Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

Rudi kwenye hoja. Haiwezekani wataalamu kukadilia isivyo sahihi. Kun shida kubwa mahali
 
Huyo mtu wenu mnaesema alicha legacy..kitu kimoja aliacha ni uongoo..

Na Mama anapita mulemulee.
 
Au tufanye ukaguzi wa mahesabu toka nchi ilipo pata uhuru Mpaka Leo.Kunauwezekano mkubwa unapomaliza awamu yako unaondoka na chenji zote kwasababu kila awamu inamipango yake mizuri lakini ikija awamu mpya inaanzisha mipango mipya mizuri matokeo yake mzigo unakuwa mzito.
 
Huu uongo wa miradi ya taifa uliasisiwa na Magufuli, na tokea wakati akiwa hai tulikuwa tunasema ni kiongozi muongo. Sasa uongo wake unazidi kuendelezwa. Kuna hatari kuwa kuna ukweli mwingi sana wa hatari unafichwa.
Jamaa wanaficha ilikupiga pesa za umma
 
Yote haya yamesababishwa na uongo wa Magu.. tunajenga kwa fedha zetu za ndani, matajiri tunakutana hapa, hatutaki mabeberu, mapapai yana corona.. ujinga mtupu!
 
Rudi kwenye hoja. Haiwezekani wataalamu kukadilia isivyo sahihi. Kun shida kubwa mahali
hata kama wakikosea makadilio angalau iwe ndan ya miez mitatu hata sita hivi,
lakin
sgr kipande cha dar na morogoro
ilitakiwa 2019 kiwe tayar kishakamilika,
 

Nilete huenda nikaomba kazi ya kunyeshea maua kwenye kaburi lake. Kabla hujaleta hiyo dawa nitaendelea kuusema udhalimu na uongo wake.
 
O
Nani kakudanganya kuwa hakuna uongo wa kizarendo [emoji849][emoji849]
1)Uongo wa kizarendo ni ule uliopo kwa maslai ya taifa
2)Na uwongo wa kifisadi ni ule ambao upo dhidi ya maslai ya taifa bali kwa maslai ya wahuni ,tokomeza wahuni popote uwaonapo.
Kizarendo na kizalendo!!
 
Haya mambo ya kutoa wrong information, kama yapo yatatu cost sana. Public trust ikivunjika itakuwa ngumu mno kuirudisha. Ebu tuwashauri serikali iwe serious kwenye kujenga public trust na hii haiwezekani kama kila leo watakuja na versions zisizokuwa na consisteny yet serikali haijawahi kuwa ya chama kingine.

Nchi ni imara na imekuwa hivyo kwasababu public ina trust na serikali ya chama changu. Chama ambacho kimejithibitisha ni taasisi kwakua kimekuwa kikibadili uongozi kila baada ya muda fulani hata kama wapo wachache ambao wanadhani wana hati miliki.
 
Nani kakudanganya kuwa hakuna uongo wa kizarendo [emoji849][emoji849]
1)Uongo wa kizarendo ni ule uliopo kwa maslai ya taifa
2)Na uwongo wa kifisadi ni ule ambao upo dhidi ya maslai ya taifa bali kwa maslai ya wahuni ,tokomeza wahuni popote uwaonapo.
Hauitwi uwongo, unaitwa hekima na busara ya uongozi....Empathy!
 

uongo ni uongo tu !.
sawa na kusema ngono ya ndoa na sio ya ndoa ila zote ni ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…