Uongo upi unaoukumbuka uliambiwa wakati ukiwa mdogo na ulijua ni ukweli

Tuliambiwa miti huwa inaongea yenyewe kwa yenyewe kwan kuna mzee alishawahi kuta miti inaongea Ila sauti yao ni ya chini sana na sauti ya haiyundi herufi,mpka Leo namfikiria yule mzeee "ALITUCHUKULIAJE KIPINDI KILE"
ha ha ha itakua miti ile ya tanga iliyokua inafanana na Nyerere au ule waliosema umegoma kutoka kupisha ujenzi wa barabara
 
Uking'oa jino ukamchekea jogoo halioti, wakat wa kula naambiwa kula twende gari linakuja ha ha ha, ukimg'ata mwenzio akapaka kinyesi cha kuku pale ameng'twa, aliemng'ata ataoza meno yote
ha ha ha....bila kusahau usipotupa jino juu ya bati na kusema kunguru au mwewe chukua jino baya nipe jino zuri eti napo jino litakua halioti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…