Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

Shukrani sana kwa andiko zuri! Hakika haya ni mashirika hovyo kuwahi kutokea.

Mimi mwezi huu nimetumiwa EMS kutoka Dodoma kuja Sumbawanga, imechukua siku 8 kuipata! Mbaya zaidi hata jiografia ya nchi hii hawaijui, badala ya kuileta Sumbawanga wanapeleka Mpanda! Kutoka Mpanda kuja Sumbawanga imechukua siku 5, kilomita 240! Just imagine!

Hawa TTCL nao ni kituko kingine! Mtandao wao ni udhaifu mno! Kazi ya dakika 3 itakuchukua nusu saa nzima. Hopeless kabisa!

Hiyo EMS ungesema utume kwa lorry ingefika ndani ya siku3
Hawajali kazi zao wala hawajali uharaka wa mteja

Hivi ukiwa unatuma wanakuambia itafika baada ya siku ngapi😐
 
Hiyo EMS ungesema utume kwa lorry ingefika ndani ya siku3
Hawajali kazi zao wala hawajali uharaka wa mteja

Hivi ukiwa unatuma wanakuambia itafika baada ya siku ngapi😐
Sijawahi kuuliza lakini kwa akili ya kawaida nilidhani ningepata baada ya siku 3!
 
Back
Top Bottom