Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniacha njiapandaaUongo ni tamathali yenye maelezo yenye dhana ya kukinzana na uhalisia juu ya msingi tabainishi na kulazimisha sitiari na kuficha kunga za mlengwa katika jambo.😛😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo ni ishara ya upendo wa dhati. kwasababu ya;
Unampenda binti ila gia zote anachomoa inabidi utumie bomu la uongo wa namna namna utampata.
Boss ukimwambia ukweli pale anakosea anawaka na atakuona wewe hufai kuwepo chini yake, inabidi umpe sifa za uongo ili ubaki.
Uongo una faidaaaUongo huanza pale unapo tongozwa mwanaume nikasema sijawahi kuona mwanamke mzuri kama wewe. Wakati ukijua mwenyewe kuna wadada wakali hatareee
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hahahahahha basi wote waongo humuHata jina lako na avatar n uongo tosha.
Bado fake life unayo tuhadithiaga humu ndan. Demiss
Unga juhudi zangu na uhamie kwangu utaendana na kasi yangu.
Ngoja nijitahidiiUnga juhudi zangu na uhamie kwangu utaendana na kasi yangu.
Ila vyeo hamna kuna kuku tu wa chako ni chako😀
#Demiss nadhani umepata jibu sahihi
Nakuona mwenyekiti wa kamati ya rohombaya[emoji23][emoji23]Uongo ni kuweka Avatar ya mtu mwenye makalio makubwa, wakati wewe mwenyewe umepigwa pasi.
Wekeni flat screen zenu, tutawapenda hivyo hivyo!
Natania, wanakuja wataalam wa lugha kutusaidia!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, undava undava tu watu wa Sensei masta shivoo.Nakuona mwenyekiti wa kamati ya rohombaya[emoji23][emoji23]
Hahaa, undava undava tu watu wa Sensei masta shivoo.
Nmekumis kipenz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwingi sana kipenz, wewe tu ndo umejificha!Me too MOTP mwenyewe.
Tangu fanani atutelekeze hatuonani siku hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uongo ni kuweka Avatar ya mtu mwenye makalio makubwa, wakati wewe mwenyewe umepigwa pasi.
Wekeni flat screen zenu, tutawapenda hivyo hivyo!
Natania, wanakuja wataalam wa lugha kutusaidia!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyotusema na avatar zetu tusizofanana nazo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema mnatuweza wallahi!Unavyotusema na avatar zetu tusizofanana nazo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app