Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kanuni yako hii ni ya UONGO na mimi nai prove wrong hapa.Nakuuliza hivi nipe sababu tatu ambazo zinalazimisha ya kuwa Muumba wa Mbingu na ardhi na vilivyomo lazima awe na chanzo au lazima awe ameumba ?
Kanuni inasema hivi "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah". Sababu Allah ndio chanzo chenyewe.
Ukishasema kila kitu na Allah pia anabeba sifa za "kitu" ana jumlishwa huko kwenye vitu vyote. Na kanuni ni hivi 👇
Kama kila kitu kilichopo na Allah huyo unakiri yupo kwa sababu ni kitu kilichopo kwamba Lazima kiwe na chanzo, Basi hata huyo "Allah" Lazima awe na chanzo, Na chanzo chake Allah kiwe na chanzo chake, Na chanzo chake Allah chanzo chake Lazima kiwe na chanzo chake.
Ili muundo wa Kanuni hii ya kwamba "Lazima kuwepo chanzo cha kila kitu kilichopo" uwe na muundo ule ule wa kuonesha ulazima huo, to infinity (Endless)
Kama Hakuna "infinity series" Hata mwanzo na chanzo cha kitu si lazima kiwepo.Unakubali kuna "Infinity Series" ? Kama inakubali ya kuwa kuna "Infinity" wewe huna akili, na ni makosa kuendelea kujadiliana na wewe.
Hao Wanasayansi mnao waamini wenyewe wanapinga ya kuwa hakuna Infinity series.
Hivyo hata Dunia Haihitaji kuwa na mwanzo na haina mwisho.
Kwa vile infinity series haipo.
Na huyo "Allah" HAYUPO.
Fatilia ishu za Entropy au fatilia Ile Second Law of Thermodynamics.