Uongozi CHADEMA: Heche anaweza kutibu Majeraha, Lissu hawezi

TAL akam-out smart

FAM alisahau kuwa siasa ni namba, ni mchezo wa hesabu
Mkuu

ni difference ndogo sana aisee...yaani 49% kwa 50% ndio kamu-outsmart kwa lipi sasa?

Ingekua 90% kwa 10% ndio total domination

Difference ni ndogo sana na ukitilia maana Mbowe didnt even campaing kwa nguvu kama Lissu

Hii difference ndogo hivi ndio inaenda iua chadema maana still Mbowe ana power na 50% ya watu ndani ya CDM

MBowe ni powerful still which will make Lissu hard to run CDM kama anavyotaka

Mfano mdogo tu,akileta maamuzi kwenye kamati kuu,Mbowe akiwa haitaki,ana watu 50% ndani ya baraza kupiga kura ya NO.....hapo hoja za Lissu zinafia hapo hapo

Ninachoona Lissu asicheke sana,Mbowe still call the shots mle ndani na itamsumbua sana Lissu,wakae chini man to man wa agree on something,otherwise tutaona mengi

Bado hatujaona lipicha!
 
Hebu acheni kulinganisha na kutofautisha viongozi wa chadema mpya, uchaguzi wao umepita subirini ujao ndio muanze.
 
Narudia, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!
 
Zitto kapata mataahira to run circles around,ACT itaipita Chadema ya Heche na Lissu very fast maana Zitto ni smarter than these two put together and by far!
Fact👍
Zitto anaungalia huu mtanange kwa umakini sana, naona hataki mdomo ukiponze kichwa anasubiri perfect moment tu.
 
Mleta uzi tulia dawa ya Diclofenac ikuingie vizuri sisi ni team lisu forever lisu ana qualities nyingi unateseka bure.
 
Uchaguzi umeshaisha Lissu ni Mwenyekiti na Makamu Heche, Mnyika Katibu Mkuu, sasa hivi nguvu zote ni kuwang'oa hawa wakoloni weusi waliojimilikisha nchi yetu kwa njia za kisanii.
 
Siku ccm wakiruhusiwa kufanya kampeni kwa uhuru, haki na uwazi tutasikia mengi kuliko kawaida.
Kama unabisha rejea hotuba ya kampeni ya Makongoro JN dhidi ya Wassira.
 
Mkuu, watu hawana miamvuli, unawaloanisha
 
Kama Diclofenac haiondoi maumivu haraka , meza Piroxicam.
Nilitoa angalizo hilo nikiwa najua Kuna madanga humu zaidi ya giggy money hivyo....namaanisha hunisumbui dada'angu nilishajiandaa na vichambo.
 
Heche siku zote amekuwa anaweka wazi jinsi anavyomheshimu Mbowe. Na leo hakuacha kufanya hivyo wakati wenzake walikuwa wanajitahidi kukwepa kumtaja.

Amandla...
 
Mbona mnaweweseka sanaa aisee,badooo mnapata homa za vipindi.
Kweli hamna rangi mtaacha kuona mwakaa huu..
Mungu mbariki Lissu na vizazi vyake vyote 7
 
Hii difference ndogo hivi ndio inaenda iua chadema maana still Mbowe ana power na 50% ya watu ndani ya CDM

Mfano mdogo tu,akileta maamuzi kwenye kamati kuu,Mbowe akiwa haitaki,ana watu 50% ndani ya baraza kupiga kura ya NO.....hapo hoja za Lissu zinafia hapo hapo
Unachosema ni kuwa Mbowe akiamua kuleta upinzani dhidi ya CDM ataweza kwa asilimia 50. Upinzani dhidi ya CDM (kukwamisha mipango ya Mwenyekiti wa chama) inategemewa kuwa itafanywa na chama kilicho pinzani na CDM. Kwa vyovyote chama pinzani kwa CDM kitakua ni CCM

Kwa hiyo unamaanisha kuwa Mbowe akiamua kufanya matendo ya ccm ataungwa mkono kwa 50%.

Atakuwa amekamilisha na kuuonesha kwa vitendo msemo na tetesi za kulamba asali
 
Hilo la kulamba asali actually hakuna mwenye proof

huenda alikula au la

ila kama ana beef zake na ego kubwa anaweza leta revolt ndani ya Chadema yenyewe maana he effectvely control 50% ya watu wa Chadema

Anaweza aka control baraza kuu kwenye kupiga kura za maamuzi maana ana wafuasi 50% ndani yake

Beef lake Mbowe na Chadema/Lissu (kama akisema analo) linaweza wasaidia CCM na ACT

Sasa hivi kwakweli facts are facts,Chadema is no match to CCM,lets get that clear....

Sasa hivi infact Chadema inatakiwa iwe very careful na nafasi yake ya Chama Rasmi Cha Upinzani Tanzania isikaribiwe wala kuchukuliwa na ACT maana ACT will make Chadema and Lissu run for their money and its no joke

As we speak Chadema ana kazi na ACT wala sio CCM..Kumbuka Zanzibar is their home ground,majimbo yote ya Pemba ni yao to begin with.

Chadema itaiweza CCM iwapo tu CCM watafanya blunder ya ajabu au kutokee revolution ndani ya CCM watu watawanyike,otherwise sasa hivi wanavyomiliki dola namna hii na marketing wanayofanya its a tall order!

As I see it Chadema has to be careful with ACT even more than CCM for now!
 

View: https://www.instagram.com/reel/DFbDyn8iUHw/?igsh=eGtma3Byc2pqbTN0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…