Hahaahaaa!...huna hoja wewe na nilijua hilo ndo jibu utakalolitoa,siku nyingine jifunze kuleta PROPERGANDA ZINAZOENDANA NA UKWELI ATA KIDOGO BHANA.
Ishu hapa vigezo vilikuwa vipi? Ni kama King King akusanye nyimbo zake mpaka za Masantula Ngoma ya Mpwita Aseme ziko albam moja na " Chungulia'. Ila tu siku zote ieleweke. Njia ya muongo ni fupi!AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.
Sorry King KikiIshu hapa vigezo vilikuwa vipi? Ni kama King King akusanye nyimbo zake mpaka za Masantula Ngoma ya Mpwita Aseme ziko albam moja na " Chungulia'. Ila tu siku zote ieleweke. Njia ya muongo ni fupi!
To be nomited it z gud but he must learn to speak truth
Waswahili wanasema ukisikia mamaaaa ujue limempata mtu.
Huyu waliemtukana na kumuita majina mabaya mengi mara msanii local leo hii kawa ni jinamizi linalowatesa mashabiki wa msanii wa kimataifa.
Tuzo za watu na Kill awards walilamika wamehujumiwa na fulani kabebwa tena wakafika mbali kuwa Eti kuna mpango wa kumshusha msanii wao kwa hila na fitina.
Baada ya kupigwa kwa tuzo 6-2 kwenye KTMA wakasema kwa jeur eti hizo ni tuzo local hivyo ndio hadhi ya kiba so kiba ataishia tuzo local za ndani tu huko nje hamjui.
Heeeh! Mambo yamegeuka sasa msanii local kiba kawapandia hadi huko huko kila tuzo ya kimataifa kiba yupo sasa wameanza kulia tena juna hujuma zinafanyika hadi huko nje hahahhaha
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na ufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) amabapo kila msanii wa africa ana haki ya kutuma nyimbo zke amabapo baada hapo kuna academy inakaa chini na kupitisha nyimbo amabapo baada hapo wanatoa nomination na washindi unapatikana kuptia asilimia 50 za kura ana 50 za judges, na nomination zingine ushindi unapatikana kwa kura za mashabiki tu lakini cha ajabu na kusikitisha na kuona Mr Coming soon Ali kiba kuwadanganya afrima kuwa ametoa album inaitwa mwana, na ndani kuna nyimbo kama cinderela, macmuga, sabrina, tusiwatese yatima, dushelele na zingine wakati izi nyimbo ni za album ya cinderela.
Kapimeni dna kwanza hizi afrimma zipo tu
misslincoln nimeipenda hiyo avatar[emoji12] [emoji12]Na wewe wafanganye, utumr albaum yenye picha zako.
Hata lugha nayo[emoji12]Nilidhani umeipenda hiyo lugha na pijini nlomkomeshea nayo mleta mada.
Hata lugha nayo[emoji12]
We kama inakuma tuma ya kwako.
Atajiju....