Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Ukweli ni kwamba Kipawa cha uongozi ndani ya Tundu Lissu kimewekwa na Mungu mwenyewe na wala hakuna binadamu wa kuzuia, hii ndio maana Wakubwa wengi wamechota busara kutoka kwa mtu huyu.
Aina hii ya viongozi waliobarikiwa na Mungu ndio inayofanya nchi zao kuendelea kwa vile uongozi ni karama yao , ni watu waliokabidhiwa kibali na Mungu Mwenyewe cha kuongoza nchi ili kuleta Uhuru wa kweli , Haki na Maendeleo ya watu wote .
huyo unayemuita msaliti ndio Rais ajayeMsaliti wa Nchi hana nafasi Tanzania akatukane ubeligiji
Tanzania hatutaki ushoga,
huyo unayemuita msaliti ndio Rais ajaye
Sasa Kuna tofauti gani huyu bwana na Zinjanthropus? missing link baina ya Masokwe na Mtu
CCM mpya imejaa washamba tupu !Sasa Kuna tofauti gani huyu bwana na Zinjanthropus? missing link baina ya Masokwe na Mtu
Kwanini tusidharauliwe Waafrika watu kama huyu wanaliaibisha Bara hili
Halafu atakula mtu na avatar yake ya Sokwe kuja kuleta koment za ajabu kabisa