Sawa tu kama hivo unavyodhania, lakini ukweli bado utabakia palepele, ya kwamba Kenya ndio nchi yenye industries nyingi zaidi Afrika mashariki na kati
Hivi nipe industry moja Tanzania ambayo ni indigenous inayomilikiwa na mwafrika mweusi na kwa kila industry utanipa nitakupa mbili za Kenya. Mutaacha uongo hapa hivi.Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na istoshe ukiacha maua, mboga kama sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man)
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!
Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?
Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!
Unajua, wewe unaongea ni kana kwamba kila sehemu ya Kenya kumeathirika na njaa. Watanzania kama wewe mnaojifanya kuijua saana nchi ya Kenya, hata kudai kuwahi kuishi huku, ilhali comments mnazotoa kuhusu nchi hii ni za ushenzi wakati mwingine.
Baa la njaa Kenya hutokea maeneo kame ya nchi, kama Turkana na north eastern huko, hata Geza anajua hilo na angekurekebisha. Maeneo mengine Kenya yanazalisha vyakula kwa wingi na watu wako very secure in terms of food, baadhi hata kuuzwa nje, ikiwemo Tanzania. Bidhaa za nyama na maziwa kutoka Kenya kwa mfano, si ziko Tanzania?
Hakuna nchi eneo hili la Africas mashariki na kati inayoshinda Kenya kwa uzalishaji wa cereals kama ngano na mchele na mtama. Kenya ni la pili barani Africa kwa kuexport bidhaa za maziwa, nyama na maziwa, mboga mboga na matunda EU baada ya South Africa.
Mfano hapa:
Swali lako lingekuwa ni je, serikali ya Kenya imeweka mikakati zipi kupunguza incidents za njaa kwenye maeneo kame ya Kaskazini mwa Kenya?
Miradi za kukomesha njanga hili ndilo hili limezungumziwa hapa
Kenya | WFP | United Nations World Food Programme - Fighting Hunger Worldwide
Sasa wewe na watanzania wenzako ndio mnafaa kujiuliza, ni kwanini nchi yenye ardhi kubwa na yenye rotuba kama hilo lenyu, nchi ambayo haina maeneo kame bado liendelee kukumbwa na ukosefu wa chakula toshelezi?
Mkuu haya mambo yanatia hasira sana, sema wengine hua hatuna namna tu ya kuyabadili moja kwa moja, Ila ipo siku Mungu ataruhusu Nchi hii ibadilike na kua nchi ambayo wote tutaishi kwa faida.Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na istoshe ukiacha maua, mboga kama sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!
Barbarosa, kenya produces quite a lot from quite a limited amount of arable land. Here are the facts:-
Kenya has an arable land of 9.66%of its total area ARABLE LAND (% OF LAND AREA) IN KENYA
Tanzania has an arable land of 42.11% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN TANZANIA
Uganda has an arable land of 70.38% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN UGANDA
You can imagine how high productivity is in the little arable land in Kenya to enable it feed 44 million people comfortably unless rains fail.
wabadilisha mada kutoka chakula hadi mashine na transfomers...saa zengine kubali kushindwa banaHao ni distributors na siyo manufacturers, unaelewa tofauti hapo? Tanelec Limited ni manufacturer wa Transformers hao Schroder wanasambaza tu lkn hawatengenezi Kenya!
Zote? tupe evidence bwana.....Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na isitoshe ukiacha Maua, Sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!
Now that's just pulling out figures and facts from nowhere, Hebu toa evidence ya io 12% yako, mie nishakupa ya data nilizowasilisha humu.Arable land TanZania yetu ni 12%, sehemu kubwa ya ardhi ya TZ yetu ni Hifadhi Taifa, Mito, Bahari, Maziwa, Misitu, Milima n.k. lkn ardhi ya kulimwa ni 12% hivyo siyo mbali sana na ya Kenya 9%, sema tofauti ni kwamba Kenya sehemu kubwa hiyo 9% inamilikiwa na watu binafsi ambao wengine wameweka tu fence na ardhi haitumiwi, wengine wanalima Maua, Chai, Sukuma wiki kwa ajili ya export kwa Wazungu n.k. na ndiyo maana hakuna ardhi nyingine inayobaki kwa ajili ya kulima chakula kwa ajili ya wananchi wa Kenya!
Sawa, lkn mbona basi Kenya inazalisha food products nyingi kuliko Tanzania?Si inasemwa kwamba familia ya uhuru ilijimilikisha ardhi kubwa sana.
Waweza kumtusi barbarosa kwa vyovyote uwezavyo lakini si kwa mgongo wa kuihadhirisha nchi yako......Mamarosa, nani anakupa haki ya kuwasemea Watanzania kwa akili hizo? Nasikia aibu kwamba wewe na mimi tunahusiana. Nenda shambani ukalime p*mb*v* wewe, sio kubishana juu ya viwanda wakati unajua tunavyo vya kutengeneza tu sahani za plastic.
YouTube tumejaza video za ngono na dada zetu wasio na aibu, nikitaka makala za ufugaji na kilimo lazima nitegemee za Kenya...still upo mtandaoni kuongea upuuzi badala tuangalie namna gani Tanzania itakomesha Blue Band kuvuka mpaka.
Hebu ingia hapa tupate vitu vya maana labda akili yako itakaa sawa, sh*nzy wewe.
https://www.youtube.com/watch?v=YIaL5wtYeBs
Na wewe Mkenya, usidhani kuwa kila Mtanzania ana ubongo kama wa Mamarosa, huyu ameharibiwa na kukaa kijiweni mtaa mmoja wa hovyo kabisa kusubiri buku 7. Kila kitu anataka kifanyike kwa mdomo.
Mantiki zilizotumika ni mbili tofauti.........Mamarosa usitake kuja kutuaibisha bure! Mbona hapa kwetu kuna wakati watu Dodoma walikuwa wanakabiliwa njaa mpaka wakawa wanakula viwavi wakati hapo jirani Rukwa na Iringa mahindi yanaoza kwenye maghala?
Unadhani wenye akili huko nje wanapolijua hili wanafikiriaje akili ya serikali yetu?
trying to lie even here! shame on u since "used to be" is a relative term! BTW kenya diry product is not exported to the EU rather North Africa and Asia! According to the link u just provided!True about that, but Kenya used to be one of the leading exporters untill the outbreak of the disease. But, here's the ray of hope that it will soon regain that status...Kenya To Reenter EU Meat Market - Ventures Africa
As for the cut flowers
Global Leaders In Cut Flower Exports
Kenya Dairy Industry
The Dairy Industry in Kenya