Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Wewe unahisi kile Mungu alipulizia kwenye udongo aliofinyanga kumuumba Adam ktk maandiko ilikua ni pumzi ya uzima kutoka respiratory za nani?
Hivi umeona mtu yoyote ana quote story za mababu wa kale...hatuko huko .. tunataka empirical evidence ya dini kuwa true...kama we unaamini dunia imeumbwa 6000 years ago ndani ya 6 days na couple uchi na nyoka anayeongea katika Bustani yenye magical trees na all the animals bac endelea na Imani yako...Ila kwenye hoja leta hoja zenye mashiko sio story za kumuhadithia mtoto alale
 
Kama tuna Akili ya kupambana
hapa hapa duniani, kwa nini tunashindwa kutumia Akili hiyo kuzuia majanga ya asili ya hapa hapa duniani?

Huoni akili hiyo unayo dai tumepewa na huyo Mungu ya kupambana na mitihani ya kidunia
(majanga ya asili yakiwemo) ina UDHAIFU mkubwa sana, hapa hapa duniani?

Kama majanga ya asili yaliyopo
hapa hapa duniani yapo nje ya uwezo wetu,

Na wewe ulisema na unadai, Mungu huyo alitupa "Akili" ya kupambana na mitihani ya kidunia ni UONGO.

Na kama alitupa hiyo Akili , Basi Akili hiyo ni DHAIFU sana.
Mbele ya Mungu binadamu ni dhaifu na Mungu anaweza kufanya chochote kikapelekea kifo chako ...yaani asili tu unaweza kuingiwa na sisimizi puani tu ikawa ni sababu ya kifo chako.


Kumbuka pua zetu zipo on mda wowote 😂😂ila hao sisimizi hawaingii kila siku.
 
H
Hakika #Utaangamia Vibaya Sana Kijana ila me nakuombea Unusurike Usifikie huko Unakotaka kwenda maana unaelekea sehemu tunaita #The Point of No return... Do don't Over disrespect your Creator to the point of no return. Guess what the good news is that you still have a chance to repent brother so you better turn back.!
Oi ..na wewe mama Ako kakutishia moto nini
 
Kama tuna Akili ya kupambana
hapa hapa duniani, kwa nini tunashindwa kutumia Akili hiyo kuzuia majanga ya asili ya hapa hapa duniani?
Hivi kuwa na kitu na kuwa na uwezo wa kukitumia kitu hicho ni sawa??

Hivi Kila binadamu mwenye kinywa timilifu anao uwezo wa kuimba?

Kabla ya chanjo ya ndui au Polio jee wanadamu wa zama hizo walikuwa hawana akili? Mbona maelfu ya watu waliuawa kwa magonjwa hayo?

Wanaoamini katika Mungu Wanasema Kila jambo na wakati wake Kwa kusudi la Mungu.
 
Binafsi yangu naona siku Utakapopatwa na #Shurba ndipo Utakaposadiki Utukufu wa Mwenyezi Mungu na Kutambua Uwepo wake, Siwezi Kulaumu wala Kushangaa maana Maisha ya Mwanadamu Duniani ni Fumbo au Mfano wa Giza (Ndiyo maana kuthibitisha hilo hatujui kinachojiri hata lisaa limoja inayofuata) kifupi hatujui kesho yetu. Mwenyezi Mungu ndio anajua kwanini amekupitisha katika hali hii ya Utambuzi na Pengine yeye pia anafahamu ni Lini Atakupatia Ufahamu wa Kumtambua ama Pia Kutomtambua Wote hatujui lakini what I know ni Kwamba Mwenyezi Mungu anazungumza katika kitabu kitakatifu cha Quran kwamba "Hakika ni Kwamba Mwanadamu hawezi kuadhibiwa mpaka pale ambapo atakuwa Amefikishiwa Ujumbe na Kuukataa". So ndugu yangu Infropreneur you never know probably this is the right time for you to get informed and turn back from Losting Forever. May God bless you.....!
🤣Amkubali Mungu gani asa brahma au zeus
 
Thibitisha ya kuwa hakuna moto, pepo, bikiria 72 na utuambie umejuaje ya kuwa hivyo havipo ?

Usikimbie swali.
Thibitisha kwanza mmiliki wa hivyo ulivyovitaja kuwa yupo. Hujathibitisha umeleta story za Mtume ambaye alikuwa ni mtu wa kawaida tu.
 
Hapa sio dini maana ni mfumo wa maisha ila tunaongelea Mungu huyu ambaye anatoa riziki kwa wote ,hata yule anadhulumu watu bado atapata riziki.

Kuna hekima kubwa na jinsi dunia inavyoenda na mfumo wa duniani kuwa na matabak ya kiuchumi ,jinsia, elimu ,nguvu na mengine.

Haya yote yapo yana makusudio yake na wala sio kwmba pamekosewa ..

Inawezekana ikawa sio fair ila inafanyiwa hivi ili dunia kubalance ...

Duniani kuna equity ila ulikta equality lazima pawe na matatizo , mfano ukiweka equality kweny ndoa basi hap matatizo.

