Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?.
Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea .
Watanzania yamewafundisha nani hasa Adui wao , na Watanzania wamechagua Njia ya kusonga Mbele kupigania Nchi yao , hamna kurudi nyuma hamna wa kurudisha nyuma, hamna namna yoyote mtafanya kukizuia Hilo, na Kwa kadiri mtakavyoteka na Kuua, ndivo mnavyochochea Gadhabu ya Watanzania na Mungu kwenu !!.
Mnayoyafanya na hao mnaowatumia, sio wote wanafurahia, Kuna wengine wanatumia Mpaka vyombo vya habari wakiongoea uongo kujitahidi Kuhalalisha Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini,, Wanafanya hivo sio sababu ni wenu, Wanafanya hivo kwakua ni Wazalendo wa Nchi ambao wanalazimika kua sehemu yenu ili huko Mbele TAIFA LIWE NA USHAHIDI WA KUTOSHELEZA.
SASA BASI, wakati nyie mnategemea matukio ya muda ,kushape Mashambulizi yenu, Taifa limekwisha amua kua mwisho wenu ni huu na hamtaonekana tena , narudia mwisho wenu ni huuu na hamtaonekana tena . Tanzania imerudishwa mikononi mwa watanzania.