Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Uwepo wangu mimi, unathibitisha vipi uwepo wa huyo Allah?Nithibitishe mara ngapi ?
Hivi unajua ya kuwa hakuna kitu chochote chenye ushahidi mkubwa na WA wazi kuzidi uwepo wa Allah ? Yaani hata uwepo wako wewe ushahidi wake sio mkubwa Wala wa wazi kuzidi ushahidi wa uwepo wa Allah.
Ndio maana hamjawahi kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Ukiona mbingu, Ardhi, uwepo wako wewe vyote ni ushahidi wa kuwepo kwa Allah.
Niliweka andiko huko nyuma kuthibitisha uwepo wake.
Mbona mimi simjui?
Ardhi ina thibitisha vipi uwepo wa huyo Allah?