Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

H
Mimi sina upendo wote kwahyo hata nkimuadhibu mimi sijajipinga.

Sifa ya Mungu ni upendo wote.

Yaani hakuna gape hata kidogo la upendo.

Ingekuwa upendo huo unapimwa kwenye kikombe, bhasi upendo wa mungu ni wote unajaa hadi pale alipoishia fundi.

Yaani upendo uliokamilika, hata kama nkikosea ni kwamba hawezi kunidhuru kabisa!!!

Mimi upendo wangu kwa mwanangu sio wote.
Hivyo nkimuadhibu hakuna shida kwamaana upendo sio wote.

Mfano wako ni batili.

Sasa Mungu huyu mwenye upendo uliokamilika/wote inakuwaje adhibu viumbe vyake!?

Tena pamoja na upendo wote uliokamilika ametengeneza hadi matetemeko na vimbunga vikali vinaangamiza hadi watoto wachanga.

Huyo Mungu hayupo in real dimensions.

Ni utapeli tu
Hakika #Utaangamia Vibaya Sana Kijana ila me nakuombea Unusurike Usifikie huko Unakotaka kwenda maana unaelekea sehemu tunaita #The Point of No return... Do don't Over disrespect your Creator to the point of no return. Guess what the good news is that you still have a chance to repent brother so you better turn back.!
 
Kanuni yako hii ni ya UONGO na mimi nai prove wrong hapa.

Ukishasema kila kitu na Allah pia anabeba sifa za "kitu" ana jumlishwa huko kwenye vitu vyote. Na kanuni ni hivi 👇

Kama kila kitu kilichopo na Allah huyo unakiri yupo kwa sababu ni kitu kilichopo kwamba Lazima kiwe na chanzo, Basi hata huyo "Allah" Lazima awe na chanzo, Na chanzo chake Allah kiwe na chanzo chake, Na chanzo chake Allah chanzo chake Lazima kiwe na chanzo chake.

Ili muundo wa Kanuni hii ya kwamba "Lazima kuwepo chanzo cha kila kitu kilichopo" uwe na muundo ule ule wa kuonesha ulazima huo, to infinity (Endless)

Kama Hakuna "infinity series" Hata mwanzo na chanzo cha kitu si lazima kiwepo.

Hivyo hata Dunia Haihitaji kuwa na mwanzo na haina mwisho.

Kwa vile infinity series haipo.

Na huyo "Allah" HAYUPO.
Binafsi yangu naona siku Utakapopatwa na #Shurba ndipo Utakaposadiki Utukufu wa Mwenyezi Mungu na Kutambua Uwepo wake, Siwezi Kulaumu wala Kushangaa maana Maisha ya Mwanadamu Duniani ni Fumbo au Mfano wa Giza (Ndiyo maana kuthibitisha hilo hatujui kinachojiri hata lisaa limoja inayofuata) kifupi hatujui kesho yetu. Mwenyezi Mungu ndio anajua kwanini amekupitisha katika hali hii ya Utambuzi na Pengine yeye pia anafahamu ni Lini Atakupatia Ufahamu wa Kumtambua ama Pia Kutomtambua Wote hatujui lakini what I know ni Kwamba Mwenyezi Mungu anazungumza katika kitabu kitakatifu cha Quran kwamba "Hakika ni Kwamba Mwanadamu hawezi kuadhibiwa mpaka pale ambapo atakuwa Amefikishiwa Ujumbe na Kuukataa". So ndugu yangu Infropreneur you never know probably this is the right time for you to get informed and turn back from Losting Forever. May God bless you.....!
 
Uwepo wako wewe hapa duniani ndio unathibisha kama Mungu yupo

Na Ili upate uhakika katika hili nenda ukamulize baba yako shahawa zake zilizokuleta wewe hapa duniani yeye alizipata wapi atakuwambia alitunukiwa na Mungu

Kama atakupa jibu tofauti uje utuambie hapa hizo shahawa baba yako alizinunua katika super market gani?

Maana mbele ya Mungu wewe si chochote ila shahawa za baba yako
Logical non sequitur fallacy

Uwepo wangu na hzo shahawa za baba yangu zinathibitisha vipi kama Mungu yupo!?
 
H
Hakika #Utaangamia Vibaya Sana Kijana ila me nakuombea Unusurike Usifikie huko Unakotaka kwenda maana unaelekea sehemu tunaita #The Point of No return... Do don't Over disrespect your Creator to the point of no return. Guess what the good news is that you still have a chance to repent brother so you better turn back.!
Gitaa halimdhuru mpigaji eti kisa halijaupenda mziki.

