Uongo wa kiimani: Majanga ya moto yametokea nchi nyingi sana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161

Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu.

Hizi nchi zimewahi pata majanga ya moto makubwa. Ukiacha Kimbunga kilicholeta majanga ya maji Japan etc.

Screenshot_2025-01-11-08-29-11-581_com.android.chrome.jpg

Hao wote wana,mabaya yao waliofanya,walimkufuru Mungu,ziko nchi,wanaoabudu Mungu,hawana uhuru wa,ibada.Unakwenda kupiga mabomu nyumba za ibada(misikiti na makanisa)wafikiri mwenye nyumba zake Mungu,atakuachia,hivi hivi,mbali ya,kuua,wanawake,watoto,wazee wasio na hatia.
 
Marekani yenyewe inapiga magoti kukili MOTO huu aujawai tokea popote hii ndio mala ya kwanza huuu ni zaid ya MOTO tuache zambi mungu ananguvu sana.
 
Nimeishia hapo kwenye nyumba zake mungu mungu nyumbazake sjawah kuziona so nsiwe m bish kwakwel mpaka nntapoziona ndo ntakua nalakusema
 
Marekani yenyewe inapiga magoti kukili MOTO huu aujawai tokea popote hii ndio mala ya kwanza huuu ni zaid ya MOTO tuache zambi mungu ananguvu sana.
UONGO
 
Back
Top Bottom