Uongo wa Ali Kiba

Sapoti msanii wako abebe tuzo tu buana hayo mambo mengine waachie wenyewe waandaji
 
khaa uko ig page ya Neyo ni vituko watz wanarushiana matusi hatari ...sijui stress yani ni shidaa kisa Kiba ha ha haaa
 
Attachments

  • 1439911564127.jpg
    26.4 KB · Views: 165
povu lote la nn wakati magazeti ndo yameandika
 
khaa uko ig page ya Neyo ni vituko watz wanarushiana matusi hatari ...sijui stress yani ni shidaa kisa Kiba ha ha haaa

Mbona baada MTV neyo alimtafuta dai haukuongelea matusi ya team kibakuli
 
Mbona baada MTV neyo alimtafuta dai haukuongelea matusi ya team kibakuli

No am not taking sides here...nimecheka the way wanavyosemana that's all si mshabiki wa yeyote kati yao nisamehe mkuu kama nimekukwaza mahali.... wamenifurahisha wanagombana sebuleni mwenyenyumba kimyaa chumbani
 
povu lote la nn wakati magazeti ndo yameandika

hahhhahaaaa eti MAGAZETI ndiyo ndio yameandika hiyo technologia haipo duniani wala mbinguni kwa sasa, labda ianzie kwako magazeti ndio akina nani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…