Mungu tumemuumba sisi na anaexist kama wazo tu, na hapa tunataka kumuangamiza.

Kama unabisha kuwa Mungu hayupo thibitisha kama kweli Mungu huyo yupo nje ya hadithi za mauongo ya dini.

NB:
Mahubiri hayafanyi kazi hapa
 
Binafsi yangu naona siku Utakapopatwa na #Shurba ndipo Utakaposadiki Utukufu wa Mwenyezi Mungu na Kutambua Uwepo wake, Siwezi Kulaumu wala Kushangaa maana Maisha ya Mwanadamu Duniani ni Fumbo au Mfano wa Giza (Ndiyo maana kuthibitisha hilo hatujui kinachojiri hata lisaa limoja inayofuata) kifupi hatujui kesho yetu. Mwenyezi Mungu ndio anajua kwanini amekupitisha katika hali hii ya Utambuzi na Pengine yeye pia anafahamu ni Lini Atakupatia Ufahamu wa Kumtambua ama Pia Kutomtambua Wote hatujui lakini what I know ni Kwamba Mwenyezi Mungu anazungumza katika kitabu kitakatifu cha Quran kwamba "Hakika ni Kwamba Mwanadamu hawezi kuadhibiwa mpaka pale ambapo atakuwa Amefikishiwa Ujumbe na Kuukataa". So ndugu yangu Infropreneur you never know probably this is the right time for you to get informed and turn back from Losting Forever. May God bless you.....!
Unajua kwamba kupatwa na shurba pia ni uthibitisho kuwa Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote hayupo!?
 
Smotor unahitaji ushahidi Wa aina gani kuthibitisha kwamba Mungu yupo??
Ushahidi wa aina yeyote ile.

Ila kwasababu najua huna ushahidi wowote ule,

Ila kama unao ulete hapa

Lakini njia rahisi ambayo wewe naweza kukupa ni uproof kwa kuweka logical consistency kwenye dhana ya uwepo wa Mungu.

Kitu au habari ya uongo ni kawaida kujipinga.

Je unaweza kuondoa contradiction katika dhana ya uwepo wa Mungu!?
 
Mbona nimeandika kila kitu kwenye bandiko langu uliloliquote!!?

Nmekwambia sijui.

Nakutokujua kwangu haimaanishi ni Mungu ndiyo kalileta jua.

Hivi wewe ukiamka asbuhi ukakuta majani mlangoni kwako, ukaanza kujiuliza ni nani kaleta majani hayo hadi mlangoni kwako.

Ukiwa haujui nani kayaleta hapo mlangoni kwako utasema ni Mungu ndiye kayaleta!?

Kama ww unajua kwamba Jua limewekwa na Mungu, bhasi thibitisha kuwa huyo Mungu wako yupo kwenye uhalisia ili jibu lako likubalike.

Tofauti na hapo wewe hujui jua limetoka wapi, zaidi unajua jibu la uongo tu.

"" Adui mkubwa wa maendeleo ya mwanadamu sio ujinga (ukosefu wa maarifa)
Bali ni illusion ya knowledge
""
Sasa Kutokujua kwako huoni kama tayari unafanya concept iendelee kuwa Complex sababu watu wataendelea #Ku-Sperculate kutaka kujua where did it came from?. Na pia una encourage knowledge limitation maana watu wataridhika tu kwamba tumelikuta jua na lipo hivi basi tu watake easy bila kujiuliza maswali mengine muhimu kuhusu vitu hivi.
Kumbuka hata Elimu hii ya Solar system na Planets ilikuja baada ya Wanasayansi kuanza kujiuliza maswali mbali mbali ndipo wakafikia hadi hatua ya kufanya research na hapo ndio tukapata Ufahamu tulionao leo hii.
Christopher Columbas mwaka 1492 Aliposail hadi kwenda kudiscover the American Continent ilikuwa ni result ya #kupekenyua vyanzo na Kufahamu Utambuzi wa Mazingira yaliyowazunguka.
Sasa Wewe Simply tu Unasema Sijui hafu Umerizika tu na jibu hilo bila kuweka wazo mbadala means unaconclude kwamba ni Ignorant na kwa msingi huo Upande wako Una onekana haujui chochote!
 
