Uongo ni nini?

Uongo ni nini?

Uongo ni ishara ya upendo wa dhati. kwasababu ya;
Unampenda binti ila gia zote anachomoa inabidi utumie bomu la uongo wa namna namna utampata.
Boss ukimwambia ukweli pale anakosea anawaka na atakuona wewe hufai kuwepo chini yake, inabidi umpe sifa za uongo ili ubaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo ni kuweka Avatar ya mtu mwenye makalio makubwa, wakati wewe mwenyewe umepigwa pasi.

Wekeni flat screen zenu, tutawapenda hivyo hivyo!

Natania, wanakuja wataalam wa lugha kutusaidia!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona mwenyekiti wa kamati ya rohombaya[emoji23][emoji23]
 
Uongo ni kuweka Avatar ya mtu mwenye makalio makubwa, wakati wewe mwenyewe umepigwa pasi.

Wekeni flat screen zenu, tutawapenda hivyo hivyo!

Natania, wanakuja wataalam wa lugha kutusaidia!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom