the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 865
- 707
Kumbe mungu anapoganiwa,hayo ndio mafundisho yenu kwenye chama chenu cha mashetani huko eeeh 😀😀😀Na hivi ndivyo wafuasi wa Mungu wanavyopigania uwepo wa Mungu wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mungu anapoganiwa,hayo ndio mafundisho yenu kwenye chama chenu cha mashetani huko eeeh 😀😀😀Na hivi ndivyo wafuasi wa Mungu wanavyopigania uwepo wa Mungu wao
Who cares??Siamini katika supernatural
Siwezi ku fall kwenye ngonjera za Mudi wala Yesu
Vipi kuhusu mizimu na uchawi??Nimesema siamini katika supernatural..... including Shetani
Mtu alieaminishwa kuna Mungu, Anaweza kutumia fikra huru kumdadisi huyu Mungu na kumjua ili kujithibitishia...Mkuu FIKRA HURU sio FACT
Ni hali ya kuwa huru kudadafua jambo bila influence ya jambo lolote kisha ukaamua
Mtoto anakuwa brainwashed toka utotoni kwamba kuna Mungu
Anakua na kuamini hivyo..... ni ngumu sana kuwa na FIKRA HURU kujua na kuamua kama Mungu yupo au ni ngonjera tu
Watu walioaminishwa kuwa kuna Mungu HAWANA FIKRA HURU
Fikra zao zimefungwa na uoga wa kufanya dhambi na kuchomwa moto milele kwasababu ni KOSA kuhoji uhalali wa Mungu(fikra zimefungwa kwenye scriptures zao tu)
Mtu alieaminishwa kuna Mungu, Anaweza kutumia fikra huru kumdadisi huyu Mungu na kumjua ili kujithibitishia...
Fikra huru au uhuru wa kifikra, ni unapokua na uwanda wa peke yako katika kufikiri jambo lolote bila kuegemea mafundisho ya aina yoyote.. ( To unlearn everything to reveal the truth )
So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui..... simple as that mkuu
Hayo umesema wewe,Hiki unacho kimaanisha hapa hakipo kwenye imani za dini.
Imani ya Mungu inapitia kwenye dini....... there’s no way unaweza kwenda against scriptures za dini, NIKUFURU
Mungu anapatikana kwenye maandiko tu na simulizi.... huwezi kumjua nje ya hapo
Huwezi kumjua Allah nje ya Quran au Yesu nje ya Bibilia
So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui..... simple as that mkuu
Hayo umesema wewe,
Mimi naamini Mungu yupo na nna namna peke yangu kuhusu Mungu ndio maana nmeandika hayo.
Sijaongelea dini.
Mwisho
Naomba unisaidie kuthibitisha uwepo wa MUNGU kama utaweza lakini [emoji120][emoji120]
Mwisho
Naomba unisaidie kuthibitisha uwepo wa MUNGU kama utaweza lakini [emoji120][emoji120]
Blimey, i am exhausted!Kwahiyo Sayansi inatambua uwepo wa Mungu?
Kwamba sayansi imethibitisha uwepo wa Mungu?
Unaweza kuainisha kwa mukhtasari sifa za uthibitisho uutakao?
1. Would you believe?
2. Would you worship HIM?
3. Won't you find unnecessary?
^almost^! Maana yake kuna supernatural phenomena ambazo sayansi huzitambua.We both applying science almost kwenye kila tunachofanya....
tunajadilina hapa kisayansi zaidi
Sayansi isiyotambua supernatural, hiyo siyo sayansi.So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui.
Excuse me! Yaani umethibitishaje kwamba kitu fulani hakipo, hadi ufikie uamuzi wa kutoshughulika nacho?Sayansi haishunguliki na vitu ambavyo HAVIPO..... period
Wrong logic. Ukishajua kwamba yupo, tayari hapo umeshaamini.Mimi sitaki KUAMINI
Mimi nataka KUJUA yupo sio kuamini yupo
Baada ya hapo itabaki kati yangu na “MUNGU” wangu