Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Anayemuongelea Mbowe vizur, huyo atasifiwa 🤣🤣
LISSU mbele Kwa mbele.
LISSU mbele Kwa mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuTAL akam-out smart
FAM alisahau kuwa siasa ni namba, ni mchezo wa hesabu
Makasiriko haya sababu ya maoni binafsi tu ya mtoa mada au Kuna kingine?!!!!! PatheticKajambie Lumumba au kule Dodoma mlipochagu Nchimbi...... UNAPENDA SANA KUTUKANWA....
Fact👍Zitto kapata mataahira to run circles around,ACT itaipita Chadema ya Heche na Lissu very fast maana Zitto ni smarter than these two put together and by far!
Kama Diclofenac haiondoi maumivu haraka , meza Piroxicam.Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!
Siku ccm wakiruhusiwa kufanya kampeni kwa uhuru, haki na uwazi tutasikia mengi kuliko kawaida.Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.
Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba zao walipoingia Ofisini kwa mara ya kwanza,kimsingi ukiwasikiliza vizuri Hotuba ya Heche ndiyo ilitakiwa iwe ya Lissu na ya Lissu iwe ya Heche.
Heche katoa hotuba nzuri sana ya kuvunja Makundi na kutambua Mchango wa Mbowe, Lissu alijitahidi kuongea ila kwasababu ya utulivu mdogo mwishoni alichemsha baada ya kuingiza mambo ya Kampeni tena kwa kuleta majungu na Madongo hasa alipotumia neno Wabangaizaji ambalo lilitonesha Vidonda, tukumbuke neno hili lilitumika sana kama kete ya kuwaunganisha watu wake kipindi cha Kampeni na kuwabagua watu wa Mbowe.
Kwangu mimi naona Heche anaweza kuponya Majeraha na kuwaunganisha wanaCHADEMA kuliko Lissu, hii ni kwasababu Heche ni Homeboy anapendwa na WanaCHADEMA wengi hata katika kundi la Mbowe anao watu wengi na pia kipindi cha Kampeni aliendesha Kampeni za Wastani ambazo hazikujeruhi sana watu na baada ya kushinda ameepuka sana kuendeleza mambo ya Kampeni.
Hii ni tofauti na Lissu ambaye Kampeni zake aliumiza sana watu, alitumia hadaa nyingi ikiwemo kumchafua sana Mbowe hasa kwa tuhuma za rushwa zisizo na ushahidi nk.,Kampeni za Vurugu na Uhuni mwingi akishirikiana na Wakina Pambalu na Mwaipaya, hawa walitengeneza Chuki kubwa sana wanahitajika kufanya kazi ya ziada kurudi kwenye Mioyo ya upande wa pili.
Ni Mtazamo tu Povu linaruhusiwa.
Mkuu, watu hawana miamvuli, unawaloanishaLissu hana akili na ujanja wa kuendesha taasisi inayohitaji extra thinking out of box kama chama cha upinzani
Heche ndio hana akili kabisa,mtoe
Wote hao kazi yao actually ni talking heads
Chama cha upinzani kinaenda so far pale economics zinapowafikisha
Lissu na Heche wote hawana akili za economics za ku-raise pesa apart from ruzuku na bakuli kwa wanachama...Ruzuku ya serikali ni ndogo,bakuli kwa wanachama linawachosha huwezi pitisha bakuli kila siku
Only business minded people can raise cash to run these motherfvckers
Akili ya ujanja wa chess game Lissu na Heche do not know anything
I really see Zitto fvcking these two talking heads just like dummies
Mtu ambae alikua anaweza perfectly ni Mbowe,street smarts,economics,chess games,calmness,etc...pamoja na kua perfect kwa kile chama ila asingeweza kaa milele
Zitto kapata mataahira to run circles around,ACT itaipita Chadema ya Heche na Lissu very fast maana Zitto ni smarter than these two put together and by far!
Nilitoa angalizo hilo nikiwa najua Kuna madanga humu zaidi ya giggy money hivyo....namaanisha hunisumbui dada'angu nilishajiandaa na vichambo.Kama Diclofenac haiondoi maumivu haraka , meza Piroxicam.
Heche siku zote amekuwa anaweka wazi jinsi anavyomheshimu Mbowe. Na leo hakuacha kufanya hivyo wakati wenzake walikuwa wanajitahidi kukwepa kumtaja.Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.
Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba zao walipoingia Ofisini kwa mara ya kwanza,kimsingi ukiwasikiliza vizuri Hotuba ya Heche ndiyo ilitakiwa iwe ya Lissu na ya Lissu iwe ya Heche.
Heche katoa hotuba nzuri sana ya kuvunja Makundi na kutambua Mchango wa Mbowe, Lissu alijitahidi kuongea ila kwasababu ya utulivu mdogo mwishoni alichemsha baada ya kuingiza mambo ya Kampeni tena kwa kuleta majungu na Madongo hasa alipotumia neno Wabangaizaji ambalo lilitonesha Vidonda, tukumbuke neno hili lilitumika sana kama kete ya kuwaunganisha watu wake kipindi cha Kampeni na kuwabagua watu wa Mbowe.
Kwangu mimi naona Heche anaweza kuponya Majeraha na kuwaunganisha wanaCHADEMA kuliko Lissu, hii ni kwasababu Heche ni Homeboy anapendwa na WanaCHADEMA wengi hata katika kundi la Mbowe anao watu wengi na pia kipindi cha Kampeni aliendesha Kampeni za Wastani ambazo hazikujeruhi sana watu na baada ya kushinda ameepuka sana kuendeleza mambo ya Kampeni.
Hii ni tofauti na Lissu ambaye Kampeni zake aliumiza sana watu, alitumia hadaa nyingi ikiwemo kumchafua sana Mbowe hasa kwa tuhuma za rushwa zisizo na ushahidi nk.,Kampeni za Vurugu na Uhuni mwingi akishirikiana na Wakina Pambalu na Mwaipaya, hawa walitengeneza Chuki kubwa sana wanahitajika kufanya kazi ya ziada kurudi kwenye Mioyo ya upande wa pili.
Ni Mtazamo tu Povu linaruhusiwa.
Hii difference ndogo hivi ndio inaenda iua chadema maana still Mbowe ana power na 50% ya watu ndani ya CDM
Unachosema ni kuwa Mbowe akiamua kuleta upinzani dhidi ya CDM ataweza kwa asilimia 50. Upinzani dhidi ya CDM (kukwamisha mipango ya Mwenyekiti wa chama) inategemewa kuwa itafanywa na chama kilicho pinzani na CDM. Kwa vyovyote chama pinzani kwa CDM kitakua ni CCMMfano mdogo tu,akileta maamuzi kwenye kamati kuu,Mbowe akiwa haitaki,ana watu 50% ndani ya baraza kupiga kura ya NO.....hapo hoja za Lissu zinafia hapo hapo
Hilo la kulamba asali actually hakuna mwenye proofUnachosema ni kuwa Mbowe akiamua kuleta upinzani dhidi ya CDM ataweza kwa asilimia 50. Upinzani dhidi ya CDM (kukwamisha mipango ya Mwenyekiti wa chama) inategemewa kuwa itafanywa na chama kilicho pinzani na CDM. Kwa vyovyote chama pinzani kwa CDM kitakua ni CCM
Kwa hiyo unamaanisha kuwa Mbowe akiamua kufanya matendo ya ccm ataungwa mkono kwa 50%.
Atakuwa amekamilisha na kuuonesha kwa vitendo msemo na tetesi za kulamba asali
Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.