Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Offcourse,mathalani ktk kutetea hoja yake basi angeenda mbali zaidi kuhusu fuvu lake,maana inasadikika kuwa lile fuvu lilipelekwa Ujerumani na Wazungu lkn baadaye lilirudishwa kwasababu serikali ilitaka lilirudi,sasa km ndio hivyo(kadiri ya maelezo ya mtoa Uzi), inamaana fuvu lile sio lake?,Je, Serikali nayo ilidanganywa?.Hiyo ya Mkwawa iko based kwenye ka story ka mtu mmoja. Historia haifanyiwi utafiti kwa namna hiyo.
Everything else inakosa credibility.
Haimanishi tuamini wanayosema wazungu lakini tuje na very concrete alternatives.