Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Shukrani mkuu
Hakika !Hili halina ubishi, bila shaka Lissu alipangwa na Mungu kwa myda mrefu sana.
Dua yako ipokelewe , AminaMungu endelea kumbariki mtumishi wako Tundu Lissu
Hamna kituDua yako ipokelewe , Amina
"Ketengo"ndiyo nn we gwandaMkuu Unakipaji.... Cha DIRA YA TAIFA......
Hata KETENGO wanakupigia SALUTE....
JamiiForums....IHESHIMIWE
Umetegwa...UKATEGEKA"Ketengo"ndiyo nn we gwanda
pOLepole na Bashiru wamme muuza Mzeee ..AKAUNTI ZAO ZINATAKIWA kufungwa....Huu mwaka Chama cha meko kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani hajawahi kumshinda MunguHamna kitu
Nasikia hata gari Umenyang'anywa ....Hamna kitu
Umekuja kufuata nini huku ?