UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
Huyo hajui kiingereza kama baba yake wa kambo wa chToUN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
hata Mimi matafa siyaelewi!!!!!!!Hawa jamaa huwa misinformed balaa, ni wachache ambao wanaweza hata kukutajia nchi yao imezungukwa na matafa mangapi.
Hujui lolote, tangu lini maoni ya mtu mmoja aanayetumia fake ID yakawa maoni ya nchi nzima?UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
Ndivyo ivyo unakuta hapa jf geza ndio godfather wao kwa kuwapa taarifa. He is the most educated tanzanian na akili yake uwa pungufu kiasi
Weka evidence bila kijikanganya zaidiKama wewe ni Mkenya basi ulipaswa ufiche uso wako, UN ina Ofisi 4 Kuu Duniani , Geneva, Nairobi, New York na Vienna na hii ni tangia UN inaanzisha kabla hata Kenya haijapata Uhuru, hivyo walioleta UN Kenya ni Muzungu, hizo Ofisi nyingine kama UN habitat ndo zimekuja juzi lkn UN yenyewe Kenya iko kabla ya Uhuru!
Wewe mwenyewe unajikanganyaVyote hivyo vinategemeana na purchasing power, Kampuni zinafungua mahali ambapo wanannchi wana uwezo wa kununua bidhaa zake, hivyo Kenya (Nairobi) kwa mfano watu wenye uwezo wa kununua gari mpya 0 km ni wengi klk TZ yetu!
Weka evidence bila kijikanganya zaidi
Wewe mwenyewe unajikanganya
When a lazy person is beaten, he resorts to excuses.UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
Based on your comments on this forum, you're even more stupid than that forumer who said that.Hujui lolote, tangu lini maoni ya mtu mmoja aanayetumia fake ID yakawa maoni ya nchi nzima?
Huu ni upuuzi wa wakenya wanaojiita wajuvi wa mambo!
Ni mtanzagiza mwenzako anawakilisha Danganyika banana republic.Sasa kaandika mtu mmoja halafu unatujumuisha wote una akili wewe? Au una makaratasi kichwani?
ww ulishaishiwa hoja ulichobakia hapa ni kulia tu ππππππ tanzania huiwezi itakupumulisha huko nyumaUN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
aliesema ni mimi au nani???πππUna ushahidi UN offices kufunguliwa Kenya miaka ya 60s? ukipata ushahidi nitag tafadhali.
Mkuu huko TZ matafa hatuyajui kabisaHawa jamaa huwa misinformed balaa, ni wachache ambao wanaweza hata kukutajia nchi yao imezungukwa na matafa mangapi.
nimekuuliza mm ndio niliosema???πππLakini huna ushahidi wewe ni ushabiki tu ule wa kidanganyika.