
It’s quite astonishing to me that religionists ask atheists questions about topics that have nothing to do with religion.
Who do you get your medical diagnoses from? Kwa fundi mchundo?

What are the best explanation for the origin of our finite universe than the transcendent creator beyond space and time?

I will be an atheist, if you could present strongest and most sensible argument than that
 
Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti

Sayansi ni fani pweke na huru ambayo haina majibu ya mambo chungu nzima katika huu ulimwengu.

Sayansi siyo msingi mkuu wa kujenga hoja kwa atheist licha ya kupenda kujikomba nayo.

Science doesn't deal with any non-observable realm, kwa msingi huu hamna mtu yeyote yule anayeweza kujinadi kutumia sayansi kuthibitisha kutokuwepo kwa MUNGU.
 
Back
Top Bottom