Plastic
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 223
- 335
Nia ya mzazi ni mtoto afe. Mzazi amemuadhibu mtoto akafa kama alivyokusudia.Mara ngapi watu wanakusudia kuua na mtu hafi ? Na unaweza kuadhibu na mtu aside kama ulivyo kusudia ? Kwanini unaleta ubishi wa kitoto ?
Asingekufa mzazi angerudia tena zoezi la kumchoma moto. Mpake afe.
Wala asingejutia adhabu aliyotoa baada ya mtoto kufa.
Mzazi hakutaka kuondoa uovu wala kukemea. Unaweza mkemea mtu akiwa mfu??Jema katika hiyo adhabu ni kuondoa uovu, na kuukemea ila njia aliyo itumia haikuwa sahihi.
Alitaka mtoto afe. Kumuondoa mtoto duniani ndiyo adhabu aliyotaka. Si vinginevyo.
Hakuna sehemu ulipo jibu kama kitendo cha kumuua kwa kumchoma moto ni cha upendo au la zaidi ya kusema "upendo utabaki palepale" .Unataka nikujibu mara ngapi kuhusu hicho kitendo ? Hivi unasoma ninacho kiandika au unabishana uonekana upo kwenye mjadala ?
Quote mahali unapodhani umejibu. Kisai