Uongo mkuu kuwahi kutokea duniani

Uongo mkuu kuwahi kutokea duniani

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Naamini huu uongo ulitia fora:

"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu. Malaika akajibu,vakawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema...

Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliiingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa, na neno hilo likaenea kati ta Wayahudi hata leo".
 
Yaliyofichika yanaendelea kufichuliwa.
 
Attachments

  • The_Forbidden_Chapter__Isaiah_53_in_the_Hebrew_Bible(144p).mp4
    13.6 MB
IMG-20240820-WA0019.jpg
 
Naamini huu uongo ulitia fora:

"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu. Malaika akajibu,vakawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema...

Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliiingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa, na neno hilo likaenea kati ta Wayahudi hata leo".
huu kwel ni uongo mkuu kama walinzi walilala walijuaje ni wanafunzi wake ndo waliokuja kumwiba?""............pili walinzi walihatarisha kazi yao kwa rushwa kwa kukubali kuwa walilala katika lindo lao.
 
Ila inaweza kweli kuupita uongo wa tumbili na bundi kukata umeme
 
Achana na hilo, swala la kutuambia

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi, tena nchi ilikuwa ukiwa tena utupu. Sasa kama aliumba kwa kutamka, iweje kuwe na utofautiano wa masaa katika dunia hii hii aloiumba yeye mwenyewe kwa kutamka iwe na ikawa!?
 
Kwamba yesu hakukufuka? Huenda kweli hakufufuka kimwili ila jiroho yesy naona kabisa yuko hai hata sasa ni mwalimu asiye na kifani njia kweli na uzima na ameketi kwa Mungu..muige tabia zake ustawishe nafsi yako
Alifufuka, akaonana na wanafunzi Wake, Akala nao, akawausia, kisha akapaa kwenda Mbinguni wanafunzi Wake wakimwona.
 
Naamini huu uongo ulitia fora:

"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu. Malaika akajibu,vakawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema...

Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliiingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa, na neno hilo likaenea kati ta Wayahudi hata leo".
Mkuu, hii habari ni kubwa ni sehemu gani yenye uongo?
 
Hii dunia ndio maana kuna wimbi kubwa sana la mashoga wanaongezeka.

Vijana wamekuwa wajuaji sana kiasi cha kuanza kujiuliza what if nikijaribu kukunwa???
 
Uongo mkubwa zaidi kuwahi kutokea ni kuwaahidi watu kwamba kuna maisha matamu zaidi ya haya ya hapa Duniani na hayo maisha ni lazima ufe kwanza. Watu wanaacha kuishi maisha hapa Duniani wakitegemea kuna maisha mazuri mengine ambayo unayapata ukifa. Huu kama sio utapeli nini?

Waislam wakaenda mbali zaidi na kusema ukifa ukaenda huko utapewa wanawake bikira wazuri 72, pombe za kufa mtu, starehe sizizo na mfano, night clubs za maana zenye madj wa maana. Mbinguni inakua ni sehemu ya kupigana miti mwanzo mwisho, usiku na mchana.
 
Back
Top Bottom