Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama una Akili Na unaweza kupambana na mitihani,Binadamu ana akili na anaweza kupambana na mitihani na amempa akili ...
Sio kila mtihani unapelekea wewe kufa mengine ni kuvumilia kama ugonjwa unaweza kuvumilia mpaka ukapona ,kama kifo kimepangwa basi haina shida.
Akili yako hiyo inaweza kupambana na majanga ya asili kama radi, mafuriko, matetemeko ya ardhi na vimbunga?
Una akili hiyo kweli?
Mungu huyo unayedai katupa akili ili tupambane na mitihani, Mbona Akili yake tuliyo pewa haiwezi kupambana na mitihani ya majanga ya asili?
Ni akili hiyo ama udhaifu?
Ni UDHAIFU wa huyo unaye dai katupa akili ambayo ni dhaifu.
Isiyoweza kupambana na mitihani ya majanga ya asili.