johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu katili alifanya jambo gani?kweli umenena na huo ndo uhongozi
viva Magu viva Mbowe
Amezoea kuwaokota wadangangika huyo.Wewe mbona hutaki kufa ajili ya wengine?
Ni mpuuziAmezoea kuwaokota wadangangika huyo.
Ila vipara vyao vinameremeta wawapo miongoni mwawadanganyika na wanaonekana na kutambulika sio, Kwa kazi kubwa wanayoifanya kwa ajili ya wadangangika.Wale ni wapiga dili waliojificha kwenye kivuli cha siasa!
Wewe umejificha nyuma ya keyboard siyo??Wale ni wapiga dili waliojificha kwenye kivuli cha siasa!
Sio tu nyuma ya key board, ila kwenye Chaka la kijani piaWewe umejificha nyuma ya keyboard siyo??
Hili jini lenu hata mliandike mara 1000 kwa siku halitafufuka kamweHayati Magufuli
Hapo umekosea kama siyo hujui. Hapa Tanzania tulikuwa makazi wa viongozi wengi tu wa wapigania uhuru, jana tu yakitajwa maeneo aliyokaa Rais wa sasa wa Burudi. Wakati Hayati Mandela anafungwa na Serikali y makaburu kulikuwa na wengine walikuwa wakiishi nchi mbalimbali duniani wakiendeleza mapambano kutokea huko. Kabla hajasema swala lolote humu jitahidi kuyajua kabla.Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.
Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.
Lakini Tundu Lisu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.
Mungu wa mbinguni awapeni Siku njema iitwayo Leo!