Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kumbe mungu anapoganiwa,hayo ndio mafundisho yenu kwenye chama chenu cha mashetani huko eeeh [emoji3][emoji3][emoji3]

Siamini katika supernatural

Siwezi ku fall kwenye ngonjera za Mudi wala Yesu
 
Vipi kuhusu mizimu na uchawi??

Mkuu vyote hivyo ni supernatural

Hakuna Mungu,Roho, Malaika wala mbinguni/peponi

Hakuna Shetani sijui Majini, mizimu, uchawi wala Ahera/motoni
 
Mkuu FIKRA HURU sio FACT

Ni hali ya kuwa huru kudadafua jambo bila influence ya jambo lolote kisha ukaamua

Mtoto anakuwa brainwashed toka utotoni kwamba kuna Mungu
Anakua na kuamini hivyo..... ni ngumu sana kuwa na FIKRA HURU kujua na kuamua kama Mungu yupo au ni ngonjera tu

Watu walioaminishwa kuwa kuna Mungu HAWANA FIKRA HURU
Fikra zao zimefungwa na uoga wa kufanya dhambi na kuchomwa moto milele kwasababu ni KOSA kuhoji uhalali wa Mungu(fikra zimefungwa kwenye scriptures zao tu)
Mtu alieaminishwa kuna Mungu, Anaweza kutumia fikra huru kumdadisi huyu Mungu na kumjua ili kujithibitishia...

Fikra huru au uhuru wa kifikra, ni unapokua na uwanda wa peke yako katika kufikiri jambo lolote bila kuegemea mafundisho ya aina yoyote.. ( To unlearn everything to reveal the truth )
 
Hiki unacho kimaanisha hapa hakipo kwenye imani za dini.

Imani ya Mungu inapitia kwenye dini....... there’s no way unaweza kwenda against scriptures za dini, NIKUFURU

Mungu anapatikana kwenye maandiko tu na simulizi.... huwezi kumjua nje ya hapo

Huwezi kumjua Allah nje ya Quran au Yesu nje ya Bibilia
 
So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui..... simple as that mkuu

Damn!

How many times do i have to tell you to understand?

Sayansi haishughuliki na metafizikia; ni mambo yaliyo nje ya uwanda wake (non-science), hivyo basi; sayansi haisadikishi madai ya kuwepo wala kutokuwepo kwa MUNGU, unachooanisha hakina tija
 
Hiki unacho kimaanisha hapa hakipo kwenye imani za dini.

Imani ya Mungu inapitia kwenye dini....... there’s no way unaweza kwenda against scriptures za dini, NIKUFURU

Mungu anapatikana kwenye maandiko tu na simulizi.... huwezi kumjua nje ya hapo

Huwezi kumjua Allah nje ya Quran au Yesu nje ya Bibilia
Hayo umesema wewe,

Mimi naamini Mungu yupo na nna namna peke yangu kuhusu Mungu ndio maana nmeandika hayo.

Sijaongelea dini.
 
Hayo umesema wewe,

Mimi naamini Mungu yupo na nna namna peke yangu kuhusu Mungu ndio maana nmeandika hayo.

Sijaongelea dini.

That’s funny about GODS

There’s Billions Gods around the World...... and everyone think his/her God is the right one [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kuainisha kwa mukhtasari sifa za uthibitisho uutakao?

Mkuu acha blah blah THIBITISHA kwa namna utakayoona bora kabisa kwako kwa mtu kukuelewa

1. Would you believe?

2. Would you worship HIM?

3. Won't you find unnecessary?

Mimi sitaki KUAMINI
Mimi nataka KUJUA yupo sio kuamini yupo

Baada ya hapo itabaki kati yangu na “MUNGU” wangu
 
We both applying science almost kwenye kila tunachofanya....
tunajadilina hapa kisayansi zaidi
^almost^! Maana yake kuna supernatural phenomena ambazo sayansi huzitambua.

Maana yake, sayansi nayo ipo kiimani zaidi.
So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui.
Sayansi isiyotambua supernatural, hiyo siyo sayansi.

Umewahi kujiuliza kwa nini hata tuna kitu kinachoitwa sayansi?

Ntakwambia maana yake: sayansi unayoizungumzia wewe ni mithili ya gari bovu lisiloweza kufika ng'ambo ya pili ya safari yake.

Sayansi haishunguliki na vitu ambavyo HAVIPO..... period
Excuse me! Yaani umethibitishaje kwamba kitu fulani hakipo, hadi ufikie uamuzi wa kutoshughulika nacho?

Mimi sitaki KUAMINI
Mimi nataka KUJUA yupo sio kuamini yupo

Baada ya hapo itabaki kati yangu na “MUNGU” wangu
Wrong logic. Ukishajua kwamba yupo, tayari hapo umeshaamini.

These two terms are almost synonymous.

NB: Nadhani neno ulilokuwa unatafuta ni kumtambua kwa maana ya kumtii, nk.
 
Back
Top Bottom