live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 855
- 1,365
Haya yote unayoyasema na unayoyafikiria na unatamani yawe kama wewe unavyotaka hizo zote ni sifa ambazo binadamu ameumbwa nazoOkay tuassume u need a god to set those things in motion...does he have to be all powerful, all knowing, all loving, miraculous, listening and answering prayers, promising ppo heaven and hell, etc hizi sifa hizi ndo za dini. Dini zinasema Mungu wao ndo ana majibu ..Zina sema tu bila evidence fyn.. waishi nae huko huko akilini mwao wasitupangie sisi eti Mungu kanitokea kaniambia sijui usimwage nje heee, wtf
Yani kama usingekuwa na hivyo vitu akili mwako basi wewe usingekuwa binadamu ungekuwa ni kiumbe mwingine labda Ndege au Mbuzi hiyo inaitwa nafsi/matamanio ni viumbe wawili tu wamepewa binadamu na majini na ndio maana wamewekewa moto na pepo chaguo ni lao wapi wanataka waende
Malaika hawana nafsi/ matamanio na ndio maana wao wanaishi peponi na wataishi huko milele
Malaika anafanya Yale tu aliyoamlishwa na Mungu afanye asiyoamlishwa na Mungu hafanyi
Ila binadamu amepewa option
Kumbukumbu la Torati 11:26
Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana;
Kumbukumbu la Torati 11:27
baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, niwaagizayo leo;
Kumbukumbu la Torati 11:28
na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.