Unajua kwamba kupatwa na shurba pia ni uthibitisho kuwa Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote hayupo!?
Allah katika Quran Anazungumza ya kuwa Atawajaribu Wanadamu kwa Khofu, Njaa na Magonjwa kuwapima Imani zao kwahiyo ndugu yangu wewe Kuumwa ama kupata shida Mbali Mbali haimaanishi kwamba Mwenyezi Mungu hana Upendo ni katika mitihani yake. Kuthibitisha kwamba Upendo wake hauna kifani ni kama wewe hapo Amekupa Afya njema na bado hautaki kukubali😀. Lakini hatuwezi Jua kilicho nyuma yake Maana yeye ndiye mjuzi wa yote.
 
Allah katika Quran Anazungumza ya kuwa Atawajaribu Wanadamu kwa Khofu, Njaa na Magonjwa kuwapima Imani zao kwahiyo ndugu yangu wewe Kuumwa ama kupata shida Mbali Mbali haimaanishi kwamba Mwenyezi Mungu hana Upendo ni katika mitihani yake. Kuthibitisha kwamba Upendo wake hauna kifani ni kama wewe hapo Amekupa Afya njema na bado hautaki kukubali[emoji3]. Lakini hatuwezi Jua kilicho nyuma yake Maana yeye ndiye mjuzi wa yote.
Mtoto wa mwaka mmoja anapimwa imani gani?
Mbona vinazaliwa vina maradhi yakutishaa
Vina kufa katika njia za kusikitiaha
 
Nimeshakuambia mara kibao unataka dunia iwe sawa watu wote wawe sawa😂...

Sijaona hoja yako wala wenzio maana unalazimisha dunia watu wote wawe sawa.

Mungu ndio anayeratibu kila kitu kwa kifupi ndio maana yupo.!!
Hakuna sehemu hata moja nmekwambia nataka watu wawe sawa.

Mimi siongei mawazo yangu, lakini kinachoongea hapo ni dhana nzima ya mungu.

Kwajinsi mnavyompa sifa ya kuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, bhasi kuna vitu vililazimika kuwa hivyo nkuambiavyo

Wewe kwakuwa hutaki kuelewa hilo, unadhani ni mimi nampangia.

Kumbe technically nyie watoa sifa hizi ndio mnampangia Mungu awe hivi ninavyokueleza mimi,

Sijui unanielewa!!??
 
Allah katika Quran Anazungumza ya kuwa Atawajaribu Wanadamu kwa Khofu, Njaa na Magonjwa kuwapima Imani zao kwahiyo ndugu yangu wewe Kuumwa ama kupata shida Mbali Mbali haimaanishi kwamba Mwenyezi Mungu hana Upendo ni katika mitihani yake. Kuthibitisha kwamba Upendo wake hauna kifani ni kama wewe hapo Amekupa Afya njema na bado hautaki kukubali😀. Lakini hatuwezi Jua kilicho nyuma yake Maana yeye ndiye mjuzi wa yote.
Hapo pia umethibitisha kwamba Mungu si mjuzi wa yote.

Huwa tunapima kitu tusio na ujuzi nacho.
Tunapima kitu tukiwa hatujui matokeo yake

Kwanini Mungu atupime imani ilihali anajua yote!?
 
Mtoto wa Mwaka mmoja ana adhibiwa kwa kipi ama ana zindumiwa kwa lipi?
Adhabu ya Allah inapo kuja huwa haichagui, inawakumbuka wote, na hapa Kuna sababu kadha wa kadha.

Ama kwa mtoto anae kufa katika tukio hilo, yeye anakuwa muda wake wa kufa umefika, na yeye atakuja kupewa mtihani siku ya Kiama, akifaulu analipwa pepo na alifeli anaingizwa motoni.
 
Thibitisha Mungu huyo hana chanzo.
Chanzo Cha kila kitu kina kuwaje na chanzo ?

Shida yenu hamjibu maswali yangu ndio maana mnauliza maswali ambayo majibu yake yapo kwenye maelezo yangu yaliyo pita.

Nilikuuliza hivi, nipe sababu tatu tu kwazo zinalazimisha au kuonyesha haja ya chanzo Cha kila kitu lazima kiwe na chanzo.

Nikaenda mbali zaidi, kwamba mnithibitishie ya kuwa je "Infinity" ina exist ?
 
Binadamu kapewa akili ndio maana anaweza kupambana dhidi ya mitihani pia ni kiumbe bora bora kabisa.

Hata shule mnapewa mitihanu kujua kutokana mmesoma.
Logical non sequitur

Narudia swali langu!!

Kwanini Mungu mjuzi wa yote atake kutupima ilihali anajua hata matokeo?

Je Mungu si mjuzi wa yote!??
 
Back
Top Bottom