Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hao wote wana,mabaya yao waliofanya,walimkufuru Mungu,ziko nchi,wanaoabudu Mungu,hawana uhuru wa,ibada.Unakwenda kupiga mabomu nyumba za ibada(misikiti na makanisa)wafikiri mwenye nyumba zake Mungu,atakuachia,hivi hivi,mbali ya,kuua,wanawake,watoto,wazee wasio na hatia.
Mungu,Muumba Mbingu na nchi,na vilivyomo humo,tunavyoviona na tusivyoviona,adhabu zake ni kali sana,na ana,askari wasionekana,akiwaamuru wafanye kazi yao,ya kukudhibu,haichukui sekunde.Na adhabu zake ni kali.
Jipe moyo
Watu hamsomi. Hamjiongezi mkapata taarifa. Wanaibuka watu wanasema ni Mungu amewaadhibu sababu ya Gaza. Hizi akili za watu ambao hawana elimu na ufahamu.
Hizi nchi zimewahi pata majanga ya moto makubwa. Ukiacha Kimbunga kilicholeta majanga ya maji Japan etc.
View attachment 3198325
Tumia akili dogo. Siyo mihemko.Jipe moyo
wapo waliojifanya na akili zaidi yakoTumia akili dogo. Siyo mihemko.
Eti eeeehhhwapo waliojifanya na akili zaidi yako
Nimeishia hapo kwenye nyumba zake mungu mungu nyumbazake sjawah kuziona so nsiwe m bish kwakwel mpaka nntapoziona ndo ntakua nalakusemaHao wote wana,mabaya yao waliofanya,walimkufuru Mungu,ziko nchi,wanaoabudu Mungu,hawana uhuru wa,ibada.Unakwenda kupiga mabomu nyumba za ibada(misikiti na makanisa)wafikiri mwenye nyumba zake Mungu,atakuachia,hivi hivi,mbali ya,kuua,wanawake,watoto,wazee wasio na hatia.
UONGOMarekani yenyewe inapiga magoti kukili MOTO huu aujawai tokea popote hii ndio mala ya kwanza huuu ni zaid ya MOTO tuache zambi mungu ananguvu sana.