Uongo wa Ali Kiba

Uongo wa Ali Kiba

Hahaahaaa!...huna hoja wewe na nilijua hilo ndo jibu utakalolitoa,siku nyingine jifunze kuleta PROPERGANDA ZINAZOENDANA NA UKWELI ATA KIDOGO BHANA.

Sasa we unadhani n nani alituma nyimbo za kiba nimeshidwa Ku screen shot tu ali tuma n video ya mwana n chekecha ngoja nikipata nafax next week nitakuja n ushaidi wa picha sasa
 
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.
Ishu hapa vigezo vilikuwa vipi? Ni kama King King akusanye nyimbo zake mpaka za Masantula Ngoma ya Mpwita Aseme ziko albam moja na " Chungulia'. Ila tu siku zote ieleweke. Njia ya muongo ni fupi!
 
Ishu hapa vigezo vilikuwa vipi? Ni kama King King akusanye nyimbo zake mpaka za Masantula Ngoma ya Mpwita Aseme ziko albam moja na " Chungulia'. Ila tu siku zote ieleweke. Njia ya muongo ni fupi!
Sorry King Kiki
 
Waswahili wanasema ukisikia mamaaaa ujue limempata mtu.

Huyu waliemtukana na kumuita majina mabaya mengi mara msanii local leo hii kawa ni jinamizi linalowatesa mashabiki wa msanii wa kimataifa.

Tuzo za watu na Kill awards walilamika wamehujumiwa na fulani kabebwa tena wakafika mbali kuwa Eti kuna mpango wa kumshusha msanii wao kwa hila na fitina.

Baada ya kupigwa kwa tuzo 6-2 kwenye KTMA wakasema kwa jeur eti hizo ni tuzo local hivyo ndio hadhi ya kiba so kiba ataishia tuzo local za ndani tu huko nje hamjui.

Heeeh! Mambo yamegeuka sasa msanii local kiba kawapandia hadi huko huko kila tuzo ya kimataifa kiba yupo sasa wameanza kulia tena juna hujuma zinafanyika hadi huko nje hahahhaha

Hahahaha umeongea ukweli kabisa
 
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.

uwe unapitia habari yako kabla hujaipost
 
hata mimi nilivyoona albam bora ya mwaka - mwana, i was like what?? lakini kwa vile najua mjini mipango nikatulia.
 
Na akikosa atasema jamaa fulani[emoji117] [emoji117] ........anatumia ndumba,ni mchawi [emoji13] [emoji6]
 
watu bana hamnazo kupitiliza, hivi wewe unayehoji baba wa tiffah?? wa kwako unamjua??? go find your biological father kwanza ndio mpate ujuzi wa kumjua wa tiffah, mara ni wa ivan, baada ya kuona kwa ivana inakosa mashiko sana kwa sababu mtoto ni mweupeee na ivana ni mweusi mfano wa giza jana naona wametafuta picha ya kaka wa kihindi sijui yuleee wakatuletea, na bado sasa mtoto ndio kwanza anakuwa anabadilika mpaka sura ije itulie utatuletea baba zaidi ya kumi. wewe ukiulizwa baba yako nani utamtaja yule anayelala na mama yako, lakini kumbe si ajabu baba yako ni kichaa yupo kule kariakoo anaokota makopo huna habari.
 
Hata lugha nayo[emoji12]

Basi sawaaa
Lugha hapo sawa.Nasikia Salaam amefukuzwa na security eneo fulani kenya aisee.
Nasikia alienda kuhakikisha juu chini d anafanya kazi na Neyo.
Kijana ana mapozi kwenye picha aisee
Nilidhani neyo ashalilia 'collabolation' na mnyama kumbe bado.
 
Back
Top Bottom