Mama alisema, hata mkipigia kura kule kwingine, CCM ndio itakayounda Serikali. Wakati wa kufunga kampeni pale kawe Lissu alisema Ana Habari kuwa kura zimeisha setiwa kuwa jiwe atashinda kwa kura milioni 12 ndivyo ilivyokuwa, Sasa unaposema wakati kura zinahesabiwa nashindwa kukuelewa ni kura zipi unazozizungumziaLisu anagombea urais wakati kura zinahesabiwa kakimbilia nyumbani kwa balozi wa Ujerumani.
Bure kabisa yule mnyaturu!
Jitahidi uwe na kawaida ya kurudia kusoma kile ukiandikacho kabla ya kukipost.Arudi sasa anafanya nn huko na aliyemuua hayupo
Muziki wa Lissu uliuonaje?? Jiwe hakupata amani tena hata baada ya kujitwalia madaraka kamili bado moyo wake ulisononeka hadi umauti.Uongo Mandela alirudi kwao kuendeleza mapambano akadakwa Hadi kufungwa museveni alikuwa uhamushoni Tanzania lakini alirudi Uga da kuongoza Mapambano akina Kagame vivyo hivyo akina Raisi wa Burundi vivyo hivyo walirudi kuongoza Mapambano nchini mwao akina Kabila wa Kongo hivyo hivyo hawakukaa tu wakisubiri wengine waweke mazingira mazuri wait wakiwa kwenye AC ulaya na Canada wakila Pizza wakingoja tu waje Kama watalii kuja kugombea vyeo Kama Lisu alivyokuja kugombea uraisi na umakamu mwenyekiti Chadema
Waongoza Mapambano wote akina walirudi nchini kwao joto likiwa juu na Mapambano Moto hawakuachia wengine wafanye hiyo kazi kwa niaba yao wao wakisubiri wingu jeupe ndio warudi kwa mbwembwe Kama Lisu kupokelewa Airport na kugombea!!!
Kura ambazo Tundu Lisu alipata 13%Mama alisema, hata mkipigia kura kule kwingine, CCM ndio itakayounda Serikali. Wakati wa kufunga kampeni pale kawe Lissu alisema Ana Habari kuwa kura zimeisha setiwa kuwa jiwe atashinda kwa kura milioni 12 ndivyo ilivyokuwa, Sasa unaposema wakati kura zinahesabiwa nashindwa kukuelewa ni kura zipi unazozizungumzia
Du..! Kwa hiyo zilizoibiwa ni 87%Kura ambazo Tundu Lisu alipata 13%
Labda useme mziki wa Lowassa 2015!Muziki wa Lissu uliuonaje?? Jiwe hakupata amani tena hata baada ya kujitwalia madaraka kamili bado moyo wake ulisononeka hadi umauti.
Lissu alitisha sana! Na alilitendea vema jukwaa.Labda useme mziki wa Lowassa 2015!
Lowassa alilisimamisha jiji la Dar es salaam siku anakwenda kuchukua fomu hali iliyosababisha NEC wapate wazo la kujenga ofisi zao DodomaLissu alitisha sana! Na alilitendea vema jukwaa.
Lowassa aliaibisha sana majukwaani ata kuongea ni taabu!
Kumbuka Lissu aliwekewa vikwazo sana ata kwenye kurudisha form na wakati huo Jiwe alishakuwa chumba.Lowassa alilisimamisha jiji la Dar es salaam siku anakwenda kuchukua fomu hali iliyosababisha NEC wapate wazo la kujenga ofisi zao Dodoma
Lakini Tundu Lisu alishindwa kujaza Kanisa la Mwamposya siku ya kufunga kampeni.
Alitumia genge lake kukatiza maisha ya Chacha Wangwe, sababu ya kulinda kiti chake. Mungu sasa amemlipia marehemu.Huyu katili alifanya jambo gani?
tetete Mbowe siyo gaidi bibi eAlitumia genge lake kukatiza maisha ya Chacha Wangwe, sababu ya kulinda kiti chake. Mungu sasa amemlipia marehemu.
Mbona unajifanya kumjua Mbowe zaidi ya anavyojuliwa na mkewe? Ina maana ww unajiona kuwa unastahili kuwa na uchungu zaidi ya ule anaostahili kuwa nao mkewe? Je haujui kuwa Mbowe ameshaowa na dini yake hamruhusu kukufanya ww kuwa mke wa pili? Comment yang haikumtaja huyo balafu wako wa moyo, lkn nashangaa umekimbilia kumuingiza katika hoja yangu.. how come!tetete Mbowe siyo gaidi bibi e
Mtoa mada yuko sahihi Mbowe baada ya kifo cha Magufuli alikili wazi mwenyewe kwamba Magufuli alikuwa na msimamo sana kwenye kusimamia mambo yake na hakuwa muoga na alikua tayari kufa kutetea anacho kiamini ndicho mtoa mada alichomlinganisha na MboweMbowe usimulinganishe na kitu cha ajabu Mkuu we unamsemea Magufuli ambae ulimtambua baada ya kua Rais kwa kutumia Mabavu kupitia nafasi yake ya Uraisi alikua anafanya chochote lakini Mbowe anapambana akiwa chini hana Nguvu yeyote kwenye hii Nchi tena anapambana na wenye Madaraka.
#Narudia usimfananishe MBOWE na Vitu Vingine vya ajabu
Alizopata au mlizomgawia??Kura ambazo Tundu Lisu alipata 13%
Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.
Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.
Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.
Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.
Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.
Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.
Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
Mwendazake alikuwa tayari Kuua sio kufaKiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.
Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo baya kwa ajili ya wale wanaowaongoza.
Lakini Tundu Lissu na Godbless Lema ni mfano wa kunguru muoga ambaye hukimbiza mbawa zake mbaaaali kabisa.
Mungu wa mbinguni awapeni siku njema iitwayo Leo!
Inayolindwa ni taasisi!Mtu aliye tayari kufa kwanini alindwe kama yuko KUNDUZ!? π³π³π³View attachment 1986664
Mbona wewe hujafa!Mwendazake alikuwa tayari Kuua sio kufa