Equity ipoje hata kama wewe utakuwa labda una uchumi mkubwa basi utapata matatizo accordingly yaani utapata matatizo makubwa na utapewa mitihani labda kusaidia jamii na mandatory yaani mali zako ila unatakiwa kusaidia watu...Kwa maskini anapata mitihani midogo ya kimaisha naye atakuwa kweny level fulani atajiona kapanda au kashuka ,atakuwa na furaha na huzuni ila ataridhika na maisha yake .

Mtihani wa maskini inaweza kuwa mdogo hata kushindwa kulipa ada ya shlling laki moja ,ila yupi tajri anapambana kumlipia mwanae ada ya million 10.
Mi sijasema nataka equality...mbona me sio tajiri ila Nina maisha mazuri tu...Ila kunawatu wanateswa, wanatumikishwa, wanatekwa, wanauzwa, hao ndo nazungumzia.
 
Hakuna kikubwa na chenye uwezo zaidi yake.

Unaulizia swali la kipuuzi sana, linaonyesha unafikiria kitoto sana.
Hapana hujafikiri vizuri, nmekuuliza anaweza kuumba Mungu mwingine mkubwa kuzidi yeye. Jibu ndio au hapana
 
Sasa Kutokujua kwako huoni kama tayari unafanya concept iendelee kuwa Complex sababu watu wataendelea #Ku-Sperculate kutaka kujua where did it came from?. Na pia una encourage knowledge limitation maana watu wataridhika tu kwamba tumelikuta jua na lipo hivi basi tu watake easy bila kujiuliza maswali mengine muhimu kuhusu vitu hivi.
Kumbuka hata Elimu hii ya Solar system na Planets ilikuja baada ya Wanasayansi kuanza kujiuliza maswali mbali mbali ndipo wakafikia hadi hatua ya kufanya research na hapo ndio tukapata Ufahamu tulionao leo hii.
Christopher Columbas mwaka 1492 Aliposail hadi kwenda kudiscover the American Continent ilikuwa ni result ya #kupekenyua vyanzo na Kufahamu Utambuzi wa Mazingira yaliyowazunguka.
Sasa Wewe Simply tu Unasema Sijui hafu Umerizika tu na jibu hilo bila kuweka wazo mbadala means unaconclude kwamba ni Ignorant na kwa msingi huo Upande wako Una onekana haujui chochote!
Okay don't u think na wewe kila kitu ukisema god did it utashindwa kutafuta real answers to everyday problems na utakuwa umejiridhisha na jibu rahisi
 
Ona ulivyo kilaza, hivi unasomwa ninacho kiandika ?

Qur'an ni kitabu alichopewa Mtume ambaye alikuwa anaongea Kiarabu.

Hao mitume wengine walipewa ujumbe wao kwa lugha zao.

Ongeza umakini kijana.
Kwan Quran imeteremshwa lini, ndilo swali
 
Adhabu ya Allah inapo kuja huwa haichagui, inawakumbuka wote, na hapa Kuna sababu kadha wa kadha.

Ama kwa mtoto anae kufa katika tukio hilo, yeye anakuwa muda wake wa kufa umefika, na yeye atakuja kupewa mtihani siku ya Kiama, akifaulu analipwa pepo na alifeli anaingizwa motoni.
Aaaaw...so much love 🥺
 
Mfano ulio uweka una makosa.

Sasa kitabu Cha Muarabu kinasema uongo ? Kwanini hamukosoi hicho kitabu mnaishia kurula ruka ? Inaonekana hata kukisoma hamjawahi kukisoma, halafu mnakuja hapa kutaka mjadala ? Mna akili kweli vijana ?

Nakosaje hoja wakati unakimbia hoja zangu na maswali yangu ?
Tumeanza mbali umejibiwa verses kibao za Quran kuhusu kukosea geography ya primary kabisa...unakimbia kimbia...so it's pointless kubishana na mke wa Muhammad
 
[emoji3064]Kwa hiyo tunatunukiwa shahawa duu...sijui Mimi nitatunukiwa lini maana mi sijawahi fatwa na Mungu anipe shahawa...au nyie wadau vipi huko
Yahh wewe si chochote ila ni shahawa za baba yako na hizo shahawa baba yako alitunukiwa na Mungu bure

Kama unao ushahidi kuwa shahawa za baba yako zilizokuleta wewe hapa duniani alizitengeneza baba yako Kwa ujuzi wake weka hapo tuuone
 
Nacheka sana, naona huna Cha kuandika tena ?

Haya yote yanayotokea alishayapanga miaka elfu 50 kabla ya kuiumba hii Dunia, kwahiyo ni mipango yake tu, lianze hili lofate lile mwisho iwe hivi.

Anatumia kitabu ? Kivipi ? Kitabu ni maneno yake kwa ajili ya kuwaongoza waja wake. Tuliza akili uandike vya maana.
🤣🤣🤣🤣sawa muarabu Koko
 
Yahh wewe si chochote ila ni shahawa za baba yako na hizo shahawa baba yako alitunukiwa na Mungu bure

Kama unao ushahidi kuwa shahawa za baba yako zilizokuleta wewe hapa duniani alizitengeneza baba yako Kwa ujuzi wake weka hapo tuuone
🤣ushahidi ni Mimi Nina shahawa na sijapewa na mtu nimezikuza mwenyewe naturally...
 
Back
Top Bottom