fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
- Thread starter
- #81
ha ha ha itakua miti ile ya tanga iliyokua inafanana na Nyerere au ule waliosema umegoma kutoka kupisha ujenzi wa barabaraTuliambiwa miti huwa inaongea yenyewe kwa yenyewe kwan kuna mzee alishawahi kuta miti inaongea Ila sauti yao ni ya chini sana na sauti ya haiyundi herufi,mpka Leo namfikiria yule mzeee "ALITUCHUKULIAJE KIPINDI KILE"