Hujajibu swali nililo kuuliza.Kwa sababu dini ni urithi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali nililo kuuliza.Kwa sababu dini ni urithi,
Nikujibu mara ngapi sasa...Logical non sequitur fallacy
Naona hunielewi hata.
Unayonijibu hata hayahusiani kabisa na nlichokuuluza
Swali hili linaonesha limekuchemsha.
Narudia mara ya tatu:
Mungu mjuzi wa yote, kwanini anawapa watu mtihani ilihali anajua hata majibu ya mtihani huo!?
Kama upo nje angalia juu mbinguni.Mbinguni huendi bila kusoma, kwani mbinguni ni wapi?
Adamu alikuwa Muislamu. Unataka nikujibu vipi swali lako ?Hujajibu swali, uislam ulianza lini?
Ona ulivyo kilaza, hivi unasomwa ninacho kiandika ?Aliileta kiarabu vipi Tena wakati huko juu umesema mitume kuanzia Adam Musa, Hud walikuwa waislamu wote. Wao walisoma kuran ipi nyingine ustaadh!?
Kiislamu mwenye kuchoma ni Allah, mwanadamu ni haramu kuadhibu au kuwa kitu kwa kukichoma.Je, kitendo cha kumchoma moto mtoto wako kama adhabu kitatafsiriwa na jamii kama cha upendo?
Ndugu na jamaa zako watakuona kama baba mwenye upendo au vinginevyo?
Vipi jirani yako angefanya kitendo kama hicho. Je, utaamini ukiambiwa jirani huyo alikua ni mtu mwenye upendo sana kwa mtoto wake??
Nithibitishe mara ngapi ?Thibitisha kwamba Allah huyo ni chanzo cha kila kitu.
Kwanza, kwa nini unadhani ulimwengu uliumbwa?Infropreneur na Smotor hebu tulijadli suala hili la kuwepo ama kutokuwepo kwa MUNGU kimantiki.
Mleta mada Mayu na nyie ni lazima tukubaliane kwamba hoja ya Mungu kwamba yupo ama hayupo ni lazima ianzie kwenye hoja ya kuumbwa kwa ulimwengu.
Dunia haina chanzo,Wapinga Mungu husema kwamba dunia imeibuka tu toka kusikojulikana mamilioni kadhaa ya miaka iliyopita.
Ulimwengu hauja anza, upo tu na hauna mwanzo wala mwisho.Lakini kabla hatujaenda mbali sana jee nyie akili zenu zinawatuma kwamba ulimwengu ulianzaje na ni kwa nini nyie mmetokeza kuwa binadamu na siyo Ng'ombe!!
Kwako wewe upendo ni nini ? Isiwe mnatafsiri upendo kwenu nyinyi ndio ubwege na ufala.Allah katika ubora wake
Yaani katoto kakifa kachanga kwenye shuruba ya kansa au taunami na bado anakasubiria hadi siku ya kiama anakapa tena mtihani kakifeli moto unakahusu
Huyu ndio Mungu mwenye upendo wote?
Kuamini ujinga huu inabidi ujitoe ufahamu
Ona mlivyo wajinga hata kuunganisha hoja mnashindwa, shida yenu ni kusoma mkaelewa.Qurani hata miaka 1500 haijafikisha, hiyo 50,000 umeitoa wapi?
[emoji23][emoji23] ani hakuachi salamaAllah katika ubora wake
Yaani katoto kakifa kachanga kwenye shuruba ya kansa au taunami na bado anakasubiria hadi siku ya kiama anakapa tena mtihani kakifeli moto unakahusu
Huyu ndio Mungu mwenye upendo wote?
Kuamini ujinga huu inabidi ujitoe ufahamu
Una hubiriN
Ndugu Maisha ya Dunia ni ya Kupita tu, wewe kuachwa mzima mpaka dkk hii usifurahie sana, maana yake ni kwamba Una Jukumu zito nyuma yako La Kutekeleza Lengo la wewe kuletwa hapa Duniani
Sasa Huruma yako kwa mtoto aliyezaliwa akiwa na Changamoto hali ya kwamba wewe mtu mzima na Uko sawa basi hakika mtoto huyo Akifa yeye anakuwa wa kwanza kuenda katika Pepo kwani Mwenyezi Mungu alimpatia Changamoto na yeye ndiye anayejua ni Kwanini amefanya hivyo!
Furahia kuwa Hai na kuwa na Afya Njema Kabisa, but you Got to Know you have Task to Accomplish bro
Miaka 50.000 kabla ya kuumbwa mbingu na ardhi? dunia ina miaka zaidi ya billioni 13, nani aliandika au binadamu gani anajua historia ya zaidi ya miaka billioni 13, endeleeni kula matango pori mliyoletewa na mabeberu na wafanyabiashara za utumwaOna mlivyo wajinga hata kuunganisha hoja mnashindwa, shida yenu ni kusoma mkaelewa.
Nimeongelea kalamu ilishaandika makadirio miaka elfu 50 kabla ya kuumbwa kwa mbingu na ardhi, wewe unakuja kuongelea Qur'aan. Hili linaingiaje hapo ?
mkuu naomba unisamehe kama nitakuwa nauliza mambo yako ya undani sanaUnajaribu kusema nini mkuu?
Mimi kutokua na lakufanya kuna uhusiano gani na kuwepo kwa Mungu?
Niliaminishwa kuhusu mungu wa upendo wote ndio nikaanza kujiuliza why aruhusu haya maswahibu kwa vitoto vichanga visivyo na hatia?
Je hao wanao kufa hawaku jaliwa uwezo na hiyo Akili ya kujiokoa na Mungu?😂😂😂Panapotokea majanga katika madhara kuna ishu ya kuokolewa na kujiokoa vyote ni uwezo wa binadamu katika kupambania mitihani ya kidunia.
Sio kila janga watakufa wote ,ndio maana kule turkey yule dogo alikutww siku kadhaa mbele kweny kifusi kwa kawaida hakupangiwa kufa kabisa ..
Sio kila janga litaathiri na kuua kila mtu ndio maana kuna idadi na wengine wanapona.
Mbona watu wanakufa daily ni kifo chao tu kimepangwa ,kila mtu atakufa kwa style yake ...Je hao wanao kufa hawaku jaliwa uwezo na hiyo Akili ya kujiokoa na Mungu?
🙏🙏Akili nyingi sana hongera.Naamin Mungu yupo na yanipasa nimshukuru kwa kila jema..ila sifati kila kilochoandikwa kwenye vitabu..vingine fekero.
kama Mungu hayupo, ni nani aliumba dunia na viumbe hai vyake.
Basi Akili unayosema tumepewa na huyo Mungu ya kupambana na mitihani ya kidunia ni DHAIFU sana na haina maana yeyote wala msaada wowote kwa binadamu.Mbona watu wanakufa daily ni kifo chao tu kimepangwa ,kila mtu atakufa kwa style yake ...
Hata uwe mzima unaweza kufa ghafla tu.
Unaweza kuwa na akili ya kujiokoa na ukafa kwani wavuvi wanakufa daily na wanajua kuogelea..