Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

Jitahidi uwe na kawaida ya kurudia kusoma kile ukiandikacho kabla ya kukipost.
Mbona nimeandika wazi! Alidai Magufuli ndio alitaka kumuua sasa Magufuli kashaenda zake still mtu haelewi tifanyeze?
 
Acha kulinganisha matendo ya Mh. Mbowe na shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…